Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

wewe ndio punguani wahedi.
Tuzo imetolewa na mhe.Rais kakiri kuwa Jembe alistahili
 
Kauli yenye busara, utu na uungwana
 
Yaani asingempa mzee Baba JPM hakika ningeshangaa, maana hakuna uhalisia wowote kwake na mzee wa maamuzi magumu ya ujenzi wa mabarabara.
 
Hii kauli yenye ukabila achana nayo mkuu, makosa ya wachache hawez kuhukuma kabila zima
Mi nafikiri, hili neno SUKUMA GANG, linamaanisha 'TIMU JIWE' na wapambe wake, kama akina Paramagamba, Polepole, Bashiru, Sabaya, na wale wooote waliokuwa wanafaidika na ule UTAWALA!
Waliokuwa WANATAMBA, sio WASUKUMA tu!
 
Hivi wewe ulevi wako unakupeleka wapi?
 
Hiyo tuzo kiuhalisia alistahiki apewe Kikwete, miradi yote ya Magufuli alikuwa ni msimamzi tu, mambo yote aliyoyafanya magufuli yalitoka kwa Kikwete. Ambalo halijatoka kwa Kikwete ni eyapoti ya Chato na kuhamishia wanyama chato.
 
Sio kama kipindi cha dhalimu.
Najisi ni najisi tu kwahiyo mngesema Jiwe kwa kutumia ccm amezidisha najisi na sio kutaka ionekane kana kwamba Jiwe ndio kaja kutia najisi uchaguzi na hakukuwa na najisi huko nyuma.
 
Najisi ni najisi tu kwahiyo mngesema Jiwe kwa kutumia ccm amezidisha najisi na sio kutaka ionekane kana kwamba Jiwe ndio kaja kutia najisi uchaguzi na hakukuwa na najisi huko nyuma.

Mwanzo kulikuwa kunafanyika wizi, dhalimu yeye hata kuiba hakutaka bali akapora mchakato wa uchaguzi.
 
Mwanzo kulikuwa kunafanyika wizi, dhalimu yeye hata kuiba hakutaka bali akapora mchakato wa uchaguzi.
Sasa kama toka zamani inajulikana kwamba vyovyote iwavyo lazima ccm atangazwe mshindi na kuendelea kushika dola na huko kwengine ndio wana balance, kwahiyo uchaguzi wa namna hiyo kwako bado hakuona kuwa ni kupora uchaguzi?
 
Kila uchaguzi ulivyokuwa unaendelea Ccm ilikuwa inazidi kupoteza nguvu. Dhalimu baada ya kuipotezea CCM mvuto, ikabidi apore uchaguzi ili asiingie lawamani toka kwa wanaccm wenzake kuwa ndio kaishusha ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…