Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Kama wahutu kweli ni mbumbumbu au less mentally gifted(kwa mujibu wa maelezo yako yenye chembe chembe za chuki dhidi ya ndugu zenu wahutu na kujiinua kwa Tutsi), wakati huo huo Hutu ndiyo ethnic group yenye population kubwa Rwanda na mmoja wa hao wahutu ni Vice- President. Then SASHA hana haja ya kwenda huko; maana ataishia kujifunza roho mbaya na ubaguzi kama uliouonesha kwenye uzi wako huu.
Lakini pia tukumbuke roho mbaya, ubaguzi, kutokata kukosolewa, kugandamiza demokrasia, kunyanyasa wapinzani , utekaji, mauaji, kujitangazia ushindi wa % kubwa kwenye chaguzi na kupenda kuabudiwa ni tabia ambazo mwenda zake kwa sehemu kubwa alikopi na kupaste kutoka kwa PA-KA.