Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Watanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.
Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya bado changamoto, kama serikali ikisema watibu bure 100% hata pesa za kulipa walimu na madaktari hazitakuwepo kabisa.
Sasa hivi hata vijiji vilivyoshindikana kuna umeme na maji .
Watanganyika mnataka maendeleo ya aina gani?
Sasa hivi hata watoto wa maskini unaweza kuwakuta wamekalia vitii vya watumishi wa TRA , miaka michache tu nyuma tra ilikuwa na watumishi kutoka familia za juu tu.
Wafanyabiashara hawanyanyaswi kama kipindi cha Magufuli, kipindi cha amri kutoka juu.
Mapato ya nchi yanaongezeka.
Watanganyika mnataka nini?
MLITAKA JESHI WAWAACHE WAHARIBIFU WAINGIE MPAKA IKULU WAICHOME MOTO?
Mlitaka Samia angewaacha tu wale waliochoma sheli na mali za watu wachome mali zote tuanze upya?
Rais Samia lazima ujue kuwa Watanganyika ni watu wa namna gani. Dawa ya 🔥 ni 🔥.
Wapeleke mpaka ulimi uwatoke.
Usiwaonee huruma hata kidogo, hawa watu hawana shukrani