Rais Samia umekubali kutukuzwa hivi? Yanayofanyika shuleni siku yako ya kuzaliwa siyo sawa

Ww una nn na rais wetu? Hakuna siku usim attack Samia kwani alikufanya nn? Mara kwenye dili za Makamba kuna mkono wa rais, kama vipi mpotezee tu
Ni lini na wapi nimesema kwenye dili za makamba Kuna mkono wa raisi? Unanifananisha na nani?
Alafu jua mm huwaga sinaga chuki, hapo nimejaribu kuonyesha kitu ambacho sio Cha kawaida Ila mwishoni nimemtakia birthday njema.
 
Huko iringa UkIhudhuria arobaini ya marehemu ambaye humfahamu msiba unaofuata hapo mtaani kwenu utakuwa ni wewe mzamiaji lazima ufe TU, na ukienda kwenye birthday ya mtu usiemjua kama ni mdada na wewe ni mwaume utaitwa segito,na ikiwa ni ya mwanaume na wewe ni mwanamke utaitwa mwagito. Kesho Kuna wanaume tutasikia wanaitwa SEHANGAYA.
 
Subiri kwanza, kama nimeelewa vizuri unamaanisha mama ameratinu hili swala?!!! au amewatuma kuandaa hivyo?
Kama kawatuma au ana mkono wake basi kazi ipo, tena sio ndogo..
Ila sasa kama hausiki unadhani kwa kutumia busara anapaswa awafanye nini?
 
Ni lini na wapi nimesema kwenye dili za makamba Kuna mkono wa raisi? Unanifananisha na nani?
Alafu jua mm huwaga sinaga chuki, hapo nimejaribu kuonyesha kitu ambacho sio Cha kawaida Ila mwishoni nimemtakia birthday njema.
Vizuri ila kama facts ni watoto kutosoma siku ya leo basi nakukumbusha tu kuna vipindi vya kufidia kama mazomo ya ziada yaani remedials. Ondoa wasiwasi ndugu yangu na kilichofanyika hapo ni kitu cha kipongezwa kwa walimu kwani siku ya leo watoto watamjua rais wao vizuri zaidi. Watu wa civics na General study ndio wanufaika zaidi kwa matukio haya. Taja rais wako wa sasa watoto hawatajibu tena Magufuri
 
Uchief huendana na kutukuzwa ..... No wonder anaupenda Uchief.
 
Hii nchi ukiitilia maanani kwa kila kinachoendelea unaweza kufa na Stress. Watu wazima wanafanya vitu vya kitoto mpaka unajiuliza humo vichwani wamejaza takataka gani.
 
Subiri kwanza, kama nimeelewa vizuri unamaanisha mama ameratinu hili swala?!!! au amewatuma kuandaa hivyo?
Kama kawatuma au ana mkono wake basi kazi ipo, tena sio ndogo..
Ila sasa kama hausiki unadhani kwa kutumia busara anapaswa awafanye nini?
Kawapigia simu na kuwapongeza, hivyo Ni wazi ni yeye ndio kawatuma.
 
Anakubali vipi kutukuzwa hivi?
Hapo naona shida sio yeye ni hao wanaomtukuza Na hii ni tabia ya watanzania wengi kujipendekeza kwa wenye mamlaka makubwa mfano mzuri hata maofisini utakuta wafanyakazi wanajipendekeza kwa boss kwa kujifanya wanaupendo mkubwa kwa boss ili tu mambo yao yafanikiwe
 
Yaani kweli wanaahirisha masomo sababu ya birthday ya raisi? Ni lini imewahi fanyika hiki kitu?
 
Hapana ni yeye, maana kawapigiaa simu na kuwapongeza
 
Uchief huendana na kutukuzwa ..... No wonder anaupenda Uchief.
Wanasahau kwenye uchifu kuna mabwana na watwana. All in all sioni ishu ya kujadiliwa hapo kila mtu na bahati zake mama hajapanga walimu wamsherehekee Ila wao wamejiongeza wenyewe halafu tunamtupia lawama yeye hapo ana kosa gani mama wa watu?

Yani ni sawa wewe mtaani kwenu ukapata bahati ya kufanyiwa birthday Ile upo zako ofisini unasikia huko nyumbani kulikuwa na sherehe watu wanakusherehekea siku ya kuzaliwa na haukujua Wala hauhusiki hapo utalaumiwaje???

Halafu naona ni jambo la heri tu sio ishu ya kuvimba as JF member tunatarajia ulete skillful issues labda kama uchawa wa clouds au kama alitoa hela wamsherehekee nk.

Haya mengine ni trivial matters zisitutoe kwenye ishu za msingi, no wonder machinga hawajajua pale wamerudishwa Ila alisema watahamishiwa Jangwani maana pale kunatakiwa liwekwe soko la kisasa meaning wao hawatakiwi pale na wao haeajataka kujadili hayo mengine wamekenua meno tu.

Sasa siku itakapokuja wakaambiwa waondoke watarudi tena kulalamika as if Rais hakuwaambia kwamba hatawajengea soko pale Ila warudi wajijengee lakini wajiandae kuhamia jangwani maana pale atatenga pesa ajenge soko la kisasa lenye kuweza kutoa huduma 24 hours.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…