PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanaukumbi.

Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!..

Rais Samia ametenda sawasawa kama ambavyo Rais mwingine yoyote angetenda kutokana na nyakati hizi za sasa.

Yaaani iko hivi Rais Samia kaamua kuongea kutoka kwenye "strengh position" na kama mkuu wa nchi ametenda vyema

Yaaani mlitaka Rais aje kuwabembeleza wahalifu waliochoma mali za watu na za umma? Mlitaka aje kubembeleza watu waliopiga na kuuwa polisi? Mlitaka aje kusifia watu waliokuwa na lengo la kupindua serikali kwa kufanya vurugu? Mlitaka aje awapongeze wahuni na wezi waliopora maduka ya watu na kuchoma moto vituo vya mafuta?

Sina uhakika kama wanaojiita wanaharakati wanajua wanachotaka na sina uhakika kama kwao matukio ya kuchoma miundombinu ya mwendokasi siyo tatizo!

Rais Samia amewachana TEC waziwazi na kuwaambia wasifikiri wanaweza kuongoza hii nchi au wasifikiri wao ndiyo bora kuliko dibi zingine na kudhani wanaweza kuiyumbisha nchi! TEC walijisahau sana na sasa kama wameamua kuingia kwenye siasa waseme!

Kanisa Katoliki ni sumbufu sana! Wakishaharibu kule Rwanda, wakarudia kule Congo ya Kinshasa na sasa wanaleta chokochoko kule Malawi. Haya mambo hawajaanza leo kwa hiyo mambo anafanya Padre Kitima ni mambo wakiyoyazoea kuyafanya.

Wakoloni nao wameambia yanayowahusu! Lakini sisi tunajua kwa nini EU wana hasira sana. Kitendo cha Tanzania kuwakatalia msaada wao wa kuchangia kuendesha uchaguzi wa Oktoba 2025 kimewauma sana na hawakutegemea kabisa!

EU wamepewa somo kuwa hawanauwezo wala mamlaka ya kuamua nini serikali ya Tanzania itafanya na kwa matakwa yao !.

Rais Samia ana jukumu la kulinda na kuongoza hii nchi kwa hiyo hao wanaosema sijui hawamtambui sijui TEC blah blah nini waendelee tu LAKINI mlichosikia ndivho mlitakiwa kusikia kutoka kwa Rais na amiri jeshi mkuu!..

Ila wanaharakati ni kama hamkutarajia yaani maana mmepaniki kweli kweli .. Mwingine nimemsikia anapayuka yaani kavurugwa kweli kweli ooh siogopi niuweni. Kwani aliyesema unaogopa nani? Au aliyesema anakuuwa nani? Jipe muda tukia na utaelewa hii shughuli itakwenda unbali mrefu kiasi gani na utachoka kiasi gani
Double standards na unafiki ni pale unapokesha mtandaoni kuitetea Hamas na Palestine nyuma ya neno HAKI!

lakini unakuja nyumbani, unatetea wauaji wa watu 1000+ kwasababu "unazozijua"..poor you!
Huku Tz hatustahili haki?
Watu wanatekwa,wanapotea na wanauwawa ni sawaaaa?
 
TEC NI PANYA ROAD WALIOJIFICHA KWENYE MAKANISA
 
Ameongea kama kiongozi wa dini ya kiislam.
Tulipokuwa tunawaambia mienendo ya TEC na kanisa KATOLIKI ni ya hovyo hamkuwa wasikivu!..

Tulipowaambia wameacha kuchunga kondoo wanafanya harakati na siasa hamkusikia!..

SASA wamepata wakichotaka na watakipata kweli kweli!.. Hii nchi siyo ya katoliki!..

Wamewasha moto sasa umekolea na hatutaki kusikia milio! Wapambane yaani tuone mwisho wake nini maana walikuwa wanachukulia mambo kimazoea sana!..
 
Kwa Nini umeipenda ?

Mimi mwenyewe ninayo nairudia nimependa ujasiri wake na kuchana watu live , amenikukbusha enzi ya Magu
Ila kumbuka kabla ya maandamano alitoa kauli kama hizo na tena akijitaja kabisa kuwa yeye ni amiri jeshi mkuu ila bado walienda kuandama.
 
