Rais Samia, Umekwishalipa Fadhila Kwa Waasisi wa CCM, Sasa Fanya Kazi Yako Kama Rais

Turudi hapa tena
 
Hili ni angalizo zuri na kama Samia atacheka na nyani atavuna mabua. Huyo Makamba akimuendekeza ndiye ataharibu U-Rais wake mwaka 2025.

Usijesema HATUKUKUTAARIFU
Naona Samia kashtuka sasa
 
Juzi katola Januari Makamba, na leo Maharage Chande katupiwa virago nje. Hongera Rais kwa kusikia ushauri

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…