Rais Samia ukimuachia Mbowe huru Watakukejeli

Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.

Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.

Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.

Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.

Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.

Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.

Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.

Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Anasamehewa mhalifu. Mbowe siyo mhalifu. Hahitaji hata tone la msamaha wa huyo mbambikiaji wa kesi.

Shetani huwa haombwi msamaha bali hukemewa. Wewe kama unamwona huyo ibilisi ni wa kuabudiwa, kuna watu ni mwiko kumwabudu ibilisi.

Magufuli aliwatesa wangapi? Si kuna wstu walimwangukia? Lakini ujue kuna wengi pia waliendelea kusimama katika haki. Mungu hakawii wala hakosei. Mwisho wa yote, Magufuli aliondoka akawaacha watesi wake kwenye chumba kidogo cha mahabusu lakini yeye akaenda kwenye chukba kidogo zaidi ya chumba cha mahabusu.

Muda wetu wa kuwepo Duniani ni mfupi. Jivunie matendo mema na siyo uharamia. Usimwogope anayetesa na kuuadhibu mwili, bali umwogope aadhibuye roho.

Samia aendelee kumtesa Mbowe kadiri ya ujinga na ulevi wake wa madaraka unavyomsukuma lakini ajue hatayakosa malipo, kama si Duniani basi ahera. Lakini hakuna mtu mwema na mkweli wa nafsi anayeweza kumpigia magoti mtu mwovu. Samia ni mwovu, amelaaniwa hasa, kwa maana kila anayedhulumu, anayeua na anayefanya hila, imeandikwa amelaanika yeye na wazao wakempaka kizazi cha 4.
 
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.

Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.

Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.

Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.

Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.

Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.

Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.

Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Hayo uliyosema ni sahihi kabisa. Kwanza hawa jamaa hawataki kabisa kuomba msamaha. Wamemtukana sana Zitto Kabwe kwa kumwombea msamaha mtu huyu bila ridhaa yake. Wamemtukana sana hadi katest false positive for covid.

Huyu jamaa ukimwachia tu kwa msamaha atazunguka nchi nzima wakifanya maandamano yasiyo na kibari na kuendelea kuitukana serikali kama kawaida yao na kuichongea kwenye nchi na tasisi za kimataifa. Wakina Tundu Lissu wataongeza kejeli na matusi yao.

Watafanya hivyo wakijua hamtaweza kuwakamata tena. Mahakama zitajisikia vibaya sana (zitakuwa demoralized) kwani zimeshaambiwa na zitaendelea kuambiwa na hawa jamaa kwamba ni makama za michongo. Vile vile vyombo vyetu vya usalaama vitakuwa demoralised. Kama

Mkondo wa sheria uachwe uchukue njia yake hadi mahakama ya rufaa. Hapo ndipo heshima itapatikana kwa hawa jamaa. Kama ni kufungwa afungwe. Msamaha unaweza kutolewa kama ambavyo huwa unatolewa kwa wafungwa wengine baada ya kutumikia kiasi fulani cha muda wao wa kifungo ambao tabia zao zimerekebika.

NB: Kama ni kumuachia, muachie Sabaya na siyo mtu huyu. Huyu lazima asurubiwe. Kwa kusema haya najua nitaporomoshewa matusi na hawa jamaa wasiotaka siasa safi za kiustaarabu.
 
Acha kuvuta ugolo kabla ya kula kwani huozesha ubongo! Hiki ulichokiandika ni kiashiria kuwa ubongo wako umeozeshwa na ugoro na upo beyond repair!
Uliyemwandikia kaboronga na kuchochora mara ya pili juzi ya kwanza BBC na ya pili juzi alipoufunua uso wake kuudhihirishia Dunia kuwa mpango wote wa kumshtaki Mbowe ni wake! Kaivunja katiba waziwazi Kwa kuizungumzia kesi iliyopo mahakamani kwani kiuhalisia jaji atahukumu Kwa kuizingatia hukumu aliyokwishaitoa bi mkubwa!
Badala ushauri awafukuzilie mbali washauri wake wa maswala ya kisheria ili apone unamjaza ujinga!
Nikusadikishe jambo hili la Siri kuwa huyu bi mkubwa ndiye anayekwenda kuizika ccm 2025 na hakuna kitu mtamfanya!
Bi mkubwa accomplish the mission uwaangamize viroboto nao wauonje utamu wa kuwa wapinzani!
 
