PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kilichobakia kuwakoromea TEC na Wapinzani kuamishia lawama, ICC haingalii hiyo. UMETEKA, UMEUA, UMEPOTEZA, na baadaye uakonyesha ushamba wako (PRIMITIVE), jungle culture, ukaua 20,000. Sasa fikiria alidhani ni ni kitatokea akiua idadi ya watu kama hao? Asifiwe na Mataifa? Hata rafiki zenu kusini hata masharki ya mbali wamejitenga. YOU'RE IN FOR IT.

Fikiria, hii ni nchi amnayo hajajitayarisha kwa chochote kile, mnaagiza magari ya washa washa, mabomu ya machozi etc etc na hamjui namna ya kuyatumia, ikabidi mtumie risasi za moto.

Na Kagame kishaona weakness hiyo
Kagame ni nani fala wewe? Kagame sindo huyo huyo alimuwekea sumu yule dada binti mpinzani wake akamuua..
 
Kwa Nini umeipenda ?

Mimi mwenyewe ninayo nairudia nimependa ujasiri wake na kuchana watu live , amenikukbusha enzi ya Magu
Yaaani iko hivi Rais Samia kaamua kuongea kutoka kwenye "strengh position" na kama mkuu wa nchi
 
Nimekuuliza swali, na wewe unaniuliza swali badala ya kunijibu!
Haya Dada uwe na siku njema.
Wewe ***** kweli unauliza maswali ya kishoga sikiliza hotuba ya Amir Jeshi kuna majibu yote bwege wewe.
 
Nyumbu walitarajia Samia atakuja kutia huruma ila walichokutana nacho ni kuambiwa hayo maandamano yenu ya tarehe 9 yakishindikana mje wakati wowote mtapokelewa vizuri sana
 
Nyumbu walitarajia Samia atakuja kutia huruma ila walichokutana nacho ni kuambiwa hayo maandamano yenu ya tarehe 9 yakishindikana mje wakati wowote mtapokelewa vizuri sana
Yaaani walilitaka Rais aje kuwabembeleza wahalifu waliochoma mali za watu na za umma?
 
Kagame ni nani fala wewe? Kagame sindo huyo huyo alimuwekea sumu yule dada binti mpinzani wake akamuua..
Wewe hujaelewa point hapo. Kagame ni opportunist, si jirani mzuri kwa sababu ya geopolitics zilizopo. Kama kwa kuona kuwa adui yako hana uwezo hata wa kuzuia riots ya watu elfu 10, je anaweza nini? Hii inamsaidia hata kupanga strategy yake.

Kwenye hili la October 29, imeonyesha wazi kuwa Tanzania kwa muda huu ni very very weak.
Weak president, and unprepared security machinery
 
Hana mamlaka kwenye jeshi la nchi katiba haitambui mwizi wa kura muuwaji ni raisi
Nenda kajaribu kumzaba kibao uone kama jeshi halimtambui. Au usitumie ID fekero unayotumia hii halafu mtukane mitandaoni uone kama hashtag za free Fulani zitasaidia. Yule ni C inC ulichagua au hukuchagua Hilo utajua wewe!
 
Hivi hawa watu wanamchukuliaje Rais? Walitegemea aje kuwabembeleza au?

Yaani mtake kupindua serikali halafu mbembelezwe? Kwamba nyie nani? Au mna umuhimu gani?
Duh! Japo sishabikii vurugu lakini mnajipa umuhimu sana nyie watu. Madai ya mnaodai waliharibu mali za watu yapo wazi.

Wanataka uchaguzi huru ambao kiongozi atatokana na uchaguzi sio awekwe kwa maslahi ya watu wachache.

Huko ndiko mnaita kupindua serikali?
 
