Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Sana yaniKwamba mpina ana uchungu sana na wqna wa nchi???
Agombee urahisi (uraisi)Sana yani
Wasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa pale!Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari.
Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti.
Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na akishatoa maagizo lazima yatekelezwe na yasipofuatwa mtarajie adhabu kali sana, wakati huko kanda ya Pwani mama ndiyo kiongozi wa familia na watoto wanafuata maagizo ya mama huku baba akibaki kama pambo tu ndani ya nyumba. Kwa hiyo mtu wa kanda ya ziwa( ondoa mkoa wa Kagera) akishamini jambo lake hageuki nyuma tena hata umtishe na kitu gani. Namtaarifu tu Rais Samia kuwa hatakaa aombwe msamaha na hao watu wawili maana wanaamini kupinga utekaji na ufisadi ndiyo jambo linalotakiwa kufanywa na serikali au mtu yoyote mwenye akili timamu. Sasa inapotokea wanaopinga utekaji na ufisadi ndiyo wanaandamwa na serikali hilo ni jambo la ajabu na mtu wa kanda ya ziwa hatakubaliana nalo.
Yani ukosee wewe alafu uombwe msamaha wewe? Hilo halipo.
Hawaombi ng'oooWasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa pale!
P
Muhimu zaidi wananchi wapate maendeleo, uropokaji na misamaha yao wabaki nayo tu na familia zao gentleman ikiwa inawasaidia kiuchumi au kisiasa 🐒Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari.
Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti.
Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na akishatoa maagizo lazima yatekelezwe na yasipofuatwa mtarajie adhabu kali sana, wakati huko kanda ya Pwani mama ndiyo kiongozi wa familia na watoto wanafuata maagizo ya mama huku baba akibaki kama pambo tu ndani ya nyumba. Kwa hiyo mtu wa kanda ya ziwa( ondoa mkoa wa Kagera) akishamini jambo lake hageuki nyuma tena hata umtishe na kitu gani. Namtaarifu tu Rais Samia kuwa hatakaa aombwe msamaha na hao watu wawili maana wanaamini kupinga utekaji na ufisadi ndiyo jambo linalotakiwa kufanywa na serikali au mtu yoyote mwenye akili timamu. Sasa inapotokea wanaopinga utekaji na ufisadi ndiyo wanaandamwa na serikali hilo ni jambo la ajabu na mtu wa kanda ya ziwa hatakubaliana nalo.
Yani ukosee wewe alafu uombwe msamaha wewe? Hilo halipo.
Mkuu P, ebu tuambie wataombeshwa na nani, na kutoka kanda gani?Wasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa pale!
P
We mshamba wa kisukuma unajulikana kwa ukabila, ht hivyo ni msukuma gani ana hadhi ya Ndugai? Hao ngedere unawalinganisha na mkuu wa mhimili wa bunge? Nenda kaharishe huo upumbavu. We bwege unaelewa maana ya Rais wa nchi yetu? Rais wa nchi hii ndiyo kiongozi pekee mwenye viapo vitatu, Rais ni mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu. Sasa Mpina ni sisimizi gani mbele ya Rais? Angetaka angeshamfukuza chama na automatically angeondoka bungeni. Kweli we ni mshamba na bwege la kisukuma.Acha kuwadhalilisha wasukuma wakati wengi wana akili zao, kila kabila ina wapumbavu ndio hao kina Mpina na Gwajima. Nenda kamsikilize Rais wetu yuko hapo kwenu Maswa. Ht huoni wana-Maswa wenye akili walivyompokea na jinsi wanavyomfurahia? Kaangalie nyomi ya wana Maswa nenda kaungane nao. Huna Rais mwingine mpk 2030Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari.
Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti.
Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na akishatoa maagizo lazima yatekelezwe na yasipofuatwa mtarajie adhabu kali sana, wakati huko kanda ya Pwani mama ndiyo kiongozi wa familia na watoto wanafuata maagizo ya mama huku baba akibaki kama pambo tu ndani ya nyumba. Kwa hiyo mtu wa kanda ya ziwa( ondoa mkoa wa Kagera) akishamini jambo lake hageuki nyuma tena hata umtishe na kitu gani. Namtaarifu tu Rais Samia kuwa hatakaa aombwe msamaha na hao watu wawili maana wanaamini kupinga utekaji na ufisadi ndiyo jambo linalotakiwa kufanywa na serikali au mtu yoyote mwenye akili timamu. Sasa inapotokea wanaopinga utekaji na ufisadi ndiyo wanaandamwa na serikali hilo ni jambo la ajabu na mtu wa kanda ya ziwa hatakubaliana nalo.
Yani ukosee wewe alafu uombwe msamaha wewe? Hilo halipo.
Wale hawang'ati na kupuliza kama wewe Pasco. Yaani P, siku hizi unakera sana, umekuwa kama raia wa Giningi umelishwa 'unga wa ndele' ( Ref: Kivuli Kinaishi), Sasa Nyeupe unaiita Nyeusi.Wasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa pale!
P
M"ayala maana yake njaa".Wasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa pale!
P
hapana bibi yako ndiye anaoKwamba mpina ana uchungu sana na wqna wa nchi???
Na wewe ulipanda lorriMuhimu zaidi wananchi wapate maendeleo, uropokaji na misamaha yao wabaki nayo tu na familia zao gentleman ikiwa inawasaidia kiuchumi au kisiasa 🐒
Gentleman,Na wewe ulipanda lorri
Ova
Sawa sawa ndomana wanapandishwa kwenye maloriGentleman,
wananchi wataendelea kuwezeshwa kwa hali na mali kumfikia kirahisi rais na kipenzi cha waTanzanaia wote Dr.SAMIA SULUHU HASSAN
Mzee mnafiki @pascalMayalla nakuona katika ubora wako wa kinafiki. ULIJIPENDEKEZA KWA JIWE HAKUKUTEUA, SASA UPO NA UNAJIPENDEKEZA KWA HUYU MAZA NA HATOKUTAMBUA. Acha unafiki wewe babu Mayala..... Unadhani miaka uliyo nayo 60+ ni wa kufanya mambo ya kishamba na uchawa kiasi hiki? ACHA UNAFIKI WEWE JAMAA.Wasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa pale!
P
Siwezi kukubishia maana hata wewe uliwekwa mtu katiWasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa pale!
P
Mzee jama ww hata hekima hunaWasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa pale!
P