Rais Samia ujue ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha

Muhimu zaidi wananchi wapate maendeleo, uropokaji na misamaha yao wabaki nayo tu na familia zao gentleman ikiwa inawasaidia kiuchumi au kisiasa 🐒
Maendeleo ya Samia kupanic.... Ndugai alisema ukweli akapanic,..... Gwajima anasema ukweli akapanic,..... Mpina kasema ukweli ameoanic,.... Bado wanaosema na wanapiga bila sababu. Wewe chawa Tlaatlaah ni nani hata upingane na unayemsujudia?? Acha ushubwada arifu.
 
kuropoka nonsense ni kitu mbaya sana gentleman
 
We mshamba wa kisukuma unajulikana kwa ukabila, ht hivyo ni msukuma gani ana hadhi ya Ndugai? Hao ngedere unawalinganisha na mkuu wa mhimili wa bunge? Nenda kaharishe huo upumbavu. We bwege unaelewa maana ya Rais wa nchi yetu? Rais wa nchi hii ndiyo kiongozi pekee mwenye viapo vitatu, Rais ni mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu. Sasa Mpina ni sisimizi gani mbele ya Rais? Angetaka angeshamfukuza chama na automatically angeondoka bungeni. Kweli we ni mshamba na bwege la kisukuma.Acha kuwadhalilisha wasukuma wakati wengi wana akili zao, kila kabila ina wapumbavu ndio hao kina Mpina na Gwajima. Nenda kamsikilize Rais wetu yuko hapo kwenu Maswa. Ht huoni wana-Maswa wenye akili walivyompokea na jinsi wanavyomfurahia? Kaangalie nyomi ya wana Maswa nenda kaungane nao. Huna Rais mwingine mpk 2030
Inasikitisha sana pale mwanaume unapoamua kujivua uanaume na kuanza kuwa chawa dah.

Hata hao akina Gwajiboy na Mpina wangekuwa ngedere kama ulivyowaita ila kama wameweza kutoka hadharani na kukemea vitendo vibaya vya utekaji, udhalilishaji, kupiga na kuua wanananchi hakika mimi na watu wengine hatutasita kuwaunga mkono hao ngedere wenye akili ya huruma kuliko watawala ambao wanaona raia wa nchi kufa kwa kuuawa au kufia mikononi mwa polisi.
 
Wasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa p

Wasipo omba msamaha, wataombeshwa!, utakuja kuniambia mimi nimekaa pale!

P
Kuwaelewa ccm ni ngumu sana aisee
Kwa hali ilipofika sasa hivi mpina anaweza kunyimwa nafasi ya kugombea
Sasa mpina alivyo na influence kubwa unamuondoaje ccm wakati angekuwa nje ya ccm angenunuliwa kwa gharama kubwa sana
 
Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari.
Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti.
Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na akishatoa maagizo lazima yatekelezwe na yasipofuatwa mtarajie adhabu kali sana, wakati huko kanda ya Pwani mama ndiyo kiongozi wa familia na watoto wanafuata maagizo ya mama huku baba akibaki kama pambo tu ndani ya nyumba. Kwa hiyo mtu wa kanda ya ziwa( ondoa mkoa wa Kagera) akishamini jambo lake hageuki nyuma tena hata umtishe na kitu gani. Namtaarifu tu Rais Samia kuwa hatakaa aombwe msamaha na hao watu wawili maana wanaamini kupinga utekaji na ufisadi ndiyo jambo linalotakiwa kufanywa na serikali au mtu yoyote mwenye akili timamu. Sasa inapotokea wanaopinga utekaji na ufisadi ndiyo wanaandamwa na serikali hilo ni jambo la ajabu na mtu wa kanda ya ziwa hatakubaliana nalo.
Yani ukosee wewe alafu uombwe msamaha wewe? Hilo halipo.
Maswa Yetu wamekukwaza nini huo kijanini?
Naona unanena kwa Roho Mtakatifu badala kumwinamia na kumsujudia mke wa Ahabu, Bi Jezebel a.k.a Chief Hangaya

Mlionywa mara nyingi, kuwa roho dhalimu na kiuaji iliyo ndani ya Samia ikitoka kwa CHADEMA, itahamia kwa viongozi wa dini, ikitoka huko itarudi ndani mwenu CCM na mtaanza kutafunana nyie kwa nyie. Ndiyo haya sasa

Karibu kwenye timu No Reforms No Election
 
Mechi ya Siasa imepamba Moto!!!

