Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Uonevu na uovu ni jadi, yenu hata sitashangaa.Anaebisha, aingie kitaa kuandamana ili tumnyooshe.
UchafuziKwa vigezo vya uadilifu, uaminifu, haki, maadili na hata weledi hii ni tume ya uchafuzi ama uchaguzi!?
Uchaguzi!Kwa vigezo vya uadilifu, uaminifu, haki, maadili na hata weledi hii ni tume ya uchafuzi ama uchaguzi!?
Uchafuzi Mkuu 2020Uchaguzi!
Uchaguzi wa kuidhinisha wizi na ubatiliUchaguzi!
Kwa hyo anahujumiwaAkiwakosoa inamaana hana mandate ya kuwa hapo alipo. Hamna jinsi inabidi awasifie tu.
😆😆😆Dini ya kweli ni ile ile ya rohoni si ile ya nje kujionyesha muda wote umejitanda na kuvaa madera kumbe muongo kama nini sijui.
Kuna kuficha nywele na kuficha mvi, tofautishaShe should be ashamed. Kuficha nywele na kusema uongo hakumpi utakatifu wowote.