Rais Samia: Tutanunua vichwa na mabehewa vya kuanzia vilivyotumika

Rais Samia: Tutanunua vichwa na mabehewa vya kuanzia vilivyotumika

Haya Wabongo walikuwa wanawacheka na kuwakejeli Wakenya, sasa na Bongo pia wanaagiza mitumba!
Bi tizo kashazoea kwao Zanzibar kununua vitu used maana kule Zanzibar Vitu vyote ni used Yani mpaka wanawake wakiotumika bara wanaenda kutumika tena Zanzibar
 
[emoji1][emoji1] Ni Mambo ya kawaida tu hayo,hata enzi za mzee baba tuliwahi kuuziwa ndege used ikapigwa rangi tu pale kiwandani then tukaambiwa Ni ndege mpyaaaa.Bora Hawa wa sasa wamesema hadharani kabisaa Kwamba Ni kitu used [emoji1][emoji1]
Haikununuliwa, ilikodiwa Lebanon. Ni enzi za waziri Mwingira. Ilitua KIA na haikuruka tena.
 
Kuchukuwa used kuna maana kubwa sana kwanza unapima ufanisi wa miundombinu yako, Ukraine aliwahi nunua akajuta hivyo tunaenda kwa akili pia,

Ukraine withdraws Hyundai Rotem trains​

UKRAINIAN Railways (UZ) suspended operation of all 10 HRCS2 emus supplied in 2012 by Hyundai Rotem for inter-city operations on February 13, with all of the emus undergoing technical checks.
Kinacho sumbua akili za wengi ni mabadiriko ya sheria yanayo fanywa vyumbani badala ya bungeni.
 
Ok binafsi nimeelewa vitakuja used vichache vianze safari huku tukipima Ubora wa reli mpya na miundombinu yake, that's good starts / kuliko "xyz" alivyokuwa akidanganya uongo ni mbaya sana mtu unasikia kabisa kifaa kinakoroma angani unatuambia ndio modeli yake wakati ikitaka kutoa tairi

hicho kifaa kinakoroma angani ulikiona kimesimama kwa ajili ya ubovu? au unakiona kila siku kinapita angani. mshenzi mkubwa kazi yenu ni kumtukana marehemu weww marehemu mama yako alifanyiannini tanzania
 
Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipamde cha Dar - Moro.

Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "

Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.

Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.
Siku samia alipotaka ulaya kufanya royal tour,akafika Arusha,akasema filamu haijatumia pesa ya serikali,lakini imechangiwa na Watanzania!!pale ndio niliona ccm hawana mshipa wa aibu!!sasa hili la kusema unanunua vichwa vichakavu Ili utest mitambo,kwanini usisubili hivyo vipya?angesema wanakodisha angalau!!haki ya nani macccm wanatudharau sana
 
Sheria ya manunuzi serikali hainunui mitumba ya mabehewa ya Sgr na injini Yawezekana ni zawadi amepewa huko nga'mbo nimeona tanzania ukiwa na kinga ya kutoshitakiwa unaweza kutapanya fedha za umma na usifanywe kitu! hivi kweli raisi anafahamu kuwa kufanya hivo anakosea pakubwa.

lini magari wanayotembelea walinunua mitumba mbona nchi inafanywa namna hii aisee! maisha magumu mlundikano wa kodi mbalimbali halafu mnataka kutuletea mitumba jamani kulikoni tanzania imepatwa na nini.
 
Lete kifungu

Awamu ya 4 Lukaza wa Proin aliuzia Halmashauri zote nchini magari yaitumba ya kuzima moto
 
Haya mambo ya used ndio mpaka tunadharauliwa, nguo zikichokwa ulaya au Uarabuni wanafikiria kuzituma Africa haya wengine wanataka wakusanye screpa Ukraine walete Africa vita ikiisha,,,Africa sijui tulikosea wapi[emoji45]
 
Hivi bado mpo mnaoamini propaganda za Zitto and co kuwa zile ndege ni used? Tafuta mtu anaejua ndege akwambie ule mlio ni wa nini. Kukusaidia tu haihusiani kabisa na kutoa matairi.
Umebobea kwenye siasa za chuki, Zitto kaingiaje hapa! Rais ndiye aliyesema kuwa serikali itanunua used, sasa Zitto kaingiaje kwenye mdomo wa Rais!
 
Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro...
Watanzania tunaendelea kupigwa na vitu vizito kichwani.
 
Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro...
kwani si sheria za manunuzi zimeruhusu.kama mnataka uozo huo usifanyike waambieni wabunge warepeal hiyo sheria.
 
Serikali hii mbona ya kienyeji hivi? Kwani hakuna mkataba? Hakuna write-up kuhusu mradi wa SGR? Hivi mradi huu haukujadiliwa beforekwamba ungetimizwaje?

Ni sababu gani za msingi zinazoleta mabadiliko haya makubwa? Kama ni kuchelewa, serikali imechelewa sana--since last year ilitakiwa SGR iwe katika full operation.

#^Mtanikumbuka!^
 
Umasikini ni tatizo kubwa kuliko yote kwa mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla.
Umasikini huu upo wa aina mbili, fikra na mali.
Changamoto kubwa katika uamuzi huu kwa vyovyote vile itakuwa ni madhara yatakayotokea kwa sababu ya aina hizo za umasikini, (mali/fedha kufanya kununua vilivyotumika, fikra/akili kudanganywa vitakarabatiwa lakini vikifika visifanye kazi iliyotarajiwa).
Ukinunua vitu vilivyotumika, huna mkataba wa uhakika na muuzaji kuwa vitafanya kazi bila shida kwa muda fulani, hata kama ukiandikwa ni kudanganya tu (matumizi ya akili ya kawaida, "common sense" yanahitajika sana kwenye hili).
Uamuzi ni jambo moja na utekelezaji kwa ufanisi ni jingine.
 
Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro.

Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "

Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.

Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.
Sheria ya Manunuzi ya Umma inakataza katakata kununua vifaa vilivyokwisha tumika aka mitumba. Kwa hali hiyo basi inapendekezwa wanasheria na public procurement board wawasiliane ili kuibadili hii sheria kwani ni kikwazo cha kufikia lengo la kununua hiyo mitumba. Tunaambiwa hizo sheria tunazitunga Sisi, na sisi hawahawa tunaweza kuzitengua kwa vile sheria siyo msahafu. TAFAKARI.
 
Back
Top Bottom