Rais Samia: Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana

Rais Samia: Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana

Mie hayo ndo napeenda sana watu wanifanyie lkn siwaoni.siwapati.siwasikii sijui kwa nini???

Au mimi siyo maarufu?? No ni maarufu sababu kila kitu changu wazi zaidi sifichi kitu lkn sipigwi majungu ngoja nigombee uwaziri mkuu tuone wakinyamaza km hivi ntakuwa katibu mkuu wa UNO.
Wakinyamaza tena.
Naunda chombo changu kipya cha kimataifa.
Wakinyamaza tena najua ntaenda mbinguni tuu
 
Back
Top Bottom