Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
SSH yupo weak and insecure sana. Hawezi kuvumilia upinzani ndani na nje ya chama chake!!Mpaka hapa ameishaiingilia zaidi ya mara 3 directly Kwa kesi hii Moja!Hatujui indirect kaingilia mara ngapi!!!
Anasamehewa mhalifu. Mbowe siyo mhalifu. Hahitaji hata tone la msamaha wa huyo mbambikiaji wa kesi.Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Hayo uliyosema ni sahihi kabisa. Kwanza hawa jamaa hawataki kabisa kuomba msamaha. Wamemtukana sana Zitto Kabwe kwa kumwombea msamaha mtu huyu bila ridhaa yake. Wamemtukana sana hadi katest false positive for covid.Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Acha kuvuta ugolo kabla ya kula kwani huozesha ubongo! Hiki ulichokiandika ni kiashiria kuwa ubongo wako umeozeshwa na ugoro na upo beyond repair!Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Maneno yako yanafikirisha!SSH yupo katikati ya tope la majitaka... Kaingizwa humo makusudically ili adharaulike ikifike 2025 wamkate jina!!
Yapo mengi sana nyuma ya pazia.
Tatizo hashtukagi mapema; badala yake anatumia zaidi feminist inferiority complex!
Kumbe siasa safi ni mheshimiwa Mbowe afungwe? Basi ikiwezekana ahukumiwe kunyongwa ili iwe siasa safi zaidi.Hayo uliyosema ni sahihi kabisa. Kwanza hawa jamaa hawataki kabisa kuomba msamaha. Wamemtukana sana Zitto Kabwe kwa kumwombea msamaha mtu huyu bila ridhaa yake. Wamemtukana sana hadi katest false positive for covid.
Huyu jamaa ukimwachia tu kwa msamaha atazunguka nchi nzima wakifanya maandamano yasiyo na kibari na kuendelea kuitukana serikali kama kawaida yao na kuichongea kwenye nchi na tasisi za kimataifa. Wakina Tundu Lissu wataongeza kejeli na matusi yao.
Watafanya hivyo wakijua hamtaweza kuwakamata tena. Mahakama zitajisikia vibaya sana (zitakuwa demoralized) kwani zimeshaambiwa na zitaendelea kuambiwa na hawa jamaa kwamba ni makama za michongo. Vile vile vyombo vyetu vya usalaama vitakuwa demoralised. Kama
Mkondo wa sheria uachwe uchukue njia yake hadi mahakama ya rufaa. Hapo ndipo heshima itapatikana kwa hawa jamaa. Kama ni kufungwa afungwe. Msamaha unaweza kutolewa kama ambavyo huwa unatolewa kwa wafungwa wengine baada ya kutumikia kiasi fulani cha muda wao wa kifungo ambao tabia zao zimerekebika.
NB: Kama ni kumuachia, muachie Sabaya na siyo mtu huyu. Huyu lazima asurubiwe. Kwa kusema haya najua nitaporomoshewa matusi na hawa jamaa wasiotaka siasa safi za kiustaarabu.
Inaonekana ulikuwa unafuatilia kesi nyingine bila kufahamu ila kama ni hii hii ya mbowe nakosa jibu nisije nikatukana bure. Kwa taarifa yako kama ambavyo hujui pia kesi ya kubambikiwa iko vipi ndiyo maana hufahamu pia tamko la bunge la ulaya kumtaka samia kufuta hiyo kesi halichukuliwi kirahisi. Samia hana jinsi ili mambo yamkalie sawa kimataifa atalazimika kuifuta hiyo kesi hizo fedheha na aibu ni bora kuliko lawama ila wewe hilo hulijui. Ndiyo siku nyingine awe makini na mambo yanayoihusicha jumuia ya kimataifa.Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Hayo uliyosema ni sahihi kabisa. Kwanza hawa jamaa hawataki kabisa kuomba msamaha. Wamemtukana sana Zitto Kabwe kwa kumwombea msamaha mtu huyu bila ridhaa yake. Wamemtukana sana hadi katest false positive for covid.
