John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,135
- 2,152
Hepi besdei Mh Raisi View attachment 2097121View attachment 2097120
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu kwani wakiimba wewe unaumia nini?Sijui Kama umeelewa nilichoandika hapo. Wanafunzi shule waliimbishwa happy birthday mbowe? Waliacha vipindi kufanya hiyo birthday?
Picha mpige za wakimbizi Uganda msingizie za Tanzania. Kwa sasa Tanzania uchumi wa mtu mmoja mmoja umekuwa sanaHepi besdei Mh Raisi View attachment 2097121View attachment 2097120View attachment 2097122
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lini na wapi nimesema kwenye dili za makamba Kuna mkono wa raisi? Unanifananisha na nani?Ww una nn na rais wetu? Hakuna siku usim attack Samia kwani alikufanya nn? Mara kwenye dili za Makamba kuna mkono wa rais, kama vipi mpotezee tu
Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.
Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?
Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.
Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.
Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.
Vizuri ila kama facts ni watoto kutosoma siku ya leo basi nakukumbusha tu kuna vipindi vya kufidia kama mazomo ya ziada yaani remedials. Ondoa wasiwasi ndugu yangu na kilichofanyika hapo ni kitu cha kipongezwa kwa walimu kwani siku ya leo watoto watamjua rais wao vizuri zaidi. Watu wa civics na General study ndio wanufaika zaidi kwa matukio haya. Taja rais wako wa sasa watoto hawatajibu tena MagufuriNi lini na wapi nimesema kwenye dili za makamba Kuna mkono wa raisi? Unanifananisha na nani?
Alafu jua mm huwaga sinaga chuki, hapo nimejaribu kuonyesha kitu ambacho sio Cha kawaida Ila mwishoni nimemtakia birthday njema.
Uchief huendana na kutukuzwa ..... No wonder anaupenda Uchief.Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.
Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?
Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.
Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.
Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.
View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Kawapigia simu na kuwapongeza, hivyo Ni wazi ni yeye ndio kawatuma.Subiri kwanza, kama nimeelewa vizuri unamaanisha mama ameratinu hili swala?!!! au amewatuma kuandaa hivyo?
Kama kawatuma au ana mkono wake basi kazi ipo, tena sio ndogo..
Ila sasa kama hausiki unadhani kwa kutumia busara anapaswa awafanye nini?
Hapo naona shida sio yeye ni hao wanaomtukuza Na hii ni tabia ya watanzania wengi kujipendekeza kwa wenye mamlaka makubwa mfano mzuri hata maofisini utakuta wafanyakazi wanajipendekeza kwa boss kwa kujifanya wanaupendo mkubwa kwa boss ili tu mambo yao yafanikiweAnakubali vipi kutukuzwa hivi?
Yaani kweli wanaahirisha masomo sababu ya birthday ya raisi? Ni lini imewahi fanyika hiki kitu?Vizuri ila kama facts ni watoto kutosoma siku ya leo basi nakukumbusha tu kuna vipindi vya kufidia kama mazomo ya ziada yaani remedials. Ondoa wasiwasi ndugu yangu na kilichofanyika hapo ni kitu cha kipongezwa kwa walimu kwani siku ya leo watoto watamjua rais wao vizuri zaidi. Watu wa civics na General study ndio wanufaika zaidi kwa matukio haya. Taja rais wako wa sasa watoto hawatajibu tena Magufuri
Hapana ni yeye, maana kawapigiaa simu na kuwapongezaHapo naona shida sio yeye ni hao wanaomtukuza Na hii ni tabia ya watanzania wengi kujipendekeza kwa wenye mamlaka makubwa mfano mzuri hata maofisini utakuta wafanyakazi wanajipendekeza kwa boss kwa kujifanya wanaupendo mkubwa kwa boss ili tu mambo yao yafanikiwe
Mpwa upo?utukufu wa kulazimishwa
Nipo mpwaMpwa upo?
🤣🤣🤣🤣 But raisi si ni mwanamke mwenzakoKuna muda unaweza tamani kuukana uraia wako
Wanasahau kwenye uchifu kuna mabwana na watwana. All in all sioni ishu ya kujadiliwa hapo kila mtu na bahati zake mama hajapanga walimu wamsherehekee Ila wao wamejiongeza wenyewe halafu tunamtupia lawama yeye hapo ana kosa gani mama wa watu?Uchief huendana na kutukuzwa ..... No wonder anaupenda Uchief.