Hayo uliyosema ni sahihi kabisa. Kwanza hawa jamaa hawataki kabisa kuomba msamaha. Wamemtukana sana Zitto Kabwe kwa kumwombea msamaha mtu huyu bila ridhaa yake. Wamemtukana sana hadi katest false positive for covid.

Huyu jamaa ukimwachia tu kwa msamaha atazunguka nchi nzima wakifanya maandamano yasiyo na kibari na kuendelea kuitukana serikali kama kawaida yao na kuichongea kwenye nchi na tasisi za kimataifa. Wakina Tundu Lissu wataongeza kejeli na matusi yao.

Watafanya hivyo wakijua hamtaweza kuwakamata tena. Mahakama zitajisikia vibaya sana (zitakuwa demoralized) kwani zimeshaambiwa na zitaendelea kuambiwa na hawa jamaa kwamba ni makama za michongo. Vile vile vyombo vyetu vya usalaama vitakuwa demoralised. Kama

Mkondo wa sheria uachwe uchukue njia yake hadi mahakama ya rufaa. Hapo ndipo heshima itapatikana kwa hawa jamaa. Kama ni kufungwa afungwe. Msamaha unaweza kutolewa kama ambavyo huwa unatolewa kwa wafungwa wengine baada ya kutumikia kiasi fulani cha muda wao wa kifungo ambao tabia zao zimerekebika.

NB: Kama ni kumuachia, muachie Sabaya na siyo mtu huyu. Huyu lazima asurubiwe. Kwa kusema haya najua nitaporomoshewa matusi na hawa jamaa wasiotaka siasa safi za kiustaarabu.
Kumbe siasa safi ni mheshimiwa Mbowe afungwe? Basi ikiwezekana ahukumiwe kunyongwa ili iwe siasa safi zaidi.
 
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.

Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.

Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.

Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.

Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.

Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.

Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.

Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Inaonekana ulikuwa unafuatilia kesi nyingine bila kufahamu ila kama ni hii hii ya mbowe nakosa jibu nisije nikatukana bure. Kwa taarifa yako kama ambavyo hujui pia kesi ya kubambikiwa iko vipi ndiyo maana hufahamu pia tamko la bunge la ulaya kumtaka samia kufuta hiyo kesi halichukuliwi kirahisi. Samia hana jinsi ili mambo yamkalie sawa kimataifa atalazimika kuifuta hiyo kesi hizo fedheha na aibu ni bora kuliko lawama ila wewe hilo hulijui. Ndiyo siku nyingine awe makini na mambo yanayoihusicha jumuia ya kimataifa.
 
Dr hii akili ni ya PhD ya chuo gani??
 
Yaani ziara zake Kimataifa na ile promotion ya Royal Tour zote taabani!!
 
Utasulibiwa na nani? Ulikwishawahi kusikia mwendawazimu ameshtakiwa au kuhukumiwa?

Wewe ni wa kusamehewa na kuonewa huruma. Akili tunapewa na aliye tuumba. Hatuwezi kukulaumu kwa kitu ambacho huna uwezo nacho.
 
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.

Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.

Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.

Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.

Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.

Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.

Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.

Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Hata sasa wanamkejeli.
 
Inaonekana ulikuwa unafuatilia kesi nyingine bila kufahamu ila kama ni hii hii ya mbowe nakosa jibu nisije nikatukana bure. Kwa taarifa yako kama ambavyo hujui pia kesi ya kubambikiwa iko vipi ndiyo maana hufahamu pia tamko la bunge la ulaya kumtaka samia kufuta hiyo kesi halichukuliwi kirahisi. Samia hana jinsi ili mambo yamkalie sawa kimataifa atalazimika kuifuta hiyo kesi hizo fedheha na aibu ni bora kuliko lawama ila wewe hilo hulijui. Ndiyo siku nyingine awe makini na mambo yanayoihusicha jumuia ya kimataifa.
Hawa wajinga upeo wao huishia macho yanapoishia kuona.
 
