Rais Samia: Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulifanyika vizuri sana

Kwakuwa hivi ni viwango vya weledi wa Wana kijani sitashangaa.
 
Du! Anaye sifia uchaguzi mkuu wa 2020 bila shaka alikuwa ndotoni kipindi hicho
 
Trump alilalamikia RAFU ZA WAPINZANI.....

Si lazima mpinzani akishinda anakuwa HAJATUMIA JANJAJANJA na "setups" kama MAIGIZO YALIYOKO KATIKA PICHA HIZO HAPO JUU.....
Unaweza kuthibitisha kuwa ni maigizo?
 
Huyu mama wakati anaingia nilimuamini sana. Aisee wala haogopi kuongopa. Mambo mengine heri ukae kimya. Atajajuta ile siku ni yeye na Malaika wa roho wakati akimtoa roho kwa ukatili na maumivu machungu kama wanayowaletea wananchi.
 
Hapo ameongopa nini sasa?!!

Mh.Rais SSH ametukumbusha zile rafu za MAIGIZO YA WALIOTENGENEZA KURA FEKI NA KUZISAMBAZA VITUONI ili serikali ICHAFUKE NA KUAIBIKA....

Kwa maigizo yao yale iko siku nao WATAKUTANA na malaika mtoa roho......
 
Huyu mama wakati anaingia nilimuamini sana. Aisee wala haogopi kuongopa. Mambo mengine heri ukae kimya. Atajajuta ile siku ni yeye na Malaika wa roho wakati akimtoa roho kwa ukatili na maumivu machungu kama wanayowaletea wananchi.
Wao wanaamini kwamba Watanzania ni Wajinga kabisa , Zumbukuku .
 
Huyu bibi ameshalewa kitu flani sasa.
 
Ukisikia kupatwa na uwendawazimu, ndiyo huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…