Rais Samia ujue ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha

Mpina HATAKUWA Mbunge tena wa CCM. Mhuni Gwajima HATAKUWA tena Mbunge wa CCM na aombe sana Mungu kama Kanisa lake litafunguliwa na kama litasimama kama awali. Baada ya hapo, hakuna haja ya kuomba msamaha.
 
Forget it, Luhaga Mpina na Josephat Gwajima si type ya watu wanaoweza kuomba msamaha. Hata wakiombeshwa (wakilazimishwa) hawatakubali kuomba msamaha. Nawafahamu sana watani zangu.
Kuna makabila ni jikomba komba na kuna makabila firm! Kamwe huwezi kumsikia Mmasai anajikomba!. Wasukuma pia tuko hivyo, its a firm tribe sio kabila jikomba komba.
Tatizo tumeingiliwa sana na vijitu vya vikabila vya hovyo hovyo na kutuchafulia kabila!.

Sio kila anayeongea Kisukuma ni Msukuma!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…