Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

Jukumu la msingi ni hili hayo mengine lazima ayavuruge
 

Attachments

  • FB_IMG_1749838522932.jpg
    15.2 KB · Views: 29
Ina maana kuna mtu amemwambia huyu bibi kuwa huko Simiyu hakuna wenye akili?? Hata kama ni kuwadharau watanzania, siyo kwa kiwango hiki.

Achilia mbali GDP , hata ule wastaniwa pato la mwananchi wa Marekani ni zaidi ya mara 70 ya pato la mtanzania, halafu mtu anakuambia kuwa mtanzania ana hali nzuri kuliko mmarekani. Lazima uwe mwendawazimu kuuamini huo upuuzi.

Hii ni sawa mtu akuambie kuwa kiuchumi Mwashmbwa anafanya vizuri kuliko Bakhresa eti kwa vile Mwashambwa ameongezewa kutoka 7,000 mpaka 10,000; halafu kwa sabbu ya uwendawazimu, na wese ukashangilia.
 
Awamu hii tumepatikana kwa kweli.
 

Aseee
 
Za kuambiwa.....
 


Daaaaah..... Hapa kwa kweli watu wakitusikia ni aibu sana. Ni aibu mpaka basi.
 
Mabeyo aliamua kutukomoa au vipi?

Anyway aliapa kuisimamia Katiba, akasema "Hii Katiba ni ya hovyo, ila naisimamia hivyo hivyo, mtajua wenyewe". 🙆
 
Huyu bibi huenda ana matatizo ya akili, asaidiwe mspema
 
Safi sana mama mimi nipo nyuma yako. Kiukweli umebadilisha sana maisha yetu. Uchumi umekua sana. Mitano 5
 
Embu atupelekee ujinga wake huko anafikiria wote ni vilaza kama yeye, anachoweza yeye ni kuibebesha nchi madeni makubwa ya kijingajinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…