Wanaukumbi
Rizimoko muonyeshee Baba yako hio
1764915019003.jpeg
 
Who Are You?

20251204_205720.jpg

Muda si mrefu kwenye somo la Historia itaingizwa MAUAJI YA KIMBALI YALIYOFANYWA NA UTAWAKA WA RAIS SAMIA!
 
Wanaukumbi.

Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!..

Rais Samia ametenda sawasawa kama ambavyo Rais mwingine yoyote angetenda kutokana na nyakati hizi za sasa.

Yaaani iko hivi Rais Samia kaamua kuongea kutoka kwenye "strengh position" na kama mkuu wa nchi ametenda vyema

Yaaani mlitaka Rais aje kuwabembeleza wahalifu waliochoma mali za watu na za umma? Mlitaka aje kubembeleza watu waliopiga na kuuwa polisi? Mlitaka aje kusifia watu waliokuwa na lengo la kupindua serikali kwa kufanya vurugu? Mlitaka aje awapongeze wahuni na wezi waliopora maduka ya watu na kuchoma moto vituo vya mafuta?

Sina uhakika kama wanaojiita wanaharakati wanajua wanachotaka na sina uhakika kama kwao matukio ya kuchoma miundombinu ya mwendokasi siyo tatizo!

Rais Samia amewachana TEC waziwazi na kuwaambia wasifikiri wanaweza kuongoza hii nchi au wasifikiri wao ndiyo bora kuliko dibi zingine na kudhani wanaweza kuiyumbisha nchi! TEC walijisahau sana na sasa kama wameamua kuingia kwenye siasa waseme!

Kanisa Katoliki ni sumbufu sana! Wakishaharibu kule Rwanda, wakarudia kule Congo ya Kinshasa na sasa wanaleta chokochoko kule Malawi. Haya mambo hawajaanza leo kwa hiyo mambo anafanya Padre Kitima ni mambo wakiyoyazoea kuyafanya.

Wakoloni nao wameambia yanayowahusu! Lakini sisi tunajua kwa nini EU wana hasira sana. Kitendo cha Tanzania kuwakatalia msaada wao wa kuchangia kuendesha uchaguzi wa Oktoba 2025 kimewauma sana na hawakutegemea kabisa!

EU wamepewa somo kuwa hawanauwezo wala mamlaka ya kuamua nini serikali ya Tanzania itafanya na kwa matakwa yao !.

Rais Samia ana jukumu la kulinda na kuongoza hii nchi kwa hiyo hao wanaosema sijui hawamtambui sijui TEC blah blah nini waendelee tu LAKINI mlichosikia ndivho mlitakiwa kusikia kutoka kwa Rais na amiri jeshi mkuu!..

Ila wanaharakati ni kama hamkutarajia yaani maana mmepaniki kweli kweli .. Mwingine nimemsikia anapayuka yaani kavurugwa kweli kweli ooh siogopi niuweni. Kwani aliyesema unaogopa nani? Au aliyesema anakuuwa nani? Jipe muda tukia na utaelewa hii shughuli itakwenda unbali mrefu kiasi gani na utachoka kiasi gani
58672644_605 (1).jpg

Amiri jeshi mkuu
 
Nyumbu walitarajia Samia atakuja kutia huruma ila walichokutana nacho ni kuambiwa hayo maandamano yenu ya tarehe 9 yakishindikana mje wakati wowote mtapokelewa vizuri sana
Mwanzo alisema hakutatokea hayo kwamba maandamano pekee yatakuwa ni ya wapiga kura kwenda kupiga kura ila sasa kajua wananchi hawatanii wala kuogopa vitisho kwahiyo sasa kaamua kutangaza vita.
 
Nimecheka sana shujaa wenu Mange Ukisikia kuchanganyikiwa ndiyo huku sasa!

Yaani una tag kila mtu ili mradi tu 😁😁.. Meta hawawezi kuvumilia perpetrators wa vurugu za 29 Oktoba.

