Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanavyojua kumsifia utadhani wanafanya la maana kumbe hakuna loloteNa hao uliowataja ndiyo watamuangusha Samia vibaya maana performance ya wizara zao ziko duni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanavyojua kumsifia utadhani wanafanya la maana kumbe hakuna loloteNa hao uliowataja ndiyo watamuangusha Samia vibaya maana performance ya wizara zao ziko duni sana.
Turudi hapa tenaHalina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM."
Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au Mzee Makamba.
Maadam umekwishalipa fadhila sasa chapa kazi na uisiangalie makunyanzi. Najuwa kuwa wengi wanafanya vibaya na pengine walistahili kuwa Mahakamani wakijibu tuhuma za ufisadi au uzembe lakini unaogopa kuwapekea huko kwa kuwa ni watoto wa waasisi.
Ushauri wangu wa mwisho kwako ili ufanikiwe ni kama ifuatavyo;
1. Rudia mfumo wa zamani uliokuwapo kabla ya 2015 ambapo kazi zinatangazwa magazetini na Watanzania wenye uwezo wanashindanishwa kupitia Bodi then unapata mtu mwenye uwezo ndiyo unamteua baaday ya Bodi na Waziri kukupa took 3.
Kwa namna hii ukimpata CEO bora ata perform na asipo perform ni rahisi kumtimua kwa KPIs alizopewa. Na akiiba au akifanya uzembe ni rahisi kumpeleka Mahakamani kwa kuwa Rais unakuwa huna mtu unayemlipa fadhila
Juzi katola Januari Makamba, na leo Maharage Chande katupiwa virago nje. Hongera Rais kwa kusikia ushauriMakamba ni ukoo wa panya.
Mwamvita makamba baada ya kupata deal la maana tanesco akaacha kazi Vodacom.
Makambas ni watu wa hovyo sana wasiofaa kwa lolote, yule mzee wa hovyo mkamba viatu wakuu. Yuko tayari kusema lolote ili mradi kutetea watoto wake.
Samia amefanya jambo jema sana kuondoa ukoo wa panya tanesco.