City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Umeelewa nilichomaanisha? Nimesema huu uchumi kukua kuliko mmarekani kwa muktandha mnaoussma basi tumekua hivyo toka enzi ya kikwete na magufuli. Nilichokuuliza unafikiri kwa nn kikwete na magufuli hawakusema uchumi wetu unakua kuliko marekani?Yes Kipindi cha Kikwete Tulipohit 7% huku Dunia Ikiwa kwenye Economic recession na baada ya kuisha Dunia nzima ilijua.
Na ni sahihi kusema uchumi wetu unakua kuliko Usa ama Ulaya Tatizo lipo wapi hapo? Ama mlikimbia hesabu?
Tumbukiza kwenye AI hapo uone itakupa jibu gani
View attachment 3371782
Boss sio kosa langu mimi kama hujui ku comprehend taarifa, kamlaumu mwalimu wako.Acha hizo takwimu, kiongozi. Unawezaje kusema tunafanya vizuri kiuchumi ilhali hali ya maisha mtaani ni ngumu? Mimi si mchumi, lakini hizi porojo za kuwasilisha takwimu nzuri za uchumi hazilingani na uhalisia wa maisha ya watu wa kawaida. Deni la taifa linaendelea kukua kwa kasi, na ukweli ni kwamba huu ‘uchumi mzuri’ uko tu kwenye makaratasi. Kama hauonekani katika maisha ya watu, basi si wa maana. Wachumi wetu wanaonekana kufanya mambo kwa mazoea ya kile walichojifunza darasani, bila ubunifu wala kuzingatia muktadha wetu halisi.
Vitega uchumi vyetu ni mwendo kasi 🐒Hebu tutaje vitega uchumi vyetu pamoja na mapato yake halafu tulinganishe na vitega uchumi vya ulaya na marekani
Hizi ndizo athari za kukariri tu darasani, uko hapa kuwasilisha takwimu tu, bila kujali kama zinaendana na uhalisia wa mazingira yetu. Kwako, kuonyesha hali halisi ya maisha ya watu si jukumu lako.Boss sio kosa langu mimi kama hujui ku comprehend taarifa, kamlaumu mwalimu wako.
Ukuaji Uchumi ni ukuaji uchumi haijalishi umekua vipi hizo ni namba.
Assume Watanzania wote Tufilisike tuwe hatuna hata sh 10 na Bakhresa peke yake ndio awe na hela 100B usd basi namba zitasoma uchumi wetu umekua hadi Bilioni 100 toka Bilioni sijui 80 ama 85 za sasa. Hizo ni namba.
Mambo ya Distribution za uchumi kwa masikini, matajiri etc yana data zake nyengine kama Gini coefficient unaweza unaenda kuziangalia.
Wawe wamesema ama hawakusema will that change data? Mbona mnataka kila kitu kukifanya siasa?Umeelewa nilichomaanisha? Nimesema huu uchumi kukua kuliko mmarekani kwa muktandha mnaoussma basi tumekua hivyo toka enzi ya kikwete na magufuli. Nilichokuuliza unafikiri kwa nn kikwete na magufuli hawakusema uchumi wetu unakua kuliko marekani?
Nishakuambia Uchumi aka GDP sio figure ya kuangalia umasikini wala duniani haitumiki, kama wewe unatumia ni tatizo lako wewe na sio la data.Hizi ndizo athari za kukariri tu darasani, uko hapa kuwasilisha takwimu tu, bila kujali kama zinaendana na uhalisia wa mazingira yetu. Kwako, kuonyesha hali halisi ya maisha ya watu si jukumu lako.
Kwahiyo kwa taarifa hiyo alitaka kutuma ujumbe Gani kwa watu wa Simiyu.!?Nishakuambia Uchumi aka GDP sio figure ya kuangalia umasikini wala duniani haitumiki, kama wewe unatumia ni tatizo lako wewe na sio la data.
India wana Gdp matrilioni ya usd wao pia ni masikini.
. So Gdp ni Gdp, Gdp growth ni growth, rate yetu ya ukuaji uchumi ni 6% Usa ni 2.8% hizo ni data, rate yetu kubwa kushinda yao ni sahihi hizo ni data.
