mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,562
- 2,493
Hapo kwa Rais tumepigwa, aliwahi kuidanganya Dunia kwamba Mbowe anashitakiwa kwa kesi ya uhaini na wahaini wenzie wameshahukumiwa, hizo taarifa anazipataga kwa nani?Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake:
'Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.''
Katika kauli hiyo, Rais Samia aliweka bayana kuwa hata mataifa makubwa yanayojulikana kwa nguvu zao za kiuchumi hayako tena katika nafasi ya kuigwa kwa sasa
''Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”
Nawaza Kiranga ana cheka kwa style gani, maana hizi pumba ni kali.
Soko la hisa la nasdaq la marekani, Lina thamani kubwa kuliko nchi kadhaa za Africa.
Kwanza tulipe madeni yote hapo nitaamini tunafanya vizuri then tuanze kuwajopesha(tena kwa masharti) na tuwape misaada pia hapo nitaamini tunafanya vizuri zaidi yao.Tuanze kuwakopesha
wana sema nionyeshe marafiki zako niku onyeshe kesho yako,Wakiweka manamba yao ya bajeti matrilioni huwa yanachanganya sana kwa mtu aliyezoea hesabu za US dollar.
GDP ya Tanzania inapitwa na ki metropolitan area kama cha Cincinatti. Wala si state ya Ohio. Cincinatti metro mwaka 2022 walikuwa na GDP ya dola bilioni 207.79. GDP ya Tanzania mwaka 2022 ilikuwa dola bilioni 75.77, karibu a third.
Nikiitafuta hii GDP ya Tanzania katika top 50 metro za US siipati. Metro ya mwisho kabisa, ya 50, Omaha Nebraska ina GDP ya dola bilioni 92.3.
Marekani kuna mabilionea kibao wana pesa kuliko GDP ya Tanzania.
Samia anaongea ujinga gani huu?
Hapo pombe inahusikaje mkuu?Samia azuiwe kutumia pombe kabla ya kutoa hotuba au tamko lolote kuhusiana na mustakabali wa nchi, mental health is real.
Nakuambiaje hii ni zaidi ya kasheshe!Wakiweka manamba yao ya bajeti matrilioni huwa yanachanganya sana kwa mtu aliyezoea hesabu za US dollar.
GDP ya Tanzania inapitwa na ki metropolitan area kama cha Cincinatti. Wala si state ya Ohio. Cincinatti metro mwaka 2022 walikuwa na GDP ya dola bilioni 207.79. GDP ya Tanzania mwaka 2022 ilikuwa dola bilioni 75.77, karibu a third.
Nikiitafuta hii GDP ya Tanzania katika top 50 metro za US siipati. Metro ya mwisho kabisa, ya 50, Omaha Nebraska ina GDP ya dola bilioni 92.3.
Marekani kuna mabilionea kibao wana pesa kuliko GDP ya Tanzania.
Samia anaongea ujinga gani huu?
Wana hela nyingi hao watu ndio maana wanaropoka hayoYuko sawa kweli huyu Rais?....
Aisee!
Mara zote wakivimbiwa 10% wanaropoka chochoteWakiweka manamba yao ya bajeti matrilioni huwa yanachanganya sana kwa mtu aliyezoea hesabu za US dollar.
GDP ya Tanzania inapitwa na ki metropolitan area kama cha Cincinatti. Wala si state ya Ohio. Cincinatti metro mwaka 2022 walikuwa na GDP ya dola bilioni 207.79. GDP ya Tanzania mwaka 2022 ilikuwa dola bilioni 75.77, karibu a third.
Nikiitafuta hii GDP ya Tanzania katika top 50 metro za US siipati. Metro ya mwisho kabisa, ya 50, Omaha Nebraska ina GDP ya dola bilioni 92.3.
Marekani kuna mabilionea kibao wana pesa kuliko GDP ya Tanzania.
Samia anaongea ujinga gani huu?
Kuna case study ya mgodi fulani ka si Zambia ni Zimbabwe, uli nunuliwa kwa 50m usd.Mara zote wakivimbiwa 10% wanaropoka chochote
Ndio ya Bandari hayo hayoKuna case study ya mgodi fulani ka si Zambia ni Zimbabwe, uli nunuliwa kwa 50m usd.
Una zalisha 400m kila Mwaka, sice ununuliwe.
Kuna baadhi ya viongozi wa ngazi za juu za serikali wana mtindio wa ubongo..Kila Mkoa tupate hospitali moja ya Mirembe hali siyo nzuri