Umenijibu vizuri Sana una akili nzuri kuna wanawake wengine wanaongozwa na ujinsia kuliko kuangalia utendaji wa mtu.Bibie nimeona comment zako nyingi humu unaonesha upo smart kichwani na pia ni wife materials Mr Van ajivunie kuwa na mwanamke kama weweKua mwanamke mwenzangu sio kigezo cha kusupport utumbo wake.
Kweli watanzania tuko idle sana. Tumefika mahali tunasiscuss serious birthday ya Rais Samia??Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.
Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?
Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.
Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.
Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.
View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Hero ni mtu wa aina gani?Birthday ya Baraka Obama mliijua na kusherehekea kimoyo moyo, birthday ya Queen Elizabeth mnajua, etc. Raisi Samia Suluhu Hasan - Huyu ni one of our heroes (Mkwawa, Kinjekitile, Nyererr, Magufuli, Mkapa, Ali Hasan etc) - ni mashujaa wetu. Tufurahie na waliopo hai tusherehekee nao. Kataa/kubali - like it or not, she is our hero. Kwa walio hai tuwaonyeshe upendo tusingoje wakufe! Kipende chako kwanza! Huyu ni Raisi wetu, tumtakie mema. Yupo kwa niaba yetu.
Happy birthday Samia(Raisi, Amir jesh mkuu, mwenyekiti wa CCM, Mama na mke wa mtu).
Kwa hiyo wewe unajiona una akili? Hao ni wanae anawa inspire tu!! WAPUMBAVU mtakufa na vijiba vya rohoHuna akili, Hawa wanafunzi kuwafanya hivi sio fair
View attachment 2097600
Anawa-inspire Kwa kuwalazimisha? Hapo walikua hata hawajui birthday yake ni liniKwa hiyo wewe unajiona una akili? Hao ni wanae anawa inspire tu!! WAPUMBAVU mtakufa na vijiba vya roho
Kusherehekea Siku ya kuzaliwa Rais ni kutukuzwa? Siku ya furaha Mkuu wa nchi kufurahi na watoto wa shule na raia wengine ni kosa? Tusipende kujadili na kukuza vitu.Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.
Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?
Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.
Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.
Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.
View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Hebu nitajie hiki kilichofanyika leo kimefanywa na raisi gani duniani? Labda bokassaKusherehekea Siku ya kuzaliwa Rais ni kutukuzwa? Siku ya furaha Mkuu wa nchi kufurahi na watoto wa shule na raia wengine ni kosa? Tusipende kujadili na kukuza vitu.
mawingu tv ninawachukia kulivyoYameratibiwa na clouds fm/tv wazee wakujipendekeza na kusaka teuzi.
mi nimejua siku nyingi ila leo nimejua kitaifa kabisa we tupe ulaji uone kama hatutajua wote kama ilivyokua kwa JMKNimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.
Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?
Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.
Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.
Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.
View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Kama kweli uko elimu basi unafaa kuishia ngazi ya mfagiaji tu, tena ufagie nje ya ofisi. Unashangilia watoto wa wenzio kuacha masomo kwenda kusherehekea birth day? Mwalimu gani wa ovyo kiwango chako
Sanaππππ nchi ngumu sana hii.
Kusherehekea Siku ya kuzaliwa Rais ni kutukuzwa? Siku ya Furaha Mkuu wa nchi kufurahi na watoto wa shule na raia wengine ni kosa? Tusipende kujadili na kukuza vitu.Nimeona jambo ambalo sikuwahi kuliona kwa maraisi wengine wote na imebibidi nishtuke kidogo. Wanafunzi wa mashule mbalimbali za msingi na sekondari Dar na mikoani nimeona leo wameimbishwa na kurekodiwa madarasani kuhusu birthday ya mama Samia.
Hawa wanafunzi hawajui chochote kuhusu siku yako ya birthday ni wazi waliletewa hilo Jambo na kuambiwa waimbe.
Sasa nachojiuliza haya yote ya nini? Yana faida gani?
Shule ya Benjamini Mkapa leo hapo inafanywa sherehe ya birthday yako na Watoto wapo nje kusheherekea hii birthday yako. Nasisitiza hawa hawafanyi kwa utashi wao kwa kuwa hata pegine hawajui tarehe yako ya kuzaliwa bali wanafanya kwa msukumo.
Kusheherekea birthday ni Jambo zuri na sina tatizo nalo, Ila huku kwenda mashule mbalimbali hadi mikoani na kuwaimbisha kisha kuwarekodi Sio sawa kabisa.
Nimeona kituo kimoja cha redio wakisema hii siku ya tarehe 27 iwe siku ya mama kitaifa.
Umekubali kutukuzwa hivi? Ikiwa umeridhia haya basi pia sina tatizo.
Happy birthday SSH.
View attachment 2097063View attachment 2097064View attachment 2097066View attachment 2097067View attachment 2097068
Tuseme kimefanyika Tanzania tu...kwani Tanzania lazima iige Biden, Boris Johnson au Macron wanafanyaje? Ni style yetu mpya ya Rais kushare furaha na raia wake.ππHebu nitajie hiki kilichofanyika leo kimefanywa na raisi gani duniani? Labda bokassa