Rais Samia umewafanyia Watanzania mambo mengi kuliko Rais yeyote lakini wanakulipa matusi kila kukicha

Una umri gani wewe? Au umehadithiwa tu! Unajua wewe magumu tuliputia kupata Elimu enzi za Nyerere? Hiyo afya enzi za Nyerere ilikuwa ni hospitali za kanisa tu vijijini kote. Rudi tena wakakuhadithie utawala wa Nyerere.

Wewe una akili timamu? Waulize wanaojua. Hivi unafahamu kuwa ukiondoa hospitali ya Benjamin Mkapa, hospitali zote kubwa zilijengwa wakati wa Nyerere, vyuo vikubwa vyenye hadhi vilijengwa wakati wa Nyerere, vituo vyote vya utafiti vilijengwa wakati wa Nyerere, mabwawa ya kuzalishia umeme, viwanda vya kuunganishia magari na matrekta, shule bora za Sekondari.

Kama hujui, hakuna Rais hata mmoja ambaye alifanya mambo mengi kama utawala wa Nyerere. Kwa kuzingatia mazingira ya wakati, he tops all.
 
Mwongo mkubwa wewe!! Hicho kijiji ambacho ambayo mwanafunzi alikuwa sekondari mmoja baada ya miaka mitatu iko wapi? Ina maana kijiji hakukuwa na wenye akili ya kuweza kufundishika? Shule nyingi waliokuwa wanaenda sekondari kila mwaka walikuwa 5-10. Lakini wenye uwezo mdogo walikuwa hawazuiwi kujiunga na shule za private.

Kwa kuzingatia mazingira ya wakati, utawala wa Nyerere ulifanya mambo mengi na makubwa zaidi ya utawala wowote.
 
Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa @olengurumwa2 , ameshauri tarehe 29 Oktoba iwe siku ya kumbukumbu rasmi ya kitaifa ili kuwakumbuka waathirika wa matukio ya siku hiyo na kuzuia historia isijirudie.

Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii, Olengurumwa Olengurumwa amesema matukio kama hayo yanapowekwa kwenye kumbukumbu ya kila mwaka ni rahisi kuyazuia yasitokee Tena kwa kuonesha athari zilizotokea.

“Hata tarehe 29 Oktoba inapaswa kuwekewa kumbukumbu rasmi, makumbusho na mijadala ya kila mwaka ili kuzuia historia isijirudie tena.” Ameandika Olengurumwa.

Akizungumzia suala hilo Olengurumwa amerejea mifano ya matukio makubwa ya kihistoria duniani, ikiwemo mauaji ya kimbari ya Wayahudi yaliyofanywa na Wanazi chini ya Adolf Hitler, ambapo takribani Wayahudi milioni sita waliuawa (Holocaust).

Onesmo Ameeleza kuwa Januari 27 alifanikiwa kuhudhuria Katika maadhimisho ya Holocaust yanayofanyika kila mwaka ili kuwakumbuka waathirika wa matukio hayo.

“Wiki iliyopita, kama sehemu ya International Holocaust Remembrance Day, tulipata heshima ya kumkaribisha Tana Ross (aliyepo katikati), manusura wa Holocaust, msanii, na mtetezi wa haki za binadamu. Tulitazama filamu yake inayosimulia maisha yake akiwa mtoto mdogo katika kambi ya Theresienstadt, na jinsi alivyofanikiwa kutoroka hadi Sweden."

Olengurumwa kupitia chapisho lake, amesema wayahudi takribani milioni 6 kwenye tukio hilo waliuawa, huku sababu zilizotumika kuhalalisha mateso yao hazikuwa na mashiko yoyote.

“Waliteswa kwa kiwango kisichoelezeka, wakinyimwa utu wao, haki zao, na hatimaye maisha yao. Ukweli ni kwamba hawakuteswa kwa sababu walifanya kosa lolote la kibinadamu, bali kwa hofu, chuki, propaganda, na wivu uliochochewa na nguvu zao katika elimu, biashara na mtandao wa kimataifa." Ameandika.

Amefafanua kuwa historia kama hizi zinapaswa kuhifadhiwa na kujadiliwa kila mwaka kama kumbukumbu za kudumu.

"Kumbukumbu si kwa ajili ya kulia yaliyopita pekee, bali ni silaha ya kuzuia uovu wa kesho" amesema.
 
Watanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.

Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya bado changamoto, kama serikali ikisema watibu bure 100% hata pesa za kulipa walimu na madaktari hazitakuwepo kabisa.

Sasa hivi hata vijiji vilivyoshindikana kuna umeme na maji .

Watanganyika mnataka maendeleo ya aina gani?
Sasa hivi hata watoto wa maskini unaweza kuwakuta wamekalia vitii vya watumishi wa TRA , miaka michache tu nyuma tra ilikuwa na watumishi kutoka familia za juu tu.

Wafanyabiashara hawanyanyaswi kama kipindi cha Magufuli, kipindi cha amri kutoka juu.
Mapato ya nchi yanaongezeka.
Watanganyika mnataka nini?

