Rais Samia: Tutatafuta Mtanzania mwenye vigezo kumrithi Dkt. Ndugulile WHO

Mbona ishu ndogo hivyo mnashindwa kuelewa?
Ile nafasi kwa sasa ipo wazi hivyo itatangazwa tena na kushindaniwa; sasa Tanzania ikipeleka mtu mwingine mwenye sifa akashindania kunatatizo gani?
Muhehimiwa Raisi hajasema atampatia mtu hiyo nafasi BALI amesema atapeleka mtu mwingine mwenye sifa kwenye kinyanyiro cha kujaza hiyo nafasi; Tatizo liko wapi?
Kuna kitu watu wa kwa malkia husema " learn to read between the lines" Jifunze kuelewa mtu anachosema kabla ya kuchangia kwa mihemko!
 
Amani iwe kwenu watanzania

Sizani na Sion kama Kuna mtu ana sifa za kurithi nafasi ya ndugulile huko WHO kumzidi dk mashinji

Hatuwezi kupeleka watu waliofel kuisaidia nchi tukawaacha watu wa maana kama dk mashinji

Dk mashinji na aliwakilishe taifa

AMINA
 
Kinacho wasumbua tunakijua ila tumekaa kimya ili amani ipatikane.
 
Amani iwe kwenu watanzania

Sizani na Sion kama Kuna mtu ana sifa za kurithi nafasi ya ndugulile huko WHO kumzidi dk mashinji

Hatuwezi kupeleka watu waliofel kuisaidia nchi tukawaacha watu wa maana kama dk mashinji

Dk mashinji na aliwakilishe taifa

AMINA
Ndugu Mashinji umeamua kuingia kambani mwenyewe unapiga kona na kuwahi kupiga kichwa kufunga....Umetisha sana..kila la khery.
 
Amani iwe kwenu watanzania

Sizani na Sion kama Kuna mtu ana sifa za kurithi nafasi ya ndugulile huko WHO kumzidi dk mashinji

Hatuwezi kupeleka watu waliofel kuisaidia nchi tukawaacha watu wa maana kama dk mashinji

Dk mashinji na aliwakilishe taifa

AMINA
Ujinga wetu kama nchi tunafikiri ile nafasi ni ya kurithi..
 
Asa itakuwaje ikiwa mama mwenye nyumba anampendekeza yule Dr anayeha masisha tushindie maji
 
Amani iwe kwenu watanzania

Sizani na Sion kama Kuna mtu ana sifa za kurithi nafasi ya ndugulile huko WHO kumzidi dk mashinji

Hatuwezi kupeleka watu waliofel kuisaidia nchi tukawaacha watu wa maana kama dk mashinji

Dk mashinji na aliwakilishe taifa

AMINA
Nimesikia hilo jambo nikashangaa sana!
 
Back
Top Bottom