Huyu jamaa ukimwachia tu kwa msamaha atazunguka nchi nzima wakifanya maandamano yasiyo na kibari na kuendelea kuitukana serikali kama kawaida yao na kuichongea kwenye nchi na tasisi za kimataifa. Wakina Tundu Lissu wataongeza kejeli na matusi yao.
Watafanya hivyo wakijua hamtaweza kuwakamata tena. Mahakama zitajisikia vibaya sana (zitakuwa demoralized) kwani zimeshaambiwa na zitaendelea kuambiwa na hawa jamaa kwamba ni makama za michongo. Vile vile vyombo vyetu vya usalaama vitakuwa demoralised. Kama
Mkondo wa sheria uachwe uchukue njia yake hadi mahakama ya rufaa. Hapo ndipo heshima itapatikana kwa hawa jamaa. Kama ni kufungwa afungwe. Msamaha unaweza kutolewa kama ambavyo huwa unatolewa kwa wafungwa wengine baada ya kutumikia kiasi fulani cha muda wao wa kifungo ambao tabia zao zimerekebika.
NB: Kama ni kumuachia, muachie Sabaya na siyo mtu huyu. Huyu lazima asurubiwe. Kwa kusema haya najua nitaporomoshewa matusi na hawa jamaa wasiotaka siasa safi za kiustaarabu.
Yaani ziara zake Kimataifa na ile promotion ya Royal Tour zote taabani!!Inaonekana ulikuwa unafuatilia kesi nyingine bila kufahamu ila kama ni hii hii ya mbowe nakosa jibu nisije nikatukana bure. Kwa taarifa yako kama ambavyo hujui pia kesi ya kubambikiwa iko vipi ndiyo maana hufahamu pia tamko la bunge la ulaya kumtaka samia kufuta hiyo kesi halichukuliwi kirahisi. Samia hana jinsi ili mambo yamkalie sawa kimataifa atalazimika kuifuta hiyo kesi hizo fedheha na aibu ni bora kuliko lawama ila wewe hilo hulijui. Ndiyo siku nyingine awe makini na mambo yanayoihusicha jumuia ya kimataifa.
HavardDr hii akili ni ya PhD ya chuo gani??
Utasulibiwa na nani? Ulikwishawahi kusikia mwendawazimu ameshtakiwa au kuhukumiwa?Hayo uliyosema ni sahihi kabisa. Kwanza hawa jamaa hawataki kabisa kuomba msamaha. Wamemtukana sana Zitto Kabwe kwa kumwombea msamaha mtu huyu bila ridhaa yake. Wamemtukana sana hadi katest false positive for covid.
Huyu jamaa ukimwachia tu kwa msamaha atazunguka nchi nzima wakifanya maandamano yasiyo na kibari na kuendelea kuitukana serikali kama kawaida yao na kuichongea kwenye nchi na tasisi za kimataifa. Wakina Tundu Lissu wataongeza kejeli na matusi yao.
Watafanya hivyo wakijua hamtaweza kuwakamata tena. Mahakama zitajisikia vibaya sana (zitakuwa demoralized) kwani zimeshaambiwa na zitaendelea kuambiwa na hawa jamaa kwamba ni makama za michongo. Vile vile vyombo vyetu vya usalaama vitakuwa demoralised. Kama
Mkondo wa sheria uachwe uchukue njia yake hadi mahakama ya rufaa. Hapo ndipo heshima itapatikana kwa hawa jamaa. Kama ni kufungwa afungwe. Msamaha unaweza kutolewa kama ambavyo huwa unatolewa kwa wafungwa wengine baada ya kutumikia kiasi fulani cha muda wao wa kifungo ambao tabia zao zimerekebika.
