TEC kama mnatoa matamko kusema watu wameuwawa ni sawa ni haki yenu lakini mnapokuwa mnasahau au kujisahaulisha kuwa watu wenu mnaoita waandamanaji wameharibu mali za umma na mali za watu ndiyo hapo tunapowaona ninyini PANYA ROAD mlioko kanisani na hakuna lolote mnalofanya zadi ya kuwa sehemu ya machafuko na kuchochewa kwa vurugu hizi.Onesha
Onesha kitu kibaya TEC wamesema.
Imagine wewe ni mwanafunzi wa mwanazuoni sheikh Bakonzi!Wewe unaandamana kutokea wapi? Toka barabarani uandamane uone kitu utafanywa siyo kubwekabweka tu mitandaoni na kushangilia watoto wa watu wakifa.
Umri wangu wewe ni mtoto wangu huyo bakozi ni nani?Imagine wewe ni mwanafunzi wa mwanazuoni sheikh Bakonzi!
Kula kitimoto pamoja na tende ni tamu mnoNaona Shoga la Ngara limepanic😅
Kwa akili zako, mali zinarudishika, uhai haurudishiki. Sasa wewe unataka kusema mali ni bora kuliko uhai wa mtu. Polisi wamebaka, wamelawiti, wameiba ila unaona ni sawa tu? Nyoko sana. Mzigo kwa ukoo weweTEC kama mnatoa matamko kusema watu wameuwawa ni sawa ni haki yenu lakini mnapokuwa mnasahau au kujisahaulisha kuwa watu wenu mnaoita waandamanaji wameharibu mali za umma na mali za watu ndiyo hapo tunapowaona ninyini PANYA ROAD mlioko kanisani na hakuna lolote mnalofanya zadi ya kuwa sehemu ya machafuko na kuchochewa kwa vurugu hizi.
Wewe punguani kweli ulitaka polisi wawabembeleze waharifu?Kwa akili zako, mali zinarudishika, uhai haurudishiki. Sasa wewe unataka kusema mali ni bora kuliko uhai wa mtu. Polisi wamebaka, wamelawiti, wameiba ila unaona ni sawa tu? Nyoko sana. Mzigo kwa ukoo wewe
We takataka ndio muue? Mnaweza kurudisha roho za watu? Yani we unastahili kuuliwa pia kama ni hivyo.Wewe punguani kweli ulitaka polisi wawabembeleze waharifu?
Yaaani mchome vituo vya mafuta vituo vya mwendokasi mchome majengo ya serikali mchome mabasi ya watu kisha muachiwe?
Pumbavu kabisa wewe..