Rais Samia: Tutatumia ndimi zetu kuwashawishi Benki ya dunia watupatie fedha tukamilishe yale tuliyoanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizindua jengo la Taaluma na Utawala pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo tarehe 08 Januari 2026, Buyu Zanzibar, amesema kuwa Serikali itafanya jitihada za kushawishi Benki ya Dunia ili ipatie fedha zitakazosaidia kukamilisha miradi iliyokwisha anza.

Pia Soma: Rais Samia: Tutaanza (miradi) kwa fedha ya ndani halafu wale wakimaliza 'objection' zao watatuunga katikati!
The blind leading the blind , both shall fall into the pit
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizindua jengo la Taaluma na Utawala pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo tarehe 08 Januari 2026, Buyu Zanzibar, amesema kuwa Serikali itafanya jitihada za kushawishi Benki ya Dunia ili ipatie fedha zitakazosaidia kukamilisha miradi iliyokwisha anza.

Pia Soma: Rais Samia: Tutaanza (miradi) kwa fedha ya ndani halafu wale wakimaliza 'objection' zao watatuunga katikati!
Ndimi zipi hizo, au hizo za kuwaukliza who are you?mxeeew stupid
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizindua jengo la Taaluma na Utawala pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo tarehe 08 Januari 2026, Buyu Zanzibar, amesema kuwa Serikali itafanya jitihada za kushawishi Benki ya Dunia ili ipatie fedha zitakazosaidia kukamilisha miradi iliyokwisha anza.

Pia Soma: Rais Samia: Tutaanza (miradi) kwa fedha ya ndani halafu wale wakimaliza 'objection' zao watatuunga katikati!
Mbwa kweli
 
Kauza bandari zetu zote ambazo zilikuwa zinaingiza mapato makubwa na Sasa ameanza kuwalilia WB?
Ameuzaje bandari? Acheni akili za kindezi!! Ile bandari imekodishwa kwa wataalamu wa kuendesha bandari ili ku improve performance.
 
Back
Top Bottom