Rais Samia: Tutanunua vichwa na mabehewa vya kuanzia vilivyotumika

Rais Samia: Tutanunua vichwa na mabehewa vya kuanzia vilivyotumika

Mitumba ni utamaduni wetu, mpaka papuchi za mitumba tunatumia
Watanzania bana hivi tukinunua kichwa used kimoja na mabehewa 15 ya kuanzia kuna ubaya gani? "sampling little portions"Ubaya labda taifa lingekuwa halina mpango wa vingine vipya hapo tungelaumu that's few are just for sampling and startup practices"
 
Sheria ya manunuzi serikali hainunui mitumba. Yawezekana ni zawadi kapewa na inauzwa, ila kwa vile hashitakiwi, ruksa.
Umemaliza kazi. Ngoja tusikie watasemaje huu uvunjifu wa sheria wazi wazi
unasikia kabisa kifaa kinakoroma angani unatuambia ndio modeli yake wakati ikitaka kutoa tairi
Kumbe ni tatizo mkuu?
Nimebahatika kupanda pipa kwa mara ya kwanza, Dreamliner, A320 na Embraer juzi kati hapa, hizo mbili za kwanza na zenyewe zilikuwa zinatoa mlio wakati huo wa matairi kutoka na kuingia....aisee, Luftansa, Emirate, Ethiopian, Qatar na KQ wapige chini hizi ndege mara moja, si salama tena.
 
Yaani kitanda kipya godoro used eti jipya ntalalia mwakani
Sasa hayo ma used ndio yaje kuvunja reli zetu mpya

Hivi Kwanini hii laana haituachi
Jamani tukatambike na kuomba siku kumi maana sio kwa mambo haya
Sisi tunajiita eti ndio baba wa EA kumbe watoto wanatuchora tu
 
Umemaliza kazi. Ngoja tusikie watasemaje huu uvunjifu wa sheria wazi wazi

Kumbe ni tatizo mkuu?
Nimebahatika kupanda pipa kwa mara ya kwanza, Dreamliner, A320 na Embraer juzi kati hapa, hizo mbili za kwanza na zenyewe zilikuwa zinatoa mlio wakati huo wa matairi kutoka na kuingia....aisee, Luftansa, Emirate, Ethiopian, Qatar na KQ wapige chini hizi ndege mara moja, si salama tena.
Sisemi moja kwa moja ya kwamba ni tatizo ispokuwa sijawahi sikia ndege ikitoa mlio wa aina hiyo popote pale kwa umri wangu wa miaka 60
 
Hii ndio Tanzania, Hata magari huwa nasikia watu wamenunua mapya kabisa kutoka Japani ila cha kushangaza mengi yanakuwa yameshatembea km 30,000 na kuendelea 🐒
😄😄 Ni Mambo ya kawaida tu hayo,hata enzi za mzee baba tuliwahi kuuziwa ndege used ikapigwa rangi tu pale kiwandani then tukaambiwa Ni ndege mpyaaaa.Bora Hawa wa sasa wamesema hadharani kabisaa Kwamba Ni kitu used 😄😄
 
Duh, used ya nini tena?
Kuchukuwa used kuna maana kubwa sana kwanza unapima ufanisi wa miundombinu yako, Ukraine aliwahi nunua akajuta hivyo tunaenda kwa akili pia,

Ukraine withdraws Hyundai Rotem trains​

UKRAINIAN Railways (UZ) suspended operation of all 10 HRCS2 emus supplied in 2012 by Hyundai Rotem for inter-city operations on February 13, with all of the emus undergoing technical checks.
 
Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipamde cha Dar - Moro.

Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "

Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.

Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.
Upigaji, tumeagiza vipya halafu tunanunua used tena
 
Wanaogopa reli itaisha haraka isipotumika.
 
Hivi bado mpo mnaoamini propaganda za Zitto and co kuwa zile ndege ni used? Tafuta mtu anaejua ndege akwambie ule mlio ni wa nini. Kukusaidia tu haihusiani kabisa na kutoa matairi.
Hebu usibishane na mtu ambaye hata elimu ya ndege hana acha tu kuwahi kusafiri nayo.
 
Ok binafsi nimeelewa vitakuja used vichache vianze safari huku tukipima Ubora wa reli mpya na miundombinu yake, that's good starts / kuliko "xyz" alivyokuwa akidanganya uongo ni mbaya sana mtu unasikia kabisa kifaa kinakoroma angani unatuambia ndio modeli yake wakati ikitaka kutoa tairi
Acha upuuzi kuna haraka gani?...hiyo 2023 si kesho tu.
Kama kasema hivi kutakuwa na motive behind this...
 
Nchi ya hovyo, kuanzia serikali hadi raia ni kununua used tu!!
 
Watanzania bana hivi tukinunua kichwa used kimoja na mabehewa 15 ya kuanzia kuna ubaya gani? "sampling little portions"Ubaya labda taifa lingekuwa halina mpango wa vingine vipya hapo tungelaumu that's few are just for sampling and startup practices"

Mnafanana akili na huyo mtu wako, ukiondoa mafundo ya ushungi na baibui hakuna kitu mnajua, too low!
 
Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipamde cha Dar - Moro.

Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza kwa pesa nyingi tutavipokea 2023, na hivyo ndivyo vitakuja kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. "

Kutokana na kauli hiyo ya kupokelewa mabehewa mapya na engine zake hapo mwakani ikiwa ni miezi mitano tu ijayo, wadau na mimi nauliza kuna haja gani kununua used assets ikiwa kuna muda mfupi umebaki assets mpya zinakuja?.

Na je hivyo vipya vikifika hivyo chakavu vitapelekwa wapi siulizi garama zinazotumika!.
Hautaki sherehe ya uzinduzi wa SGR mwaka huu? Vipya vikija tutavizindua navyo kwa upya wake na vya zamani tutauza kama chuma chakavu.
 
Back
Top Bottom