Rais Samia ujue ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha

Laana ipi tena nuu ? Wakati ndio kwanza tunakimbiza dunia kiuchumi?
Ukiwa unaishi Tanzania hujawahi kwenda Duniani utadanganywa ila ukweli ni kwamba Africa inaishi kurudi nyuma si kwenda mbele,kuna sehemu ukienda mpaka unatamani umuulize Mungu why Africa umeifanya iwe hivi ilivyo 😤
 
Duh
 
Madhara ya kushangila kifo cha magu
 
Kwanza aombe msamaha wa Nini?kuambiwa kero za jimboni ni kosa?hapo aliyeonekana mjinga hata Kwa mtoto mdogo ni yule aliyeanza kukejeli badala ya kujibu namna ya kutatua kero iliyowasilishwa.warithi wa urithi ni wabaya sana
 
Mayala bado kijana mdogo Sana ukimlinganisha na rais wa Uganda, makamu wake Moses na hata makamu bara. Mayala bado anaweza kua katibu mkuu mzuri wa CCM.
 
Kwanza aombe msamaha wa Nini?kuambiwa kero za jimboni ni kosa?hapo aliyeonekana mjinga hata Kwa mtoto mdogo ni yule aliyeanza kukejeli badala ya kujibu namna ya kutatua kero iliyowasilishwa.warithi wa urithi ni wabaya sana
Uko sahihi
 
wasukuma ni watu wa hovyo na waoga kuliko watu wote katika nchi hii.
 
Ongezea na Tundu Lissu. Jamii za kifugaji kwa ujumla
 
Umenikwaza kusema sisi wanaume kutoka mkoa wa Kagera hatuna msimamo
Ni hivi wanaume wenye msimamo hasa tupo mkoa wa Kagera
Sisi tushawaachia mambo yenu ya ovyo na hangaya wenu
Huko usukumani mmepakiwa kwenye malori kwenda kwenye mkutano na wengine kupata ajali na kupoteza maisha, ila nakuhakikishia mtu wa Kagera hawezi kupanda na kupelekea kwenye mkutano kama wapumbavu wasukuma walivofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…