Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Jamaa una Chuki kubwa mnooo juu ya Samia na Tanzania! Vumilia, miaka 9 iliyobaki siyo mingi...Atakaa umpendaye thenYaani ziara zake Kimataifa na ile promotion ya Royal Tour zote taabani!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa una Chuki kubwa mnooo juu ya Samia na Tanzania! Vumilia, miaka 9 iliyobaki siyo mingi...Atakaa umpendaye thenYaani ziara zake Kimataifa na ile promotion ya Royal Tour zote taabani!!
Ishu si kumpenda au kumchukia SSH...Jamaa una Chuki kubwa mnooo juu ya Samia na Tanzania! Vumilia, miaka 9 iliyobaki siyo mingi...Atakaa umpendaye then
Samia angekuwa na laana asingekuwa RaisAnasamehewa mhalifu. Mbowe siyo mhalifu. Hahitaji hata tone la msamaha wa huyo mbambikiaji wa kesi.
Shetani huwa haombwi msamaha bali hukemewa. Wewe kama unamwona huyo ibilisi ni wa kuabudiwa, kuna watu ni mwiko kumwabudu ibilisi.
Magufuli aliwatesa wangapi? Si kina wqtu walimwangukia? Lakini ujue kuna wengi pia waliendelea kusimama katika haki. Mungu hakiwi wala hakosei. Mwisho wa yote, Magufuli aliondoka akawaacha watesi wake kwenye chumba kidogo cha mahabusu lakini yeye akaenda kwenye kidogo zaidi ya chukba cha mahabusu.
Muda wa Dunia ni mfupi. Jivunie matenda mema na siyo uharamia. Usimwogope anayetesa na kuuadhibu mwili, bali mwogope aadhibuye roho.
Samia aendelee kumtesa Mbowe kadiri ya ujinga na ulevi wake wa madaraka unavyomsukuma lakini ajue hatayakosa malipo, kama si Duniani basi ahera. Lakini mtu mwema wa nafsi anayeweza kumpigia magoti mtu mwovu. Samia ni mwovu, amelaaniwa hasa maana kila anayedhulumu, anayeua na anayefanya hila, imeandikwa amelaanika yeye na wazao wake.mpaka kizazi cha 4.
Una upeo mdogo sana. Kwani hakuna wafalme ambao Mungu aliwalaani wakaishia kupoteza ufalme na kufa vifo vya laana? Hakuna Marais waliotawala kwa mkono wa chuma lakini wakaishia vitanzini?Samia angekuwa na laana asingekuwa Rais
Tanzania imejaa mapumbavu! Hili nalo ni pumbavu!Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Mwaka 1998 sijui ulikuwa kijiji gani hapa nchini?balozi za USA Kenya na tz zilishambuliwa.Hapo vip!!

Mkuu umesahau ? Hawa ni miongoni mwa kina musiba waliokuwa wanasema Tundu lisu akirudi amiminiwe risasi tena hadi afe.Mkuu watu wa aina ya mleta uzi ni kati ya wale wasiyojulikana hawaitakii mema ncho yetu ili wao waendelee kujipatia mkate wao wa kila siku.
Ni aibu sana kuwa na kiongozi jambazi na katili kama Sabaya.Mkuu umesahau ? Hawa ni miongoni mwa kina musiba waliokuwa wanasema Tundu lisu akirudi amiminiwe risasi tena hadi afe.
Kizazi cha shetani hiki! Mwenzao yupo jela kiongozi kule arusha na kuna kila dalili akala 30 nyingine!
Mkuu wa wilaya anaongoza GENGE La mhalifu Afu anajiita JENERAL sabaya? Ndo hawa
Umeongea point kubwa mtu mwenye akili kubwa atakuelewa ila mhuni atakutukanaHapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Mkuu mtake radhi mheshimiwa!... "Anajikaza tu mbele za watu"...!Mbona hata Samia mwenyewe anajua kuwa hii ni kesi ya kubambika. Anajikaza tu mbele za watu kusema uongo.
Kwa taarifa tu ni kwamba kundi la sabaya linajulikana kama nia ingekuwepo wala haihitaji hata PCCB! Ni wananchi wa kawaida tu wanalipa habari.Ni aibu sana kuwa na kiongozi jambazi na katili kama Sabaya.
Naamini bado kundi lake lipo na serikali ingewekeza nguvu nyingi kulisaka lingepatikana.
Aisee kipindi kilichopita kilikuwa kigumu sana kwa mwananchi wa kawaida.Kwa taarifa tu ni kwamba kundi la sabaya linajulikana kama nia ingekuwepo wala haihitaji hata PCCB! Ni wananchi wa kawaida tu wanalipa habari.
DC analipwa mshahara ml 3 pesa ya kununua gari binafsi ya ml 90 kama ya sabaya anapata wapi?
RC makonda alikuwa akbadisha magar ya gharama hakuna aliyemuuliza wala kuhoji??
Kama imekuuma kajinyonge kabisa ili tujue umeumiaHivi alivyofungwa Sabaya mbona hamsemi kesi ya michongo mlishangilia mkaona mahakama inatenda haki leo kesi ya mbowe IPO mahakamani na ushahidi upo sioni sababu ya kulalamika nje ya mahakama nakuita kesi ya mchongo hii naona mnamfanyia rais Samia shambulizi la kisaiklojia ili aingilie uhuru wa mahakama
Kabisa. Ndo maana huko nyuma hizi nafasi walipewa watu ma seniors . Wanaojua hata sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma!Aisee kipindi kilichopita kilikuwa kigumu sana kwa mwananchi wa kawaida.
Hawa vijana walitumia vibaya sana ofisi za serikali kuwatendea maovu wananchi na hakuna aliyejali kilio chao.
Tatizo lilichangiwa na mteuzi wao maana hizi taarifa zilikuwa zinatolewa lkn jamaa akapiga kimyaaaKabisa. Ndo maana huko nyuma hizi nafasi walipewa watu ma seniors . Wanaojua hata sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma!
Nafikir migao ilikuwa inamfikia !!!!kilichoendelea vijana wakajiongeza ili kujilimbikizia! Yule sabaya katika ml 90 alizochukua kwa mromboo aligawa kwa vijana wake ml 9050000 tu ? ( ushahidi mahakamani) nyingine alipeleka wapi ni Siri yake.Tatizo lilichangiwa na mteuzi wao maana hizi taarifa zilikuwa zinatolewa lkn jamaa akapiga kimyaaa
Halafu jaji akajibu vip😎Kibatala: Najua Mheshimiwa Jaji umeshatoa Uamuzi Kwamba Hitilafu hizo haziwezi Kuzuia Upokelewaji wa Vielelezo, Swali ni Mpaka Lini?? Kwanini Kila Ushahidi Wao Una Mapungufu? Kila Wanacho leta Kipo Vibaya Mbele ya Sheria.. Wanatanufaika na Jambo hili Mpaka Lini.?