Rais Samia ujue ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha

Rais Samia ujue ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha

Laana ipi tena nuu ? Wakati ndio kwanza tunakimbiza dunia kiuchumi?
Ukiwa unaishi Tanzania hujawahi kwenda Duniani utadanganywa ila ukweli ni kwamba Africa inaishi kurudi nyuma si kwenda mbele,kuna sehemu ukienda mpaka unatamani umuulize Mungu why Africa umeifanya iwe hivi ilivyo 😤
 
Duh
 
Madhara ya kushangila kifo cha magu
 
Kwanza aombe msamaha wa Nini?kuambiwa kero za jimboni ni kosa?hapo aliyeonekana mjinga hata Kwa mtoto mdogo ni yule aliyeanza kukejeli badala ya kujibu namna ya kutatua kero iliyowasilishwa.warithi wa urithi ni wabaya sana
 
Mzee mnafiki @pascalMayalla nakuona katika ubora wako wa kinafiki. ULIJIPENDEKEZA KWA JIWE HAKUKUTEUA, SASA UPO NA UNAJIPENDEKEZA KWA HUYU MAZA NA HATOKUTAMBUA. Acha unafiki wewe babu Mayala..... Unadhani miaka uliyo nayo 60+ ni wa kufanya mambo ya kishamba na uchawa kiasi hiki? ACHA UNAFIKI WEWE JAMAA.
Mayala bado kijana mdogo Sana ukimlinganisha na rais wa Uganda, makamu wake Moses na hata makamu bara. Mayala bado anaweza kua katibu mkuu mzuri wa CCM.
 
Kwanza aombe msamaha wa Nini?kuambiwa kero za jimboni ni kosa?hapo aliyeonekana mjinga hata Kwa mtoto mdogo ni yule aliyeanza kukejeli badala ya kujibu namna ya kutatua kero iliyowasilishwa.warithi wa urithi ni wabaya sana
Uko sahihi
 
wasukuma ni watu wa hovyo na waoga kuliko watu wote katika nchi hii.
 
Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari.
Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti.
Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na akishatoa maagizo lazima yatekelezwe na yasipofuatwa mtarajie adhabu kali sana, wakati huko kanda ya Pwani mama ndiyo kiongozi wa familia na watoto wanafuata maagizo ya mama huku baba akibaki kama pambo tu ndani ya nyumba. Kwa hiyo mtu wa kanda ya ziwa( ondoa mkoa wa Kagera) akishamini jambo lake hageuki nyuma tena hata umtishe na kitu gani. Namtaarifu tu Rais Samia kuwa hatakaa aombwe msamaha na hao watu wawili maana wanaamini kupinga utekaji na ufisadi ndiyo jambo linalotakiwa kufanywa na serikali au mtu yoyote mwenye akili timamu. Sasa inapotokea wanaopinga utekaji na ufisadi ndiyo wanaandamwa na serikali hilo ni jambo la ajabu na mtu wa kanda ya ziwa hatakubaliana nalo.
Yani ukosee wewe alafu uombwe msamaha wewe? Hilo halipo.
Ongezea na Tundu Lissu. Jamii za kifugaji kwa ujumla
 
Umenikwaza kusema sisi wanaume kutoka mkoa wa Kagera hatuna msimamo
Ni hivi wanaume wenye msimamo hasa tupo mkoa wa Kagera
Sisi tushawaachia mambo yenu ya ovyo na hangaya wenu
Huko usukumani mmepakiwa kwenye malori kwenda kwenye mkutano na wengine kupata ajali na kupoteza maisha, ila nakuhakikishia mtu wa Kagera hawezi kupanda na kupelekea kwenye mkutano kama wapumbavu wasukuma walivofanya
 
Back
Top Bottom