Utukufu wa mama na aabudiwe.Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.
Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?
Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.
Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.
Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.
View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Ni sawa hao wanafunzi wa benjamini mkapa leo kuwa nje kusheherekea birthday?Hapo hajatukuzwa, bali wameonyesha mshikamano nae tu. Ni wachawi na wanga tu wasiokuwa na shukrani humu mitandaoni na wasioona anachokifanya katika elimu. Ukweli ni kuwa huku elimuni tunamheshimu sana
Mi nafurahi kishenzi ninapoona dua za chuki za walioshindwa sababu baraka zake zimo ndani chuki za maadui......kadiri wanavyomchukia na kumuombea dua mbaya, ndivyo atakavyopona na kufanikisha malengo kwa uwezo wa Muumba!Usijali hatotudumu, na ndiyo maana nguvu yote hii!
Mi nafurahi kishenzi ninapoona dua za chuki za walioshindwa sababu baraka zake zimo ndani chuki za maadui......kadiri wanavyomchukia na kumuombea dua mbaya, ndivyo atakavyopona na kufanikisha malengo kwa uwezo wa Muumba!
Mambo ya Kim Jong Un hayo…Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.
Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?
Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.
Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.
Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.
View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Kama limeamuliwa na walimu na wameshapanga namna ya kufidia vipindi vya leo, halina shida yoyote. Raisi ni mtu mkubwa mno na anasakamwa na mengi kutoka kwa wachawi na wanga hivyo kutumia masaa machache kumpa moyo ili aendelee kuuvaa ujasiri wa kusonga tu mbele katikati ya matusi, kashfa, uzushi, chuki na maneno meengi yenye lengo la kuudhi na kuleta hasira ni jambo sahih8 kabisa. Au we unaonaje mdau?Ni sawa hao wanafunzi wa benjamini mkapa leo kuwa nje kusheherekea birthday?
Hahahahahaaaaaa! Ni wivu tu kuona anaungwa mkono na malaika (watoto). Aungwae mkono na malaika (watoto), basi hakuna dua mbaya ya wachaw8 na wanga itakayopenya na kumfikia! Amini hivyoMbona birthday ya Mbowe iliandaliwa mahakamani na keki bavicha wakaila
Mkuu haya mbona hayakufanyika kwa maraisi wengine waliopita?Kama limeamuliwa na walimu na wameshapanga namna ya kufidia vipindi vya leo, halina shida yoyote. Raisi ni mtu mkubwa mno na anasakamwa na mengi kutoka kwa wachawi na wanga hivyo kutumia masaa machache kumpa moyo ili aendelee kuuvaa ujasiri wa kusonga tu mbele katikati ya matusi, kashfa, uzushi, chuki na maneno meengi yenye lengo la kuudhi na kuleta hasira ni jambo sahih8 kabisa. Au we unaonaje mdau?
😀😀😀😀 Unafiki ni kipaji/ wito wengine wamebarikiwa na wengine tumekosa huo wito! Nimecheka sana ..Adrian Stepp tengeneza na wewe kidocumentary cha kumpamba chief wa machifu mdogo wangu.. labda uyakuwa hata msaidizi wa Haniu.
Jitoe ufahamu tu, utaja nikumbuka
Hapo hajatukuzwa, bali wameonyesha mshikamano nae tu. Ni wachawi na wanga tu wasiokuwa na shukrani humu mitandaoni na wasioona anachokifanya katika elimu. Ukweli ni kuwa huku elimuni tunamheshimu sana
Wewe na walimu wenzio waliobariki huo utoto mna akili za kitoto sanaKama limeamuliwa na walimu na wameshapanga namna ya kufidia vipindi vya leo, halina shida yoyote. Raisi ni mtu mkubwa mno na anasakamwa na mengi kutoka kwa wachawi na wanga hivyo kutumia masaa machache kumpa moyo ili aendelee kuuvaa ujasiri wa kusonga tu mbele katikati ya matusi, kashfa, uzushi, chuki na maneno meengi yenye lengo la kuudhi na kuleta hasira ni jambo sahih8 kabisa. Au we unaonaje mdau?
Kama kweli uko elimu basi unafaa kuishia ngazi ya mfagiaji tu, tena ufagie nje ya ofisi. Unashangilia watoto wa wenzio kuacha masomo kwenda kusherehekea birth day? Mwalimu gani wa ovyo kiwango chako.Hapo hajatukuzwa, bali wameonyesha mshikamano nae tu. Ni wachawi na wanga tu wasiokuwa na shukrani humu mitandaoni na wasioona anachokifanya katika elimu. Ukweli ni kuwa huku elimuni tunamheshimu sana
Yaani mpambe anajipendekeza hadi bosi ana nuna!!Yameratibiwa na clouds fm/tv wazee wakujipendekeza na kusaka teuzi.