Rais Samia umekubali kutukuzwa hivi? Yanayofanyika shuleni siku yako ya kuzaliwa siyo sawa

Mambo ya utukuzaji yalianza na kukomaa enzi za jiwe
 
Waswahili wana usemi wao "ukipata kitumie ukikosa kijutie".
 
kwani waliotangulia walifanyiwa kama hivi ? naomba nikumbusheni nimesahau
 
Mi nafurahi kishenzi ninapoona dua za chuki za walioshindwa sababu baraka zake zimo ndani chuki za maadui......kadiri wanavyomchukia na kumuombea dua mbaya, ndivyo atakavyopona na kufanikisha malengo kwa uwezo wa Muumba!
Jinsi unavyojipa moyo..wewe toilet pepa...endelea kutumika mwisho wa siku shithole inaakuhusu

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kweli wanaahirisha masomo sababu ya birthday ya raisi? Ni lini imewahi fanyika hiki kitu?
Mkuu kwani wewe ulitaka iwe imefanyika lini ili ndio uone ni kawaida?

Au ulitaka nchi gani iwe imefanya/inafanya hivyo ili wewe uone ni jambo la kawaida? Kwani kila jambo lazima lianzie nchi zingine ndio liwe halali kufanywa Tz?
 
kwani waliotangulia walifanyiwa kama hivi ? naomba nikumbusheni nimesahau
Kila zama na kitabu chake,maisha hubadilika,miaka ya zamani hata kwa watu wa kawaida hakukua na haya mambo ya Birthday kama ilivyo sasa.
 
Mkuu, haya mambo hayafanyikagi kwa bahati mbaya. Kama una Netflix tafuta Documentary moja ya "How to become a Tyrant". Itakufundisha mambo mengi kuhusu this type of leaders ....!!
 
Watu wanaenda na mdundo.Wanawake wanapenda visherehe sherehe sana kuliko wanaume.
 
Hajapanga asheherekewe? Ila waziri wa elimu amekuwaje mgeni rasmi? Na yeye akapiga simu kupongeza
 
Mkuu, haya mambo hayafanyikagi kwa bati mbaya. Kama una Netflix tafuta Documentary moja ya "How to become a Tyrant". Itakufundisha mambo mengi kuhusu this type of leaders ....!!
Well, niliifauatilia sana na uzuri pia mie ni mwanahistoria pia nilimfuatilia sana Magufuli unaweza kuona alipoanzia na alipokuwa anaelekea alihakikisha watu wanamsifia na kumfanya aonekane anafaa kuwepo kwenye utawala forever.

Huyu mama naangalia huo mchakato bado naona kama haupo sanasana Hawa watu no wanajikomba ili wapate kula nao.

Naelewa akinogewa watamhakikishia anabaki kwenye throne maana hii ndio trend mpya afrika wanaokula na Rais wanahakikisha wanambakiza ili wale nae Ila wanajua akipinduliwa wao haitawagusa.
 
Hapo hajatukuzwa, bali wameonyesha mshikamano nae tu. Ni wachawi na wanga tu wasiokuwa na shukrani humu mitandaoni na wasioona anachokifanya katika elimu. Ukweli ni kuwa huku elimuni tunamheshimu sana
Kumbe ndo maana elimu yetu ni ovyo,kama watu kama nyie ndo mko uko.Mngekua na akili zakutosha ata kama mlitaka kujipependekeza mngetumia hiyo siku kubuni kitu cha maana chakijamii kuliko huo ujinga unaousifia hapa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…