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.

Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.

Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.

Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.

Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.

Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.

Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.

Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Naomba unisaidie ni ushahidi gani umenyooka unaonesha Mh Mbowe alitenda vitendo vya kigaidi?. Unafahamu ugaidi ulivyo.
 
Huyo unayemshauri kuhusu hiyo kesi ndiye alipaswa kukushauri wewe kipofu wa sheria
 
Hayo uliyosema ni sahihi kabisa. Kwanza hawa jamaa hawataki kabisa kuomba msamaha. Wamemtukana sana Zitto Kabwe kwa kumwombea msamaha mtu huyu bila ridhaa yake. Wamemtukana sana hadi katest false positive for covid.

Huyu jamaa ukimwachia tu kwa msamaha atazunguka nchi nzima wakifanya maandamano yasiyo na kibari na kuendelea kuitukana serikali kama kawaida yao na kuichongea kwenye nchi na tasisi za kimataifa. Wakina Tundu Lissu wataongeza kejeli na matusi yao.

Watafanya hivyo wakijua hamtaweza kuwakamata tena. Mahakama zitajisikia vibaya sana (zitakuwa demoralized) kwani zimeshaambiwa na zitaendelea kuambiwa na hawa jamaa kwamba ni makama za michongo. Vile vile vyombo vyetu vya usalaama vitakuwa demoralised. Kama

Mkondo wa sheria uachwe uchukue njia yake hadi mahakama ya rufaa. Hapo ndipo heshima itapatikana kwa hawa jamaa. Kama ni kufungwa afungwe. Msamaha unaweza kutolewa kama ambavyo huwa unatolewa kwa wafungwa wengine baada ya kutumikia kiasi fulani cha muda wao wa kifungo ambao tabia zao zimerekebika.

NB: Kama ni kumuachia, muachie Sabaya na siyo mtu huyu. Huyu lazima asurubiwe. Kwa kusema haya najua nitaporomoshewa matusi na hawa jamaa wasiotaka siasa safi za kiustaarabu.
Tatizo Sabaya wahanga wake wapo moja kwa moja tofauti na mbowe hakuna wahanga wa ugaidi. Ndio maana ni rahisi watu kudai mbowe aachiwe kuliko Sabaya.

Jambo jingine, CHADEMA hawakuwahi kuomba Mbowe asamehewe Bali wanataka aachiwe maana hajatenda kosa la ugaidi. Kunatofauti ya kuachiwa na kusamehewa. Kuachiwa ni acquittal yani huna kosa na kusamehewa ni pardon yani umefanya kosa ila huruma ya rais imekutoa Kifungoni. CHADEMA hawataki kutolewa kwa pardon au huruma, Bali wanataka acquittal kupitia mahakamani.
 
Nimefatilia ile kesi kwa kufika mahakamani lakini pia kwenye mitandao ya kijamii hakika sio mwanasheria ila maswali ni mengi kuliko majibu sio kuingilia muhimbili wa mahakama lakini kesi ile niya uongo.
Kila chaguo lina faida na hasara yake kama mkuu wa nchi achague upande ila ni vema akaifuta kwa maslahi ya uma.
Kwa mujibu wa mleta mada anasema "akiifuta atakejeliwa/ dhihakiwa" binafsi naona hata isipofutwa anaendeleaje kudhihakiwa.
Nikumbuke pia judge wa kwanza kabisa aliuambia upande wa mashtaka wayaondoe na kuyaleta upya, utetezi wakadai kwanini ageuke kuwa mshauri wa upande wa mashtaka wakati namna sahihi ni kufuta kesi ili mshitaki ajipange upya. Hatimaye watuhumiwa walitangaza kukosa imani na jaji kwani alishindwa kufanya alichotakiwa kukifanya akageuka mshauri.....akateuliwa jaji mwengine ambaye naye kuondoka kwake ni kama hivyo. ....
 
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.

Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.

Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.

Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.

Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.

Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.

Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.

Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
wewe kweli choko kabsa, hata dhamila yako inakushitaki kuwa mbowe sio gaidi
 
Back
Top Bottom