Rais Samia: Tutatumia ndimi zetu kuwashawishi Benki ya dunia watupatie fedha tukamilishe yale tuliyoanza

Mkuu lakini CCM wanaijua hii ? Au wanaropoja tu bila kujua Makusanyo ya TRA na Bajeti yote ya nchi ni kiasi gani?
For sure, wachache kama Mwigulu wanajua ila nina uhakika hawawezi kusema, ukweli nchi inaendeshwa na mikopo tena commercial loans with high interest, hakuna short cut,dawa ni kukuza uchumi na kukata matumizi la sivyo tunaingia shimoni
 
Safi mkiwa mnakosoa toeni na solutions kama hivi hongera Mkuu
 
Back
Top Bottom