Ni kweli kabisa Tanzania siyo mali ya TEC.

binafsi sijawahi kusikia hata siku moja Kanisa katoliki la Tanzania likitamka neno islam au msikiti popote pale tangia nimeanza kuwa na uelewa wa mambo, lkn kwa nini muslims neno Katoliki limewakaa mdomoni mpaka raisi wenu? hivi mna ugomvi gani wa kihistoria labda na Kanisa Katoliki? kwa nini mko sooo sensitive na chochote Kanisa Katoliki linachofanya au kusema? kwa nini lkn? kwa nini mna bifu na mtu ambaye hana mpango nanyi, ni lini Padre Kitima hata amewahi kutamka neno islam popote pale hadi muslims wote wamuone adui na kumtukana matusi ya nguoni? unaweza labda kujaribu kunielimisha hapo? labda kuna kitu kilinipita katika ukuaji wangu khs bifu la muslims na Kanisa Katoliki.

ni nini kanisa katoliki walikosea na lini huo ugomvi ulianza labda? Kanisa linakemea mauaji muslims woote wanakuja juu kulitukana, kwa nini lkn?

iam confused ...
 
Wewe hujaelewa point hapo. Kagame ni opportunist, si jirani mzuri kwa sababu ya geopolitics zilizopo. Kama kwa kuona kuwa adui yako hana uwezo hata wa kuzuia riots ya watu elfu 10, je anaweza nini? Hii inamsaidia hata kupanga strategy yake.

Kwenye hili la October 29, imeonyesha wazi kuwa Tanzania kwa muda huu ni very very weak.
Weak president, and unprepared security machinery
Oh! Sawa nimekuelewa. Lakini sikubaliani na nadharia yako, ukitazama kwa makini serikali haikuwa tayari kutumia nguvu kubwa kudhibiti maandamano lakini maandamano yalipozidi hapakuwa na namna.
Kagame ni overrated kiongozi, Tanzania tupo vizuri kijeshi na ki intelijensia. Bila uimara wa vyombo
 
Nyumbu walitarajia Samia atakuja kutia huruma ila walichokutana nacho ni kuambiwa hayo maandamano yenu ya tarehe 9 yakishindikana mje wakati wowote mtapokelewa vizuri sana
Yaani nionacho mimi ni kuua mende kwa bomu la nuclear.

Nchi yetu sote anachofanya ni kujiangusha mwenyewe. Maana anaoshindana nao hawana cha kupoteza ila yeye ataacha alama gani akiwa hayupo madarakani?

Uongozi ni kalama na kalama ya uongozi ina busara ndani yake.

Anaowatangazia vita ni watanzania ambao aliapa kuwalinda.

Ushauri wangu, wakae mezani wamalize tofauti zao za kisiasa alafu baada ya hapo tuwe na mkutano wa kitaifa kila kundi litoe mwakilishi tujadiri kwa pamoja kesho yetu na vijana wetu.

Hizi chokochoko huanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Bado hatujachelewa. Tutumie busara kuamua mambo yetu na sio kutunishiana misuli. Tutaibomoa nchi yetu na historia haitakua nzuri huko tuendako
 
binafsi sijawahi kusikia hata siku moja Kanisa katoliki la Tanzania likitamka neno islam au msikiti popote pale tangia nimeanza kuwa na uelewa wa mambo, lkn kwa nini muslims neno Katoliki limewakaa mdomoni mpaka raisi wenu? hivi mna ugomvi gani wa kihistoria labda na Kanisa Katoliki? kwa nini mko sooo sensitive na chochote Kanisa Katoliki linachofanya au kusema? kwa nini lkn? kwa nini mna bifu na mtu ambaye hana mpango nanyi, ni lini Padre Kitima hata amewahi kutamka neno islam popote pale hadi muslims wote wamuone adui na kumtukana matusi ya nguoni? unaweza labda kujaribu kunielimisha hapo kwa maana iam confused ...
Ndugu yangu Mimi nawashangaa ndugu zetu waislamu, wanahangaika na Taasisi ambayo kiongozi wao duniani anabariki mashoga na kuhimiza ndoa za jinsia Moja. Hao TEC hata uongozi wa familia hawana. Si shida kwa kweli
 
Wanaukumbi.

Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!..

Rais Samia ametenda sawasawa kama ambavyo Rais mwingine yoyote angetenda kutokana na nyakati hizi za sasa.

Yaaani iko hivi Rais Samia kaamua kuongea kutoka kwenye "strengh position" na kama mkuu wa nchi ametenda vyema

Yaaani mlitaka Rais aje kuwabembeleza wahalifu waliochoma mali za watu na za umma? Mlitaka aje kubembeleza watu waliopiga na kuuwa polisi? Mlitaka aje kusifia watu waliokuwa na lengo la kupindua serikali kwa kufanya vurugu? Mlitaka aje awapongeze wahuni na wezi waliopora maduka ya watu na kuchoma moto vituo vya mafuta?

Sina uhakika kama wanaojiita wanaharakati wanajua wanachotaka na sina uhakika kama kwao matukio ya kuchoma miundombinu ya mwendokasi siyo tatizo!

Rais Samia amewachana TEC waziwazi na kuwaambia wasifikiri wanaweza kuongoza hii nchi au wasifikiri wao ndiyo bora kuliko dibi zingine na kudhani wanaweza kuiyumbisha nchi! TEC walijisahau sana na sasa kama wameamua kuingia kwenye siasa waseme!

Kanisa Katoliki ni sumbufu sana! Wakishaharibu kule Rwanda, wakarudia kule Congo ya Kinshasa na sasa wanaleta chokochoko kule Malawi. Haya mambo hawajaanza leo kwa hiyo mambo anafanya Padre Kitima ni mambo wakiyoyazoea kuyafanya.

Wakoloni nao wameambia yanayowahusu! Lakini sisi tunajua kwa nini EU wana hasira sana. Kitendo cha Tanzania kuwakatalia msaada wao wa kuchangia kuendesha uchaguzi wa Oktoba 2025 kimewauma sana na hawakutegemea kabisa!

EU wamepewa somo kuwa hawanauwezo wala mamlaka ya kuamua nini serikali ya Tanzania itafanya na kwa matakwa yao !.

Rais Samia ana jukumu la kulinda na kuongoza hii nchi kwa hiyo hao wanaosema sijui hawamtambui sijui TEC blah blah nini waendelee tu LAKINI mlichosikia ndivho mlitakiwa kusikia kutoka kwa Rais na amiri jeshi mkuu!..

Ila wanaharakati ni kama hamkutarajia yaani maana mmepaniki kweli kweli .. Mwingine nimemsikia anapayuka yaani kavurugwa kweli kweli ooh siogopi niuweni. Kwani aliyesema unaogopa nani? Au aliyesema anakuuwa nani? Jipe muda tukia na utaelewa hii shughuli itakwenda unbali mrefu kiasi gani na utachoka kiasi gani
Ni muhimu kwa nchi za Afrika kuwa na ufahamu wa kina kuhusu masilahi ya nchi za kigeni na jinsi yanavyoweza kuathiri mchakato wa kisiasa na kijamii. Kujenga uwezo wa ndani, kuimarisha demokrasia, na kuendeleza elimu ya raia kunaweza kusaidia katika kupunguza athari za matumizi mabaya ya wanaharakati na kuimarisha uhuru wa ndani. Aidha, ni muhimu kwa nchi za Afrika kuunda sera zinazolinda masilahi yao na kuhakikisha kwamba rasilimali zao zinatumika kwa faida ya wananchi wao. #TANZANIA #SIASA
on saturday i got a little accident , lost my stuffs. so am kindly offline _20251203_082736_0000.png
 
