baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
"Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”Wapi kasema growth?
Halafu growth kutoka wapi?
Nchi zilizochakazwa kabisa kiuchumi si ajabu ziwe na fast economic growth, zinatoka chini kabisa. You can't fall down from the ground, the only way is up.Watu wenye chumi kubwa hawana growth kubwa jwa sababu washakua kiuchumi tayari.
Kushangikia fast econonic growth bila muktadha ni ujinga.
Hapo hakuna cha kuongeza bali ni vya kutupa vyote. Kweli nchi yetu imepata kiongozi bongolala.Ukiambiwa ongeza na za kwako
Nyerere aliwahi sema wakati wengine wanatembea inabidi sisi tukimbie. China wangekuwa watu wa kuvimba kwa vitu kama hivi wasingekuwa hapo walipo.Ila watanzania bwana, amesema Economic Growth na sio GDP,
Hizi ni nchi zizokua na Ongezeko kubwa la uchumi
View attachment 3371622
Tanzania tupo kama Nafasi ya 15 hivi.
Yani Marekani inazidi Tanzania kila kitu. Hata amani wametushinda.Katika maongezi ambayo hajaandaliwa, kika akifungua mdomo wake anadhihirisha kuwa ni mj8nga kuliko nilivyofikiri.
GDP ya Tanzania inazidiwa mara nyingi na net worth watu tu raia wa Marekani kina Musk, Zuckerberg, Bezos,, Ellison, Gates etc.
Uchumi wa Tanzania haulinganishwi na nchi ya Marekani, unalinganishwa na Mmarekani mmoja tu na kujikuta unaingia mara tatu mpaka nne.
Hatuwezi kukimbia bila kukimbia wote kama Africa, ama Atleast Region yetu hii ya EAST Africa.Nyerere aliwahi sema wakati wengine wanatembea inabidi sisi tukimbie. China wangekuwa watu wa kuvimba kwa vitu kama hivi wasingekuwa hapo walipo.
Ukiwa na uchumi wa shilingi moja, uchumi wako ukakua kwa 100% ukawa na uchumi wa shilingi mbili, halafu ukajilinganisha na mtu mwenye uchumi wa dola trillioni moja ambao umekua kwa 2%, utasema wewe unafanya vizuri kuliko huyo mwenye uchumi wa dola trillioni moja kwa sababu uchumi wako umekua kwa asilimia 100 na wake umekua kwa asilimia 2?"Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”
Keyword hapo sasa hivi, kote 2024 na 2025 on average Uchumi wetu unaongezeka kwa 6% huku global average ikiwa 2.9%, Europe Average 1.7%, North America Average 2.2% etc so kwenye perfomance ya Uchumi miaka hii michache tumefanya Vizuri.
Uchuni ni ubora wa maisha siyo manamba na takwimu za vilaza kama mwigulu za kupikwa jamaniRais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake:
'Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.''
Katika kauli hiyo, Rais Samia aliweka bayana kuwa hata mataifa makubwa yanayojulikana kwa nguvu zao za kiuchumi hayako tena katika nafasi ya kuigwa kwa sasa
''Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”
Nafahamu hilo, even though si jambo la kuisifia sana ila still yupo sahihi,Ukiwa na uchumi wa shilingi moja, uchumi wako ukakua kwa 100% ukawa na uchumi wa shilingi mbili, halafu ukajilinganisha na mtu mwenye uchumi wa dola trillioni moja ambao umekua kwa 2%, utasema wewe unafanya vizuri kuliko huyo mwenye uchumi wa dola trillioni moja kwa sababu uchumi wako umekua kwa asilimia 100 na wake umekua kwa asilimia 2?
Kwanza alivyosema hajaweka wazi kama anaongelea uchumi au ukuaji wa uchumi.Nafahamu hilo, even though si jambo la kuisifia sana ila still yupo sahihi,
Kuna wengine nao ni masikini ila hata hio 6% hawapati.
Sisi tupo rank ya 15 Kidunia.
Sio 2024 na 25 tu rudi hata wakati wa kikwete na magufuli uchumi wetu ulikua kwa hizo rate za 4%, 5%, 6% but kwa marekani ilikua inacheza kwenye hizo 2%, na Kuna mwaka ilikua negative. So ilibidi Kikwete na Magufuli nao waseme uchumi wa Tanzania unakua kuliko marekani??"Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”
Keyword hapo sasa hivi, kote 2024 na 2025 on average Uchumi wetu unaongezeka kwa 6% huku global average ikiwa 2.9%, Europe Average 1.7%, North America Average 2.2% etc so kwenye perfomance ya Uchumi miaka hii michache tumefanya Vizuri.
Hizo figures anazosema za 5% tumekua nazo toka wakati wa kikwete na magufuli, so kwa maana hiyo yoka miaka hiyo ya kikwete hadi leo hii uchumi wetu unakua vizuri kuliko marekani.Kwanza alivyosema hajaweka wazi kama anaongelea uchumi au ukuaji wa uchumi.
Kaongea kama mama fulani hivi Maimuna maamuma ambaye hajui tofauti ya kufanya vizuri kiuchumi na kufanya vizuri kwenye ukuaji wa uchumi. Kuna tofauti kubwa.
Unaweza kuwa unafanya vizuri kwenye ukuaji wa uchumi halafu uchumi wako haufanyi vizuri, na unaweza kuwa na uchumi unaofanya vizuri lakini huna ukuaji mzuri wa uchumi.
Ama amesema hivyo kwa makusudi kuwachota watu akili, au hajui tofauti.
Ama muongo, au mjinga.
Yote majanga.
Acha hizo takwimu, kiongozi. Unawezaje kusema tunafanya vizuri kiuchumi ilhali hali ya maisha mtaani ni ngumu? Mimi si mchumi, lakini hizi porojo za kuwasilisha takwimu nzuri za uchumi hazilingani na uhalisia wa maisha ya watu wa kawaida. Deni la taifa linaendelea kukua kwa kasi, na ukweli ni kwamba huu ‘uchumi mzuri’ uko tu kwenye makaratasi. Kama hauonekani katika maisha ya watu, basi si wa maana. Wachumi wetu wanaonekana kufanya mambo kwa mazoea ya kile walichojifunza darasani, bila ubunifu wala kuzingatia muktadha wetu halisi."Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”
Keyword hapo sasa hivi, kote 2024 na 2025 on average Uchumi wetu unaongezeka kwa 6% huku global average ikiwa 2.9%, Europe Average 1.7%, North America Average 2.2% etc so kwenye perfomance ya Uchumi miaka hii michache tumefanya Vizuri.
Hayupo sahihi sababu ametulinganisha na marekani. Uchumi lwa Sasa hauwezi kukua vizuri kuliko marekani. HaiwezekaniNafahamu hilo, even though si jambo la kuisifia sana ila still yupo sahihi,
Kuna wengine nao ni masikini ila hata hio 6% hawapati.
Sisi tupo rank ya 15 Kidunia.
Yes Kipindi cha Kikwete Tulipohit 7% huku Dunia Ikiwa kwenye Economic recession na baada ya kuisha Dunia nzima ilijua.Sio 2024 na 25 tu rudi hata wakati wa kikwete na magufuli uchumi wetu ulikua kwa hizo rate za 4%, 5%, 6% but kwa marekani ilikua inacheza kwenye hizo 2%, na Kuna mwaka ilikua negative. So ilibidi Kikwete na Magufuli nao waseme uchumi wa Tanzania unakua kuliko marekani??
Kakosea hapa wala huitaji kupaka rangi haya makosa