Jana
Mh. Mpina (Mbunge) ameanzishiwa mpira kwakupewa kipaza sauti. Akapiga chenga kwa ustadi wa hali ya juu sana, japo anashindwa kuusoma mlengo wa refa wa mchezo. Anafanya kucheza rafu kidogo katika timu pinzani ya Watawala.

Ghafla
Ananyanganywa mpira na mkabidhi kipaza na pass inapigwa moja kwa moja kwa Mh. Bashe (Mbunge). Bashe anautuliza kifuani na kuushusha miguuni...ghafla anauunganisha mpira kwa shuti moja matata sana kuelekea alipo Mh. Rais Samia. Mh. Samia bila kupoteza muda anabutua majalo moja Matata sana na mpira unakwishaaa!!!!

Binafasi
Naona bado safari ni ndefu sana. Tutaona na kuyaskia mengi kipindi hiki, kikubwa kuzisoma nyakati kwa umakini sana ndugu zangu Wanasiasa!!!!!.
 
Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari.
Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti.
Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na akishatoa maagizo lazima yatekelezwe na yasipofuatwa mtarajie adhabu kali sana, wakati huko kanda ya Pwani mama ndiyo kiongozi wa familia na watoto wanafuata maagizo ya mama huku baba akibaki kama pambo tu ndani ya nyumba. Kwa hiyo mtu wa kanda ya ziwa( ondoa mkoa wa Kagera) akishamini jambo lake hageuki nyuma tena hata umtishe na kitu gani. Namtaarifu tu Rais Samia kuwa hatakaa aombwe msamaha na hao watu wawili maana wanaamini kupinga utekaji na ufisadi ndiyo jambo linalotakiwa kufanywa na serikali au mtu yoyote mwenye akili timamu. Sasa inapotokea wanaopinga utekaji na ufisadi ndiyo wanaandamwa na serikali hilo ni jambo la ajabu na mtu wa kanda ya ziwa hatakubaliana nalo.
Yani ukosee wewe alafu uombwe msamaha wewe? Hilo halipo.
Sawa so?
 
We mshamba wa kisukuma unajulikana kwa ukabila, ht hivyo ni msukuma gani ana hadhi ya Ndugai? Hao ngedere unawalinganisha na mkuu wa mhimili wa bunge? Nenda kaharishe huo upumbavu. We bwege unaelewa maana ya Rais wa nchi yetu? Rais wa nchi hii ndiyo kiongozi pekee mwenye viapo vitatu, Rais ni mkuu wa nchi, kiongozi mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu. Sasa Mpina ni sisimizi gani mbele ya Rais? Angetaka angeshamfukuza chama na automatically angeondoka bungeni. Kweli we ni mshamba na bwege la kisukuma.Acha kuwadhalilisha wasukuma wakati wengi wana akili zao, kila kabila ina wapumbavu ndio hao kina Mpina na Gwajima. Nenda kamsikilize Rais wetu yuko hapo kwenu Maswa. Ht huoni wana-Maswa wenye akili walivyompokea na jinsi wanavyomfurahia? Kaangalie nyomi ya wana Maswa nenda kaungane nao. Huna Rais mwingine mpk 2030
🌈
 
Kwa katiba yetu hata Mpina anaweza kuwa rais, sijui utaficha wapi sura yako we chawa
 
Watekaji mtaangamizwa, kwani umesikia nani ametekwa baada ya Gwajima kukemea?
Wewe endelea kupayuka,pale Singida amepotea jamaa mmja tena mwenye pesa zake ,na mwingine sijui ni wapi nimesahau.

Jifariji na ropoka utakutana nao.
 
Back
Top Bottom