Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.