Yaani clouds ni media iliyojaa ujinga na kujipendekeza wao kila jambo wanalibeba bila hata kulitazama vizuri, kwa kifupi ni vibendera vinavyofuata upepo unavumia wapiYameratibiwa na clouds fm/tv wazee wakujipendekeza na kusaka teuzi.
kwenye nchi ya ki republiki na kidemokrasia kama Tanzania, birthday ya Rais ni suala binafsi sana...Haya mambo ya kutukuzana hivi tuwaachie akina Kim Jong na King Mswati
madawati na madarasa yanajengwa kwa fedha za mkopoDuu aibu naona mimi sasa hapo kwenye jukwaa la mwenye basidei nani atakaa au Mama itabidi aende pale Benjamini Mkapa? Kwao walitenga bajeti kwaajili ya Besidei ya Rais? No wonder unaweza kukuta shule ina upungufu wa madawati au maji yamekwatwa kwa kudaiwa lakini wana bajeti ya besidei ya Rais duu
Hichi ni kiwango cha juu sana cha kujipendekeza aiseee...
Yameratibiwa na clouds fm/tv wazee wakujipendekeza na kusaka teuzi.
Ukiona Binadamu anatukuzwa sana jua nyuma yake ana Dhambi nyingi ambazo hata Shetani Mkuu Mwenyewe Lucifa anazishangaa na anaziogopa pia.Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia...
Jean Bedel Bokasa, Rais, Mfalme, Jenerali wa Majenerali wote Afrika ya Kati aliigeuza siku yake ya kuzaliwa kuwa sikukuu ya Kitaifa.Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia...