Rais Samia: Tutatafuta Mtanzania mwenye vigezo kumrithi Dkt. Ndugulile WHO

Rais Samia: Tutatafuta Mtanzania mwenye vigezo kumrithi Dkt. Ndugulile WHO

Mimi nadhani Dr Cheni angefaa. Maana naona tunafanya mizaha na hiyo nafasi.
 
Amani iwe kwenu watanzania

Sizani na Sion kama Kuna mtu ana sifa za kurithi nafasi ya ndugulile huko WHO kumzidi dk mashinji

Hatuwezi kupeleka watu waliofel kuisaidia nchi tukawaacha watu wa maana kama dk mashinji

Dk mashinji na aliwakilishe taifa

AMINA
Bora mchungaji msigwa
 
kwanini Dr Mashinji na sio Dr Ulimboka
 
Kwan icho cheo ni mali ya ukoo kwamba wanarithiana.

Sema anaenda kugombea nafasi iloachwa wazi na marehemu.
 
Back
Top Bottom