Rais Samia: Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulifanyika vizuri sana

🤡🤡🤡
109_20210724_194739.jpg
109_20210724_194836.jpg
109_20210724_194857.jpg
 
Yuko sahihi....

Mh.Rais SSH yuko sahihi mno....

Mh.Trump alikuwa ni Rais na alilalamikia RAFU ZA WAZI ZA WAPINZANI....hii ina maana ya kwamba hata WAPINZANI huwa wanacheza RAFU na Wakati mwingine huwafanikisha kuingia IKULU.......

✓Yale mabegi ya KURA FEKI kule KAWE na kwingineko ilikuwa UJANJA MTUPU uliosukwa na "jamaa" ili KUICHAFUA CCM ,NCHI NA SERIKALI YAKE.

#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#KaziIendelee
Kwakuwa hivi ni viwango vya weledi wa Wana kijani sitashangaa.
 
Du! Anaye sifia uchaguzi mkuu wa 2020 bila shaka alikuwa ndotoni kipindi hicho
 
Trump alilalamikia RAFU ZA WAPINZANI.....

Si lazima mpinzani akishinda anakuwa HAJATUMIA JANJAJANJA na "setups" kama MAIGIZO YALIYOKO KATIKA PICHA HIZO HAPO JUU.....
Unaweza kuthibitisha kuwa ni maigizo?
 
Huyu mama wakati anaingia nilimuamini sana. Aisee wala haogopi kuongopa. Mambo mengine heri ukae kimya. Atajajuta ile siku ni yeye na Malaika wa roho wakati akimtoa roho kwa ukatili na maumivu machungu kama wanayowaletea wananchi.
 
Hapo ameongopa nini sasa?!!

Mh.Rais SSH ametukumbusha zile rafu za MAIGIZO YA WALIOTENGENEZA KURA FEKI NA KUZISAMBAZA VITUONI ili serikali ICHAFUKE NA KUAIBIKA....

Kwa maigizo yao yale iko siku nao WATAKUTANA na malaika mtoa roho......
 
Huyu mama wakati anaingia nilimuamini sana. Aisee wala haogopi kuongopa. Mambo mengine heri ukae kimya. Atajajuta ile siku ni yeye na Malaika wa roho wakati akimtoa roho kwa ukatili na maumivu machungu kama wanayowaletea wananchi.
Wao wanaamini kwamba Watanzania ni Wajinga kabisa , Zumbukuku .
 
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu

=====

Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mshindi wa urais na kuzoea karibu majimbo na kata zote.

“Hakuna shaka, yeyote aliyeshuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka jana alishuhudia jinsi ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana,” amesema Rais Samia.

Huyu bibi ameshalewa kitu flani sasa.
 
Ukisikia kupatwa na uwendawazimu, ndiyo huku.
 
Back
Top Bottom