MLITAKA JESHI WAWAACHE WAHARIBIFU WAINGIE MPAKA IKULU WAICHOME MOTO?
Mlitaka Samia angewaacha tu wale waliochoma sheli na mali za watu wachome mali zote tuanze upya?

Rais Samia lazima ujue kuwa Watanganyika ni watu wa namna gani. Dawa ya 🔥 ni 🔥.
Wapeleke mpaka ulimi uwatoke.
Usiwaonee huruma hata kidogo, hawa watu hawana shukrani

Pongezi na sifa zote hizo za Machawa, Wabunge na maCCM bado zinazidiwa na 2 % ya waliomnyima kura?
 
Hayo mengi mazuri ndio haya ?
downloadfile-376.jpg
 
Shida ya maji ni kubwa mno pale Chalinze kilomita chache toka yalipo makazi ya Basha wake Chura, hakuna maji ya uhakika ..Nenda Magindu, Kidugalo, Matuli hadi Mkulazi kuna shida kubwa ya maji .. hapo anatokea Mbwa mmoja wa Chura anasema vijiji vyote vimepata huduma ya maji..
 
Sasa unahangaika na nini wanaomchukia ni 2% tu mkuu?? Mie nadhani kuna kitu kinafukuta kwenye nafsi zenu kuhusu ushindi wa 98%.tuachane nao mkuu samia anapendwa kwa 98% ,hao 2% wasitunyime usingizi,sawa ?
 
Watanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.

Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya bado changamoto, kama serikali ikisema watibu bure 100% hata pesa za kulipa walimu na madaktari hazitakuwepo kabisa.

Sasa hivi hata vijiji vilivyoshindikana kuna umeme na maji .

Watanganyika mnataka maendeleo ya aina gani?
Sasa hivi hata watoto wa maskini unaweza kuwakuta wamekalia vitii vya watumishi wa TRA , miaka michache tu nyuma tra ilikuwa na watumishi kutoka familia za juu tu.

Wafanyabiashara hawanyanyaswi kama kipindi cha Magufuli, kipindi cha amri kutoka juu.
Mapato ya nchi yanaongezeka.
Watanganyika mnataka nini?

MLITAKA JESHI WAWAACHE WAHARIBIFU WAINGIE MPAKA IKULU WAICHOME MOTO?
Mlitaka Samia angewaacha tu wale waliochoma sheli na mali za watu wachome mali zote tuanze upya?

Rais Samia lazima ujue kuwa Watanganyika ni watu wa namna gani. Dawa ya 🔥 ni 🔥.
Wapeleke mpaka ulimi uwatoke.
Usiwaonee huruma hata kidogo, hawa watu hawana shukrani

MSIPOACHA UKAHABA NA USHETANI MTAKUJA KUPATA MALIPO YENU BAADAYE
 
Fazafaka amewashinda wote kwa kuchinja idadi kubwa ya raia wasiokuwa na hatia!
 
Huyo ndiyo raisi aliyeua Watu Ili apate kutawala Aliua maelfu ya watu
Baada ya kujitangaza mshindi aliapishiwa na wanajeshi
 
Wewe una akili timamu? Waulize wanaojua. Hivi unafahamu kuwa ukiondoa hospitali ya Benjamin Mkapa, hospitali zote kubwa zilijengwa wakati wa Nyerere, vyuo vikubwa vyenye hadhi vilijengwa wakati wa Nyerere, vituo vyote vya utafiti vilijengwa wakati wa Nyerere, mabwawa ya kuzalishia umeme, viwanda vya kuunganishia magari na matrekta, shule bora za Sekondari.

Kama hujui, hakuna Rais hata mmoja ambaye alifanya mambo mengi kama utawala wa Nyerere. Kwa kuzingatia mazingira ya wakati, he tops all.
Nyerere aliacha hospitali za mikoa tu na za Makanisa. Vijijini kote walitibiwa makanisani.
Aliacha chuo Kikuu cha Dsm na SUA tu na wanafunzi wasiozidi elfu 5.
Nyerere aliacha Sekondari si zaidi ya moja kwa kila mkoa nazo zilijengwa na Makanisa.
Mkoa mzima tuligombania kujiunga na Sekondari moja tu!
Enzi za Nyerere hatukujua kukaa kwenye madawati, hatukuwa na vyoo, madarasa hayakuwa na madirisha wala milango ya kufunga.
Shule za Nyerere hazikuwa na sakafu za cement hivyo kuruhusu chawa na papasi kama unawajua wewe Gen Z.
Kuvaa viatu shuleni ilijuwa ni anasa na darasa zima litakushangaa na si ajabu baba akakamatwa kwa uhujumu uchumi.
Wazazi hawakuwa na hata uwezo wa kununua daftari ilibidi Nyerere anunue yeye.
Kuvaa nguo za viraka (sidhani hta kama unavijua) ilikuwa ndo maisha yetu.
Safari Dar-Mwanza wiki nzima. Aliacha barabara za lami mbili tu Dar-Mby-Songea na Dar-Arusha
 
Wewe lazima ni product madrassa
 
Back
Top Bottom