Kama unataka kuangalia umasikini una data zako nyengine angalia kuna Viashiria vingi mno, Gdp per capita, Gini coeffient, National poverty line, World bank poverty data etc unaweza zizungumzia huko.
Yesu wangu tusaidie, Taifa linaangamia.Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake:
'Ukitegemea msaada wale wanaotoa msaada dunia yote sasa ipo juu chini. Mavita, maugomvi, mavurugu, chumi zimeshuka, huko hawafanyi vizuri kama tunavyofanya sisi.''
Katika kauli hiyo, Rais Samia aliweka bayana kuwa hata mataifa makubwa yanayojulikana kwa nguvu zao za kiuchumi hayako tena katika nafasi ya kuigwa kwa sasa
''Ulaya na Marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi huku, hata ndani ya kanda yetu hii ya Afrika Mashariki, Tanzania tunafanya vizuri.”
Anahutubia TRA, kwamba tusitegemee misaada kutoka Nje kwani kuna vita na uchumi wao haukui sana, tutegemee vya kwetu wenyewe ndani.Kwahiyo kwa taarifa hiyo alitaka kutuma ujumbe Gani kwa watu wa Simiyu.!?
Ila watanzania bwana, amesema Economic Growth na sio GDP,
Hizi ni nchi zizokua na Ongezeko kubwa la uchumi
View attachment 3371622
Tanzania tupo kama Nafasi ya 15 hivi.
Hizi data ndio zinatuhamasisha tuzidi kuwa wavivu wa kutafakari jinsi ya kukuza uchumi wetu. Yani hapo tunajifariji, kiuhalisia hali ya mwenendo wa uchumi watu ni mbaya tuYes Kipindi cha Kikwete Tulipohit 7% huku Dunia Ikiwa kwenye Economic recession na baada ya kuisha Dunia nzima ilijua.
Na ni sahihi kusema uchumi wetu unakua kuliko Usa ama Ulaya Tatizo lipo wapi hapo? Ama mlikimbia hesabu?
Tumbukiza kwenye AI hapo uone itakupa jibu gani
View attachment 3371782
How? Inter trade Africa Mashariki tumezipita nchi zote, Makusanyo yetu sasa hivi ni makubwa to the point tunakaribia kubalance Trade na kutomtegemea mtu, kilimo, dhahabu, Utalii vyote vimeongezeka maradufu etc.Hizi data ndio zinatuhamasisha tuzidi kuwa wavivu wa kutafakari jinsi ya kukuza uchumi wetu. Yani hapo tunajifariji, kiuhalisia hali ya mwenendo wa uchumi watu ni mbaya tu
Uchumi unakua na mambo yanazidi kuwa magumu, yanamwelemea na hataki kuachia kamna. Deni la taifa limefika trillioni 107. Siku huyu mama atakapotoka madarakani mwaka 2030 deni litakuwa Trillioni 200How? Inter trade Africa Mashariki tumezipita nchi zote, Makusanyo yetu sasa hivi ni makubwa to the point tunakaribia kubalance Trade na kutomtegemea mtu, kilimo, dhahabu, Utalii vyote vimeongezeka maradufu etc.
Anahutubia TRA na sio wananchi tena..!?Hivi sasa tunaambiwa kwamba baada ya miaka minne ya kukopa takribani trilioni 40, ndipo sasa tunaanza kufikiria kutegemea vya kwetu? Swali linajitokeza, Je, hili ni wazo lake binafsi, ni mkakati wa kitaifa??, au ni kauli ya kutafuta umaarufu wa kisiasa bila kuwa na msingi wowote wa utekelezaji?Kwa nini sasa? Je, vita vya kiuchumi vimeanza mwaka huu? Mbona hata miaka ya nyuma hali ilikuwa ngumu, uchumi ulikuwa dhoofu, lakini bado serikali iliendelea kukopa badala ya kuimarisha vyanzo vya ndani.Je, huu ni mwelekeo wa kweli wa mabadiliko ya kiuchumi, au ni porojo nyingine za kisiasa zinazolenga kuficha makosa ya nyuma?Anahutubia TRA, kwamba tusitegemee misaada kutoka Nje kwani kuna vita na uchumi wao haukui sana, tutegemee vya kwetu wenyewe ndani.