Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

Rwanda wamefikia wapi kiuchumi kama TZ wenyewe tunawazidi?
unaongea kama unapakuliwa vilee...

1 Rwandan franc equals
2.35 Tanzanian Shilling
5 May, 15:06 UTC ·

Uchumi wa Rwanda wakua kwa asilimia 8.9 katika mwaka wa fedha 2017/18​

(GMT+08:00) 2018-11-30 08:58:34
Benki kuu ya Rwanda imesema uchumi wa Rwanda umekua kwa asilimia 8.9 katika mwaka wa fedha 2017/18, ikilinganishwa na asilimia 3.4 ya mwaka uliotangulia.
Akiwasilisha ripoti ya benki kuu kwenye kikao cha bunge mjini Kigali, Gavana wa benki kuu ya Rwanda Bw. John Rwangombwa amesema ukuaji huo wa uchumi unatokana na hali nzuri ya hewa kwa uzalishaji wa kilimo, kufufuka kwa sekta ya ujenzi na kuboreka kwa bei za bidhaa za kimataifa.
Bw. Rwangombwa amesema utendaji mzuri wa uchumi wa dunia pia ulichangia ongezeko la asilimia 57.6 la uuzaji nje wa bidhaa za Rwanda kwa mwaka huu, ikilinganishwa na asilimia 7.1 ya mwaka jana, ukuaji ambao ulipunguza urari mbaya wa Rwanda kwenye biashara za kimataifa kwa asilimia 21.1.

sasa jiulize wewe uchumi wako TZ kwa sasa uko vipi
 
Despot
kwa nini aende Rwanda na asiende UK, Israel, US, RSA au Singapore?
I estimate your IQ under 60
Hiyo ndiyo akili na huko ndiyo kuna brain. Sisi wenyewe tumewafunfisha Rwanda mambo mengi wakati wa BWM kama mifumo ya mapato na Benki
 
Duh kweli ubaguzi bado uko Rwanda...


Genta ninyi watusi Ni wabaguzi Sana...

Mission failed though. Hii ndio tanzania
 

Invisible & Moderator naomba Tafadhali fanyeni kazi yenu kwa umakini. Kwa maana naona huyu kaandika mada yake vizuri kwa kuanzia. Lkn mwishoni kamalizia kwa ubaguzi wa hali ya juu.
Na moja kati ya masharti ya JF ni kutokuwa na ubaguzi wa aina yoyote. Sasa huyu kamalizia uzi wake kwa kuleta chuki na uhasama. Naomba ushirikiano wenu tafadhali.
 
Ruanda ina-prosperity kwenye nini? uchumi watu Tz ni mkubwa kuliko wa ruanda. you better shut up.
 
I'm very sorry to read such an idiotic thread, uchumi wetu ni mkubwa kuliko wa hao wanyaruanda. Watusi ni majority both Rwanda na Burundi over 80%. hujui lolote zaidi ya upopoma tu.
 
Asiende kule atakuwa na akili kama mwendazake
 
Hivi Uchumi wa Rwanda ni mkubwa kwa kiasi gani?,Rwanda imetoka kwenye kundi la Nchi masikini?,per capita income yao ni ngapi?.
 
Uchumi na watu kuishi kwa uhuru ndiyo jadi yetu sisi watanzania.Tanzania haina cha kujifunza Rwanda.Watanzania sisi tunaishi kindugu tunapendana makabila yote.Moto wa kigeni hatuutaki.
 
Hahahaha Popoma kakimbia Uzi wake
Kwa sasa yuko busy anapitia madaftari yake ya matusi aje akamwage upupu wake humu dhidi ya wenye akili kumzidi...eti taifa letu lina cha kujifunza kutoka Rwanda! Sijui JF imeruhusuje hali kama hii iendelee humu. Subiri tu, bado kidogo muda si mrefu ataingia ushuhudie ninalosema....tik tak...tik tak...tik tak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…