Yaani Meta wanaongozwa na Trump au mimi sijaelewa? Hawa Meta si walimfungia Trump au?

😁😁😁
 
Yaaani walilitaka Rais aje kuwabembeleza wahalifu waliochoma mali za watu na za umma?
Tumia akili waliongia barabarani kufanya hizo vurugu ni asilimia ndogo tu ukilinganisha na wananchi wasiomkubali Samia na wenye kusapoti maandamano, wakati yeye anatangaza kuwauwa hao wahalifu huku wanasanii tu wana hali mbaya wananchi wamewakataa, hiko chama chake tu cha ccm hata huo ushindi wake hawakuweza kuushangilia na hadi sasa hata kuvaa nguo zao za ccm wanaogopa.
 
Mwanzo alisema hakutatokea hayo kwamba maandamano pekee yatakuwa ni ya wapiga kura kwenda kupiga kura ila sasa kajua wananchi hawatanii wala kuogopa vitisho kwahiyo sasa kaamua kutangaza vita.
Naona unaniletea habari za kishoga mimi na wewe tumeongea lini?
 
Tumia akili waliongia barabarani kufanya hizo vurugu ni asilimia ndogo tu ukilinganisha na wananchi wasiomkubali Samia na wenye kusapoti maandamano, wakati yeye anatangaza kuwauwa hao wahalifu huku wanasanii tu wana hali mbaya wananchi wamewakataa, hiko chama chake tu cha ccm hata huo ushindi wake hawakuweza kuushangilia na hadi sasa hata kuvaa nguo zao za ccm wanaogopa.
Weee pimbi kweli nani nani alichoma vituo vya Mafuta, Mwendokasi, Magari na kuuwa polisi?
 
Naona unaniletea habari za kishoga mimi na wewe tumeongea lini?
Kuna sehemu nimesema mimi na wewe tuliongea? Kwanza sikuwa nimekuquote wewe hapo sasa nakushangaa WHO ARE YOU?
 
Mabalozi 17 + US wanamwita huko..asijisahaulishe.
 
Weee pimbi kweli nani nani alichoma vituo vya Mafuta, Mwendokasi, Magari na kuuwa polisi?
Hao walichoma hivyo vitu ni watu wachache sana ukilinganisha na watu wenye kusapoti hayo maandamano (ambao hawamtaki Samia)ila wapo majumbani, kwahiyo hii vita sio ya wenye kutoka kwenda kuchoma vitu tu au kupambana na polisi.

Sasa usifikiri mkishauwa hao waandamanaji basi kila kitu kinakawa sawa.
 
Nimecheka sana shujaa wenu Mange Ukisikia kuchanganyikiwa ndiyo huku sasa!

Yaani una tag kila mtu ili mradi tu 😁😁.. Meta hawawezi kuvumilia perpetrators wa vurugu za 29 Oktoba.

Yaani Meta wanaongozwa na Trump au mimi sijaelewa? Hawa Meta si walimfungia Trump au?

😁😁😁
Mwanzoni ulivyokuwa unakaza mshipa wa tako kuwatetea wapalestina nilikuona mpenda haki sana!
Baada ya furaha yako kishabikia Mali zaidi ya utu nikaconclude kuwa wewe ni wale wapenda caliphate na si vinginevyo!
Bahati mbaya kwako hilo haliwezi tokea nchi hii!
 
Wagalatia najua mtakuwa mmepewa maagizo kwenye vigango vyenu tarehe 9 jitozeni.
 
Mwanzoni ulivyokuwa unakaza mshipa wa tako kuwatetea wapalestina nilikuona mpenda haki sana!
Baada ya furaha yako kishabikia Mali zaidi ya utu nikaconclude kuwa wewe ni wale wapenda caliphate na si vinginevyo!
Bahati mbaya kwako hilo haliwezi tokea nchi hii!
Wewe unaandamana kutokea wapi? Toka barabarani uandamane uone kitu utafanywa siyo kubwekabweka tu mitandaoni na kushangilia watoto wa watu wakifa.
 
Back
Top Bottom