Rais Samia ukimuachia Mbowe huru Watakukejeli

Yaani ziara zake Kimataifa na ile promotion ya Royal Tour zote taabani!!
Jamaa una Chuki kubwa mnooo juu ya Samia na Tanzania! Vumilia, miaka 9 iliyobaki siyo mingi...Atakaa umpendaye then
 
Jamaa una Chuki kubwa mnooo juu ya Samia na Tanzania! Vumilia, miaka 9 iliyobaki siyo mingi...Atakaa umpendaye then
Ishu si kumpenda au kumchukia SSH...
Ishu kubwa hapa ni kuweka mifumo imara na rafiki ya kusimamia haki na ustawi wa taifa!!
Dunia imekuwa kama kijiji...
Citizens na hasa hasa netizens wote wanaichungulia Tanzania!
Anapozunguka huko na kule ajue kuwa watu wanamchora tu!!
Tatizo lenu hammwambii ukweli!!
 
Samia angekuwa na laana asingekuwa Rais
 
Samia angekuwa na laana asingekuwa Rais
Una upeo mdogo sana. Kwani hakuna wafalme ambao Mungu aliwalaani wakaishia kupoteza ufalme na kufa vifo vya laana? Hakuna Marais waliotawala kwa mkono wa chuma lakini wakaishia vitanzini?

Hakuna nafasi yoyote ambayo haina laana kama ukiyatenda yaliyo ya laana.
 
Tanzania imejaa mapumbavu! Hili nalo ni pumbavu!
 
Mwaka 1998 sijui ulikuwa kijiji gani hapa nchini?balozi za USA Kenya na tz zilishambuliwa.
Police wa michongo hawa form 4 failures wakaishia kukamata mateja badala ya magaidi
Wajomba walipokuja toka usa wakaruhusu watolewe ndani kwani wao siyo wahusika.
Wameshindwa kubaini ugaidi wa HAMZA mwana ccm mwenenu mtaweza kubaini ugaidi wa mbowe?
 
Mkuu watu wa aina ya mleta uzi ni kati ya wale wasiyojulikana hawaitakii mema ncho yetu ili wao waendelee kujipatia mkate wao wa kila siku.
Mkuu umesahau ? Hawa ni miongoni mwa kina musiba waliokuwa wanasema Tundu lisu akirudi amiminiwe risasi tena hadi afe.
Kizazi cha shetani hiki! Mwenzao yupo jela kiongozi kule arusha na kuna kila dalili akala 30 nyingine!
Mkuu wa wilaya anaongoza GENGE La mhalifu Afu anajiita JENERAL sabaya? Ndo hawa
 
Ni aibu sana kuwa na kiongozi jambazi na katili kama Sabaya.

Naamini bado kundi lake lipo na serikali ingewekeza nguvu nyingi kulisaka lingepatikana.
 
Umeongea point kubwa mtu mwenye akili kubwa atakuelewa ila mhuni atakutukana
 
Mbona hata Samia mwenyewe anajua kuwa hii ni kesi ya kubambika. Anajikaza tu mbele za watu kusema uongo.
Mkuu mtake radhi mheshimiwa!... "Anajikaza tu mbele za watu"...!

Embu tafuta neno jingine zuri kisha uufute usemi wako huo wenye ukakasi!
 
Zitto hakua sahihi kumuomba Rais amsamehe Mbowe, mpaka sasa Mbowe sio mkosaji ni mtuhumiwa, msamaha huwa unatolewa kwa mkosaji, sasa kumsamehe inaweza kumaanisha alitenda kosa na hivyo amemsamehe.

Kinachowezekana ni kufuta kesi au kuiharakisha iishe haraka na awachiwe huru,kusamehe ni jambo ambalo ni hatari endapo Rais atalifanya.
 
Ni aibu sana kuwa na kiongozi jambazi na katili kama Sabaya.

Naamini bado kundi lake lipo na serikali ingewekeza nguvu nyingi kulisaka lingepatikana.
Kwa taarifa tu ni kwamba kundi la sabaya linajulikana kama nia ingekuwepo wala haihitaji hata PCCB! Ni wananchi wa kawaida tu wanalipa habari.
DC analipwa mshahara ml 3 pesa ya kununua gari binafsi ya ml 90 kama ya sabaya anapata wapi?
RC makonda alikuwa akbadisha magar ya gharama hakuna aliyemuuliza wala kuhoji??
 
Hivi alivyofungwa Sabaya mbona hamsemi kesi ya michongo mlishangilia mkaona mahakama inatenda haki leo kesi ya mbowe IPO mahakamani na ushahidi upo sioni sababu ya kulalamika nje ya mahakama nakuita kesi ya mchongo hii naona mnamfanyia rais Samia shambulizi la kisaiklojia ili aingilie uhuru wa mahakama
 
Aisee kipindi kilichopita kilikuwa kigumu sana kwa mwananchi wa kawaida.

Hawa vijana walitumia vibaya sana ofisi za serikali kuwatendea maovu wananchi na hakuna aliyejali kilio chao.
 
Kama imekuuma kajinyonge kabisa ili tujue umeumia
 
Aisee kipindi kilichopita kilikuwa kigumu sana kwa mwananchi wa kawaida.

Hawa vijana walitumia vibaya sana ofisi za serikali kuwatendea maovu wananchi na hakuna aliyejali kilio chao.
Kabisa. Ndo maana huko nyuma hizi nafasi walipewa watu ma seniors . Wanaojua hata sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma!
 
Du! Mjamaa ni empty brain, hata chicken ana brain kubwa kuliko wewe. Ebu tupe huo ushaidi hata mmoja unaosema umenyooka.
 
Kabisa. Ndo maana huko nyuma hizi nafasi walipewa watu ma seniors . Wanaojua hata sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma!
Tatizo lilichangiwa na mteuzi wao maana hizi taarifa zilikuwa zinatolewa lkn jamaa akapiga kimyaaa
 
Tatizo lilichangiwa na mteuzi wao maana hizi taarifa zilikuwa zinatolewa lkn jamaa akapiga kimyaaa
Nafikir migao ilikuwa inamfikia !!!!kilichoendelea vijana wakajiongeza ili kujilimbikizia! Yule sabaya katika ml 90 alizochukua kwa mromboo aligawa kwa vijana wake ml 9050000 tu ? ( ushahidi mahakamani) nyingine alipeleka wapi ni Siri yake.
 
Halafu jaji akajibu vip😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…