Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

Unamsapoti mtusi mwenzako fala ww
 
unawajua wanywaranda na wakenya ama unawasoma kwenye makaratasi na devices kama hivi tu? nani alikwambia kagame ni genius kwa lipi kivipi
 
Ndege wanaofanana wanaruka pamoja! Kama Mama hana sera za kukandamiza Demokrasia sidhani kama watakuwa na lugha moja.
 
UMETULETEA MAWAZO YA KIULEMAVU ETI WANAYARWANDA WANA AKILI SANA? HIVI WATANZANIA TUTAONDOKANA LINI NA HIZI KASUMBA ZA KUTOJIAMINI?
 
unamzungumzia huyo muuaji chief.
 
"Upumbavu huu wa siasa they so called Democracy hatutoboi miaka 10000"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashabuki wa udijteta mmeshafeli. Hamtoboi tena shetani wenu kadanja
 
"Upumbavu huu wa siasa they so called Democracy hatutoboi miaka 10000"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashabiki wa udikteta hamtoboi mmeshafeli. Shetani wenu kashadanja. Kubalini matokeo.
 
kunakalika basi, uchumi wa rwanda ni show off tu hamna kitu
Uko kigali tu. Kule Katerege magharibi na kusini wananchi hata vyoo hawana. Maji wanakunyw amatope. TV za rwanda na waandishi wa habari ni marufuku kuonesha maendeleo ya Rwanda nje ya Kigali. Pk ni viampire anakula nyama na damu za watu live.
 
Rwanda ndo wanatakiwa wajifunze kutoka kwetu kwa kila kitu.. maana hamna walichotuzidi kuanzia kwenye demokrasia mpaka mbinu za utawala bora nisiende mbali sana

Kwa kifupi Kagame ana Mengi sana ya kujifunza kutoka kwetu..
 
Naona unampigia chapuo mjomba wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…