NB: Kama ni kumuachia, muachie Sabaya na siyo mtu huyu. Huyu lazima asurubiwe. Kwa kusema haya najua nitaporomoshewa matusi na hawa jamaa wasiotaka siasa safi za kiustaarabu.
Hata sasa wanamkejeli.Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Hawa wajinga upeo wao huishia macho yanapoishia kuona.Inaonekana ulikuwa unafuatilia kesi nyingine bila kufahamu ila kama ni hii hii ya mbowe nakosa jibu nisije nikatukana bure. Kwa taarifa yako kama ambavyo hujui pia kesi ya kubambikiwa iko vipi ndiyo maana hufahamu pia tamko la bunge la ulaya kumtaka samia kufuta hiyo kesi halichukuliwi kirahisi. Samia hana jinsi ili mambo yamkalie sawa kimataifa atalazimika kuifuta hiyo kesi hizo fedheha na aibu ni bora kuliko lawama ila wewe hilo hulijui. Ndiyo siku nyingine awe makini na mambo yanayoihusicha jumuia ya kimataifa.
Naomba unisaidie ni ushahidi gani umenyooka unaonesha Mh Mbowe alitenda vitendo vya kigaidi?. Unafahamu ugaidi ulivyo.Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Huyo unayemshauri kuhusu hiyo kesi ndiye alipaswa kukushauri wewe kipofu wa sheriaHapo vip!!

Tatizo Sabaya wahanga wake wapo moja kwa moja tofauti na mbowe hakuna wahanga wa ugaidi. Ndio maana ni rahisi watu kudai mbowe aachiwe kuliko Sabaya.Hayo uliyosema ni sahihi kabisa. Kwanza hawa jamaa hawataki kabisa kuomba msamaha. Wamemtukana sana Zitto Kabwe kwa kumwombea msamaha mtu huyu bila ridhaa yake. Wamemtukana sana hadi katest false positive for covid.
Huyu jamaa ukimwachia tu kwa msamaha atazunguka nchi nzima wakifanya maandamano yasiyo na kibari na kuendelea kuitukana serikali kama kawaida yao na kuichongea kwenye nchi na tasisi za kimataifa. Wakina Tundu Lissu wataongeza kejeli na matusi yao.
Watafanya hivyo wakijua hamtaweza kuwakamata tena. Mahakama zitajisikia vibaya sana (zitakuwa demoralized) kwani zimeshaambiwa na zitaendelea kuambiwa na hawa jamaa kwamba ni makama za michongo. Vile vile vyombo vyetu vya usalaama vitakuwa demoralised. Kama
Mkondo wa sheria uachwe uchukue njia yake hadi mahakama ya rufaa. Hapo ndipo heshima itapatikana kwa hawa jamaa. Kama ni kufungwa afungwe. Msamaha unaweza kutolewa kama ambavyo huwa unatolewa kwa wafungwa wengine baada ya kutumikia kiasi fulani cha muda wao wa kifungo ambao tabia zao zimerekebika.
NB: Kama ni kumuachia, muachie Sabaya na siyo mtu huyu. Huyu lazima asurubiwe. Kwa kusema haya najua nitaporomoshewa matusi na hawa jamaa wasiotaka siasa safi za kiustaarabu.
Kwa mujibu wa mleta mada anasema "akiifuta atakejeliwa/ dhihakiwa" binafsi naona hata isipofutwa anaendeleaje kudhihakiwa.Nimefatilia ile kesi kwa kufika mahakamani lakini pia kwenye mitandao ya kijamii hakika sio mwanasheria ila maswali ni mengi kuliko majibu sio kuingilia muhimbili wa mahakama lakini kesi ile niya uongo.
Kila chaguo lina faida na hasara yake kama mkuu wa nchi achague upande ila ni vema akaifuta kwa maslahi ya uma.
wewe kweli choko kabsa, hata dhamila yako inakushitaki kuwa mbowe sio gaidiHapo vip!!