Ndugu yangu Mimi nawashangaa ndugu zetu waislamu, wanahangaika na Taasisi ambayo kiongozi wao duniani anabariki mashoga na kuhimiza ndoa za jinsia Moja. Hao TEC hata uongozi wa familia hawana. Si shida kwa kweli

lkn sielewi ni kwa nini muslims wako soo sensitive na chochote kile Kanisa Katoliki linachosema au kufanya, ni kama Kanisa halipaswi kuongea chochote, kwa nini muslims wanaamini Kanisa likiongea basi its all about them (muslims) wakati sijawahi kusikia Kanisa Katoliki likitamkka neno islam au msikiti popote maisha yangu yote, sasa kwa nini upande wa muslims wako hivyo, tatizo ni nini? kwa nini muslims wako soo sensitive? ...
 
Wanaukumbi.

Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!..

Rais Samia ametenda sawasawa kama ambavyo Rais mwingine yoyote angetenda kutokana na nyakati hizi za sasa.

Yaaani iko hivi Rais Samia kaamua kuongea kutoka kwenye "strengh position" na kama mkuu wa nchi ametenda vyema

Yaaani mlitaka Rais aje kuwabembeleza wahalifu waliochoma mali za watu na za umma? Mlitaka aje kubembeleza watu waliopiga na kuuwa polisi? Mlitaka aje kusifia watu waliokuwa na lengo la kupindua serikali kwa kufanya vurugu? Mlitaka aje awapongeze wahuni na wezi waliopora maduka ya watu na kuchoma moto vituo vya mafuta?

Sina uhakika kama wanaojiita wanaharakati wanajua wanachotaka na sina uhakika kama kwao matukio ya kuchoma miundombinu ya mwendokasi siyo tatizo!

Rais Samia amewachana TEC waziwazi na kuwaambia wasifikiri wanaweza kuongoza hii nchi au wasifikiri wao ndiyo bora kuliko dibi zingine na kudhani wanaweza kuiyumbisha nchi! TEC walijisahau sana na sasa kama wameamua kuingia kwenye siasa waseme!

Kanisa Katoliki ni sumbufu sana! Wakishaharibu kule Rwanda, wakarudia kule Congo ya Kinshasa na sasa wanaleta chokochoko kule Malawi. Haya mambo hawajaanza leo kwa hiyo mambo anafanya Padre Kitima ni mambo wakiyoyazoea kuyafanya.

Wakoloni nao wameambia yanayowahusu! Lakini sisi tunajua kwa nini EU wana hasira sana. Kitendo cha Tanzania kuwakatalia msaada wao wa kuchangia kuendesha uchaguzi wa Oktoba 2025 kimewauma sana na hawakutegemea kabisa!

EU wamepewa somo kuwa hawanauwezo wala mamlaka ya kuamua nini serikali ya Tanzania itafanya na kwa matakwa yao !.

Rais Samia ana jukumu la kulinda na kuongoza hii nchi kwa hiyo hao wanaosema sijui hawamtambui sijui TEC blah blah nini waendelee tu LAKINI mlichosikia ndivho mlitakiwa kusikia kutoka kwa Rais na amiri jeshi mkuu!..

Ila wanaharakati ni kama hamkutarajia yaani maana mmepaniki kweli kweli .. Mwingine nimemsikia anapayuka yaani kavurugwa kweli kweli ooh siogopi niuweni. Kwani aliyesema unaogopa nani? Au aliyesema anakuuwa nani? Jipe muda tukia na utaelewa hii shughuli itakwenda unbali mrefu kiasi gani na utachoka kiasi gani
Akianza kujinyea kwa laaana za watu uje hapa kumsafisha pia
 
Kwa Nini umeipenda ?

Mimi mwenyewe ninayo nairudia nimependa ujasiri wake na kuchana watu live , amenikukbusha enzi ya Magu
Kawakumbuka watu wapi wanatakiwa kukaa lakini pia kaonesha kwamba serikali haimsikilizi mtu mmoja yaan unachotaka wewe kifanyike basi kifanyoke kwa wakati huo huo hii ngumu
 
Back
Top Bottom