Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Hivi inakuwaje mtu akifanya hivyo ?Kajamba kwenye maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inakuwaje mtu akifanya hivyo ?Kajamba kwenye maji
Uchafuzi mtupu hakukuwa na uchaguzi 2020Kwa vigezo vya uadilifu, uaminifu, haki, maadili na hata weledi hii ni tume ya uchafuzi ama uchaguzi?
Hivi wewe mjinga nikikutukana nitakuwa nimekosea?Yuko sahihi
Mh.Rais SSH yuko sahihi mno
Mh. Trump alikuwa ni Rais na alilalamikia RAFU ZA WAZI ZA WAPINZANI. Hii ina maana ya kwamba hata WAPINZANI huwa wanacheza RAFU na Wakati mwingine huwafanikisha kuingia IKULU.
✓Yale mabegi ya KURA FEKI kule KAWE na kwingineko ilikuwa UJANJA MTUPU uliosukwa na "jamaa" ili KUICHAFUA CCM, NCHI NA SERIKALI YAKE.
#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#KaziIendelee
Sawa sawa
Sisi hatujabisha
Tumepokea
Haitwi maza... Anaitwa Bibi tozo?Off course, Maza lazima awasifu kwa kufanya kazi vizuri kwa jinsi walivyoelekezwa. Lakini time is ticking na mwisho lazima utakuja.
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu
=====
Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mshindi wa urais na kuzoea karibu majimbo na kata zote.
“Hakuna shaka, yeyote aliyeshuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka jana alishuhudia jinsi ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana,” amesema Rais Samia.

Kumbe Kuna Waislamu haramuAkiwakosoa inamaana hana mandate ya kuwa hapo alipo. Hamna jinsi inabidi awasifie tu.
Kumbe Kuna Waislamu Haramu! Bila haya yanatamkwa HaramuUjumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu
=====
Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mshindi wa urais na kuzoea karibu majimbo na kata zote.
“Hakuna shaka, yeyote aliyeshuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka jana alishuhudia jinsi ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana,” amesema Rais Samia.
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu
=====
Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mshindi wa urais na kuzoea karibu majimbo na kata zote.
“Hakuna shaka, yeyote aliyeshuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka jana alishuhudia jinsi ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana,” amesema Rais Samia.
Mmeshindwa kunyoosha tozo zinazoibuliwa kila saa, hiyo nguvu ungeitumia kupinga huu uonevu labda ungeonekana japo una akili kisodaAnaebisha, aingie kitaa kuandamana ili tumnyooshe.
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu
=====
Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mshindi wa urais na kuzoea karibu majimbo na kata zote.
“Hakuna shaka, yeyote aliyeshuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka jana alishuhudia jinsi ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana,” amesema Rais Samia.
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu
=====
Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mshindi wa urais na kuzoea karibu majimbo na kata zote.
“Hakuna shaka, yeyote aliyeshuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka jana alishuhudia jinsi ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana,” amesema Rais Samia.
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu
=====
Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mshindi wa urais na kuzoea karibu majimbo na kata zote.
“Hakuna shaka, yeyote aliyeshuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka jana alishuhudia jinsi ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana,” amesema Rais Samia.
Hongera sana Tume ya uchaguzi
Yuko sahihi
Mh.Rais SSH yuko sahihi mno
Mh. Trump alikuwa ni Rais na alilalamikia RAFU ZA WAZI ZA WAPINZANI. Hii ina maana ya kwamba hata WAPINZANI huwa wanacheza RAFU na Wakati mwingine huwafanikisha kuingia IKULU.
✓Yale mabegi ya KURA FEKI kule KAWE na kwingineko ilikuwa UJANJA MTUPU uliosukwa na "jamaa" ili KUICHAFUA CCM, NCHI NA SERIKALI YAKE.
#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#KaziIendelee
View attachment 1901963Hongera sana Tume ya uchaguzi