Rais Samia: Tutatumia ndimi zetu kuwashawishi Benki ya dunia watupatie fedha tukamilishe yale tuliyoanza

Rais Samia: Tutatumia ndimi zetu kuwashawishi Benki ya dunia watupatie fedha tukamilishe yale tuliyoanza

Angalie kwanza ile video ya
" AMKAA MAMAA, MAMAA AMKAAAA"
Aloo sijawahi acha kumwombea yule mama siku zote ninapolala.
Eeewe Mungu wewe wajua,wewe ndiyo hakim wa haki.
Unaanzaje kum shoot mtu anayekimbia?
Tenda bwana!
 
Zile rare earth metals zetu zimeshibdwa kufurukuta tumerudi kulekule kwenye "Deni letu ni himilivu".😁

NB:Hao jamaa hawana muda na Lip service ni T&C apply,hakuna utawala bora hakuna pesa!!
 
Kila siku tunachowaza ni kukopa hatuna jingine
makusanyo TRA 32 trillion kwa mwaka, budget 56 trillion, na debt servicing 15 trillion( you can’t default) la sivyo the whole economy will collapse, usipokopa utapata wapi? Kukata matumizi ni kutolipa mishahara na kutonunua dawa mahospitalini, chaguo ni lako 😁
 
Mkuu lakini CCM wanaijua hii ? Au wanaropoja tu bila kujua Makusanyo ya TRA na Bajeti yote ya nchi ni kiasi gani?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizindua jengo la Taaluma na Utawala pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo tarehe 08 Januari 2026, Buyu Zanzibar, amesema kuwa Serikali itafanya jitihada za kushawishi Benki ya Dunia ili ipatie fedha zitakazosaidia kukamilisha miradi iliyokwisha anza.

Pia Soma: Rais Samia: Tutaanza (miradi) kwa fedha ya ndani halafu wale wakimaliza 'objection' zao watatuunga katikati!
Ujinga mzigo
 
The Big Picture: The government is spending nearly 31% of the budget (TZS 17.5 trillion) on Development to grow the economy. However, because tax revenue is only ~TZS 32-34 trillion, they have to borrow almost the entire amount needed for these projects.

makusanyo TRA 32 trillion kwa mwaka, budget 56 trillion, na debt servicing 15 trillion( you can’t default) la sivyo the whole economy will collapse, usipokopa utapata wapi? Kukata matumizi ni kutolipa mishahara na kutonunua dawa mahospitalini, chaguo ni lako 😁
Serikali ina matumizi mengi yasiyo ya lazima, tungeyakata hayo tungeokoa fedha nyingi sana.

Wote tunaonaga misafara ile ya magari zaidi ya 70. Siku hizi mbili tatu tunaona mamia ya viongozi wanamiminika Zanzibar kwenda kuonana na Rais wakati ingekuwa gharama nafuu zaidi Rais kukutana nao Dodoma. Ofisi za serikali zimejaa TV za kazi gani kama siyo upuuzi tu? Mambo ni mengi sana.
 
Mwanamke mzuri anayegombaniwa Tanzania leo kaamua kujirengesha kwa sponsor ā€œWho are you?ā€
 
🤣🤣 anawaaibisha chawa wake humu wanakosa cha kutetea
 
Back
Top Bottom