Rais Samia ukimuachia Mbowe huru Watakukejeli

Nafikir migao ilikuwa inamfikia !!!!kilichoendelea vijana wakajiongeza ili kujilimbikizia! Yule sabaya katika ml 90 alizochukua kwa mromboo aligawa kwa vijana wake ml 9050000 tu ? ( ushahidi mahakamani) nyingine alipeleka wapi ni Siri yake.
Inawezekana mgao ulipita hapo
 
Sawa kingai ila umeshabugi kitambo sana. Wenzio hawatengenezi kesi kiboya hivi.
 
Ungekaa na wanasheria wabobezi wangekusaidia namna yakutunga kesi za mchongo. Sasa wewe na elimu yako ndogo yakuungaunga ukajidanganya unaweza ona sasa unavyoidhalilisha jamhuri mahakamani kwa ushahidi usiohusiana na vitendo vya kigaidi.
 
N asipo mwachia watamkejeli zaidi
 
Mahesabu ya kinachoitwa "ugaidi" waliyapiga vizuri sana Ila kwa bahati mbaya mpango umebuma! Hii ni hali ya kawaida kabisa kwa mipango inayopangwa na binadamu. Ambacho siyo cha kawaida na kwa kiasi fulani kinashangaza, ni kule kung'ang'ania mpango uliokwisha buma! Kadri DPP anavyochelewa kutoonyesha nia ya kuendelea na hii kesi, ndivyo tunavyozidi kuumbuka kama Taifa bila kujali kwamba ni ccm, cdm au bila chama. Hii inamfanya hata Malikia ajutie uamzi wake wa kutupa uhuru akidhania kwamba tunaweza kujitawala kumbe bado kabisa.
 
Hivi kumbe Samia ndo amemshikilia Mbowe gerezani? Nachelea kutukana
 
Kwani uongo kuwa hii kesi ni ya kutunga? Hata Samia mwenyewe anajua lakini inamuwia vigumu kwani aliingizwa mkenge hadi akaitolea tamko kabla ya kujua ukweli wenyewe,sasa yuko kwenye dilemma. Sukuma Gang walimsakizia hili jumba bovu katika mkakati wao wa kumharibia. Ila angeamua kuwa mkweli aseme alishauriwa vibaya na asiishie hapo tu, awawajibishe wote waliompotosha.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkuu watu wa aina ya mleta uzi ni kati ya wale wasiyojulikana hawaitakii mema ncho yetu ili wao waendelee kujipatia mkate wao wa kila siku.
Hao ndiyo wabaya wenyewe wa Rais wanzidi kumchochea azidi kuharibikiwa,ni majitu mashenzi kabisa yaliyojaa ushetani

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Balozi wa taifa kubwa dunia kama ujerumani alimfuata mbowe na kumwambia never give up!!
 
Mbona hata Samia mwenyewe anajua kuwa hii ni kesi ya kubambika. Anajikaza tu mbele za watu kusema uongo.
Namwonea huruma huyu mama wenzie wamembebesha gunia la misumari akiwa mwenyew peke yake Huwa analia Sana KWA maumivu ya kushuritishwa kutokutenda haki, akina public anajitabidi kuwalidhisha genge la wahuni
 
Acha kutudhalisha majesuites sisi ni mapadre na watu wa mungu yaani society of Jesus(SJ) usituingize kwenye Mambo yenu ya ajabu
 

Yaani mtu mzima hoja yako ni kuogopa kejeli😂 kwa haki ya mtu. Tuko bado mbali sana kifikra
 
Akili za utopolo! Walipoachiwa Singh Rugemalila alikejeliwa.?
Nonsence.
 
Usichokijua ni kwamba Zitto alitumwa na Samia mwenyewe!
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
 
Amuachie huru kwani yeye ndio mahakama kumbe

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hii lugha yenu ya kutaka hiki na kile ndiyo inawapa tabu. "Tunataka katiba mpya, tunataka Mbowe aachiwe, tunataka bunge live, tunataka waliomumiminia full magazize Tundu Lissu wakamatwe, tunataka etc etc" Na msipopata hicho mnachotaka basi fujo, vurugu na maandamano dunia nzima aka ugaidi aka terrorism!

Hiyo lugha na falsafa yenu ni ya introverts. Hakuna mahali po pote duniani ambako kuna mtu anayekubaliana nayo wala kui tororate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…