PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Onesha

Onesha kitu kibaya TEC wamesema.
TEC kama mnatoa matamko kusema watu wameuwawa ni sawa ni haki yenu lakini mnapokuwa mnasahau au kujisahaulisha kuwa watu wenu mnaoita waandamanaji wameharibu mali za umma na mali za watu ndiyo hapo tunapowaona ninyini PANYA ROAD mlioko kanisani na hakuna lolote mnalofanya zadi ya kuwa sehemu ya machafuko na kuchochewa kwa vurugu hizi.
 
Wewe unaandamana kutokea wapi? Toka barabarani uandamane uone kitu utafanywa siyo kubwekabweka tu mitandaoni na kushangilia watoto wa watu wakifa.
Imagine wewe ni mwanafunzi wa mwanazuoni sheikh Bakonzi!
 
Umri wangu wewe ni mtoto wangu huyo bakozi ni nani?
Kwani nyie si mliwaambia watanzania kuwa JWTZ wamewaambia kuwa andamaneni wao watawasaidia kupindua nchi au?

Hawa si ndiyo wale JWTZ waliokuwa wanawasaidia kupindua nchi au hawa ni gani?

Mmedanganya watoto wa watu na kuwachochea kufanya hizi vurugu sasa hivi mnalipa gharama za upumbavu wenu kwa hiyo tulieni msitupigie kelele hapa!..
 
Hakuna kuandamana! Wakijaribu watapasuka tu !..
 
TEC kama mnatoa matamko kusema watu wameuwawa ni sawa ni haki yenu lakini mnapokuwa mnasahau au kujisahaulisha kuwa watu wenu mnaoita waandamanaji wameharibu mali za umma na mali za watu ndiyo hapo tunapowaona ninyini PANYA ROAD mlioko kanisani na hakuna lolote mnalofanya zadi ya kuwa sehemu ya machafuko na kuchochewa kwa vurugu hizi.
Kwa akili zako, mali zinarudishika, uhai haurudishiki. Sasa wewe unataka kusema mali ni bora kuliko uhai wa mtu. Polisi wamebaka, wamelawiti, wameiba ila unaona ni sawa tu? Nyoko sana. Mzigo kwa ukoo wewe
 
Wewe punguani kweli ulitaka polisi wawabembeleze waharifu?

Yaaani mchome vituo vya mafuta vituo vya mwendokasi mchome majengo ya serikali mchome mabasi ya watu kisha muachiwe?

Pumbavu kabisa wewe..
 
We takataka ndio muue? Mnaweza kurudisha roho za watu? Yani we unastahili kuuliwa pia kama ni hivyo.
 
Back
Top Bottom