Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
- #41
Hawa wawili wasio na tie ni washenzi kabisa.
Waoze salama
Hawa wawili wasio na tie ni washenzi kabisa.
Kwani wewe huko kwenye secondary moja na hospitali moja ya mkoa ilikuwa wapi?Na usipopita Madrasa lazima utaenzi tu yooote ya Nyerere iwe Mwenge, LiMuungano la ajabu duniani nk
Mkamuua na muhagamaHawa wawili wasio na tie ni washenzi kabisa.
Waoze salama
Watanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.
Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya bado changamoto, kama serikali ikisema watibu bure 100% hata pesa za kulipa walimu na madaktari hazitakuwepo kabisa.
Sasa hivi hata vijiji vilivyoshindikana kuna umeme na maji .
Watanganyika mnataka maendeleo ya aina gani?
Sasa hivi hata watoto wa maskini unaweza kuwakuta wamekalia vitii vya watumishi wa TRA , miaka michache tu nyuma tra ilikuwa na watumishi kutoka familia za juu tu.
Wafanyabiashara hawanyanyaswi kama kipindi cha Magufuli, kipindi cha amri kutoka juu.
Mapato ya nchi yanaongezeka.
Watanganyika mnataka nini?
MLITAKA JESHI WAWAACHE WAHARIBIFU WAINGIE MPAKA IKULU WAICHOME MOTO?
Mlitaka Samia angewaacha tu wale waliochoma sheli na mali za watu wachome mali zote tuanze upya?
Rais Samia lazima ujue kuwa Watanganyika ni watu wa namna gani. Dawa ya 🔥 ni 🔥.
Wapeleke mpaka ulimi uwatoke.
Usiwaonee huruma hata kidogo, hawa watu hawana shukrani
Umenikumbusha nililetewa zawadi ya penseli za Urembo kutoka Dar nikiwa Kijijini nasoma...cha ajabu wanafunzi walizishangaa zile pencil 🤣🤣🤣🤣 hadi wengine wakaanza kuzilia mingo ili waniibieNyerere aliacha hospitali za mikoa tu na za Makanisa. Vijijini kote walitibiwa makanisani.
Aliacha chuo Kikuu cha Dsm na SUA tu na wanafunzi wasiozidi elfu 5.
Nyerere aliacha Sekondari si zaidi ya moja kwa kila mkoa nazo zilijengwa na Makanisa.
Mkoa mzima tuligombania kujiunga na Sekondari moja tu!
Enzi za Nyerere hatukujua kukaa kwenye madawati, hatukuwa na vyoo, madarasa hayakuwa na madirisha wala milango ya kufunga.
Shule za Nyerere hazikuwa na sakafu za cement hivyo kuruhusu chawa na papasi kama unawajua wewe Gen Z.
Kuvaa viatu shuleni ilijuwa ni anasa na darasa zima litakushangaa na si ajabu baba akakamatwa kwa uhujumu uchumi.
Wazazi hawakuwa na hata uwezo wa kununua daftari ilibidi Nyerere anunue yeye.
Kuvaa nguo za viraka (sidhani hta kama unavijua) ilikuwa ndo maisha yetu.
Safari Dar-Mwanza wiki nzima. Aliacha barabara za lami mbili tu Dar-Mby-Songea na Dar-Arusha
Oohoooo!Kwani wewe huko kwenye secondary moja na hospitali moja ya mkoa ilikuwa wapi?
Mkoa wetu ulikua na sekondari zaidi ya tano, hospitali nyingi tu serikali na private.
Halafu hayo madarasa gani unayosema? Mlikaa chini? Wakati wa Nyerere literacy rate ilikua 97%, hata Waze walisoma ngumbalu yaani elimu ya watu wazima.
Shule zilikua zinatafuta wanafunzi wa kusoma yaani primari, na kuna wale wazazi watukutu waliokua wanakataa watoto wao wasiende shule naona na wewe ulikua muathirika.
Form four walikua wanapata direct employment, wengine wanaenda form five wengine vyuoni. Yule jamaa Nyerere alisomesha watu akawapa na kazi - yaani aliweza kucreare employment. Na hakuua watu. Na kwa pesa hiyo hiyo akakomboa Zambia, Zimbabwe, Mozambique, Namibia, Angola hadi South Africa. Kama unakumbuka zile kambi za wakimbjzi. Wale wa waliokua wanaisha Mgulani Salvation Army, Morogoro, Iringa wote hao walitunzwa na Nyerere.
Hicho kibibi chenu ni product ya Nyerere. Kilisoma bure, baada ya kufeli form four kikapata direct employment. Kikaolewa miaka 17, kikaendelezwa bure. Leo kinaua watu na kuntukana Nyerere.
Mna laana nyie
Bila shaka huu upuuzi wote umelishwa na viongozi wako wa huko BAKWATA, maana katika maandishi naona chuki ya kidini kwa Nyerere ambayo unajaribu kuificha ndio maana neno kanisa umelitaja mara karibu mara ishirini.Nyerere aliacha hospitali za mikoa tu na za Makanisa. Vijijini kote walitibiwa makanisani.
Aliacha chuo Kikuu cha Dsm na SUA tu na wanafunzi wasiozidi elfu 5.
Nyerere aliacha Sekondari si zaidi ya moja kwa kila mkoa nazo zilijengwa na Makanisa.
Mkoa mzima tuligombania kujiunga na Sekondari moja tu!
Enzi za Nyerere hatukujua kukaa kwenye madawati, hatukuwa na vyoo, madarasa hayakuwa na madirisha wala milango ya kufunga.
Shule za Nyerere hazikuwa na sakafu za cement hivyo kuruhusu chawa na papasi kama unawajua wewe Gen Z.
Kuvaa viatu shuleni ilijuwa ni anasa na darasa zima litakushangaa na si ajabu baba akakamatwa kwa uhujumu uchumi.
Wazazi hawakuwa na hata uwezo wa kununua daftari ilibidi Nyerere anunue yeye.
Kuvaa nguo za viraka (sidhani hta kama unavijua) ilikuwa ndo maisha yetu.
Safari Dar-Mwanza wiki nzima. Aliacha barabara za lami mbili tu Dar-Mby-Songea na Dar-Arusha
Nyerere hawezi kulinganishwa na yeyote kwa sababu yule ni Mtakatifu!Bila shaka huu upuuzi wote umelishwa na viongozi wako wa huko BAKWATA, maana katika maandishi naona chuki ya kidini kwa Nyerere ambayo unajaribu kuificha ndio maana neno kanisa umelitaja mara karibu mara ishirini.
Pamoja na chuki na kumbeza Baba wa taifa mlionayo wewe na nguchiro wenzio wa Bakwata, Nyerere halinganishwi na raisi yoyote katika taifa hili, angekuwa ndio hiki kibibi kichawi cha kizanzibari kinaitawala Tanganyika kipindi cha Nyerere sidhani kama leo hii tungekuwa na rasilimali yoyote iliyobaki, angekuwa ameshauza rasilimali zote tumebaki na magofu tu, na hata aridhi isingekuwa bado tuna aridhi kubwa hivi, ingekuwa imeshamegwa na majirani wenye akili tumebakiza kipande tu... yote hii kwa sababu hiki kibibi cha kizanzibar hakina maarifa yoyote yale ya uongozi wala uzalendo.
Je bado ipo haja ya kufanyia hayo mengi kampeni?Watanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.