Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Nyerere aliwatibu watu wote bure utawala wake wote na hakuua mtuWatanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.
Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya bado changamoto, kama serikali ikisema watibu bure 100% hata pesa za kulipa walimu na madaktari hazitakuwepo kabisa.
Sasa hivi hata vijiji vilivyoshindikana kuna umeme na maji .
Watanganyika mnataka maendeleo ya aina gani?
Sasa hivi hata watoto wa maskini unaweza kuwakuta wamekalia vitii vya watumishi wa TRA , miaka michache tu nyuma tra ilikuwa na watumishi kutoka familia za juu tu.
Wafanyabiashara hawanyanyaswi kama kipindi cha Magufuli, kipindi cha amri kutoka juu.
Mapato ya nchi yanaongezeka.
Watanganyika mnataka nini?
MLITAKA JESHI WAWAACHE WAHARIBIFU WAINGIE MPAKA IKULU WAICHOME MOTO?
Mlitaka Samia angewaacha tu wale waliochoma sheli na mali za watu wachome mali zote tuanze upya?
Rais Samia lazima ujue kuwa Watanganyika ni watu wa namna gani. Dawa ya 🔥 ni 🔥.
Wapeleke mpaka ulimi uwatoke.
Usiwaonee huruma hata kidogo, hawa watu hawana shukrani
Huyo ni muuaji kama akina Hitler, maendeleo yote ya nchi hii yamrfanywa kwa mapato ya ncgi na sio hisani ya kiongoz yoyote.Watanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.
Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya bado changamoto, kama serikali ikisema watibu bure 100% hata pesa za kulipa walimu na madaktari hazitakuwepo kabisa.
Sasa hivi hata vijiji vilivyoshindikana kuna umeme na maji .
Watanganyika mnataka maendeleo ya aina gani?
Sasa hivi hata watoto wa maskini unaweza kuwakuta wamekalia vitii vya watumishi wa TRA , miaka michache tu nyuma tra ilikuwa na watumishi kutoka familia za juu tu.
Wafanyabiashara hawanyanyaswi kama kipindi cha Magufuli, kipindi cha amri kutoka juu.
Mapato ya nchi yanaongezeka.
Watanganyika mnataka nini?
MLITAKA JESHI WAWAACHE WAHARIBIFU WAINGIE MPAKA IKULU WAICHOME MOTO?
Mlitaka Samia angewaacha tu wale waliochoma sheli na mali za watu wachome mali zote tuanze upya?
Rais Samia lazima ujue kuwa Watanganyika ni watu wa namna gani. Dawa ya 🔥 ni 🔥.
Wapeleke mpaka ulimi uwatoke.
Usiwaonee huruma hata kidogo, hawa watu hawana shukrani
Mleta mada ama hajui chochote au uchawa umemwondolea akili. Wakati wa mwalimu Nyerere, chuo kikuu siyo tu kwamba wwatu walisoma bure tu, bali walilipwa:Nyerere aliwatibu watu wote bure utawala wake wote na hakuua mtu
Nyerere alisomesha watu wote tangu darasa la awali hadi chuo kikuu bure na hakuua mtu
Nani kakudanganya hayo unayoyaandika?
Watanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.
Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya bado changamoto, kama serikali ikisema watibu bure 100% hata pesa za kulipa walimu na madaktari hazitakuwepo kabisa.
Sasa hivi hata vijiji vilivyoshindikana kuna umeme na maji .
Watanganyika mnataka maendeleo ya aina gani?
Sasa hivi hata watoto wa maskini unaweza kuwakuta wamekalia vitii vya watumishi wa TRA , miaka michache tu nyuma tra ilikuwa na watumishi kutoka familia za juu tu.
Wafanyabiashara hawanyanyaswi kama kipindi cha Magufuli, kipindi cha amri kutoka juu.
Mapato ya nchi yanaongezeka.
Watanganyika mnataka nini?
MLITAKA JESHI WAWAACHE WAHARIBIFU WAINGIE MPAKA IKULU WAICHOME MOTO?
Mlitaka Samia angewaacha tu wale waliochoma sheli na mali za watu wachome mali zote tuanze upya?
Rais Samia lazima ujue kuwa Watanganyika ni watu wa namna gani. Dawa ya 🔥 ni 🔥.
Wapeleke mpaka ulimi uwatoke.
Usiwaonee huruma hata kidogo, hawa watu hawana shukrani
Oya SandaAli umebadilika sanaWatanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.
Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya bado changamoto, kama serikali ikisema watibu bure 100% hata pesa za kulipa walimu na madaktari hazitakuwepo kabisa.
Sasa hivi hata vijiji vilivyoshindikana kuna umeme na maji .
Watanganyika mnataka maendeleo ya aina gani?
Sasa hivi hata watoto wa maskini unaweza kuwakuta wamekalia vitii vya watumishi wa TRA , miaka michache tu nyuma tra ilikuwa na watumishi kutoka familia za juu tu.
Wafanyabiashara hawanyanyaswi kama kipindi cha Magufuli, kipindi cha amri kutoka juu.
Mapato ya nchi yanaongezeka.
Watanganyika mnataka nini?
MLITAKA JESHI WAWAACHE WAHARIBIFU WAINGIE MPAKA IKULU WAICHOME MOTO?
Mlitaka Samia angewaacha tu wale waliochoma sheli na mali za watu wachome mali zote tuanze upya?
Rais Samia lazima ujue kuwa Watanganyika ni watu wa namna gani. Dawa ya 🔥 ni 🔥.
Wapeleke mpaka ulimi uwatoke.
Usiwaonee huruma hata kidogo, hawa watu hawana shukrani
well done Dr.Samia Suluhu HassanWatanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia.
Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi ameshawaharibu akili wanapinga huko mitandaoni. Unajiuliza sasa hawa watu walitakaje?. Maskini kutunza afya bado changamoto, kama serikali ikisema watibu bure 100% hata pesa za kulipa walimu na madaktari hazitakuwepo kabisa.
Sasa hivi hata vijiji vilivyoshindikana kuna umeme na maji .
Watanganyika mnataka maendeleo ya aina gani?
Sasa hivi hata watoto wa maskini unaweza kuwakuta wamekalia vitii vya watumishi wa TRA , miaka michache tu nyuma tra ilikuwa na watumishi kutoka familia za juu tu.
Wafanyabiashara hawanyanyaswi kama kipindi cha Magufuli, kipindi cha amri kutoka juu.
Mapato ya nchi yanaongezeka.
Watanganyika mnataka nini?
MLITAKA JESHI WAWAACHE WAHARIBIFU WAINGIE MPAKA IKULU WAICHOME MOTO?
Mlitaka Samia angewaacha tu wale waliochoma sheli na mali za watu wachome mali zote tuanze upya?
Rais Samia lazima ujue kuwa Watanganyika ni watu wa namna gani. Dawa ya 🔥 ni 🔥.
Wapeleke mpaka ulimi uwatoke.
Usiwaonee huruma hata kidogo, hawa watu hawana shukrani
Una umri gani wewe? Au umehadithiwa tu! Unajua wewe magumu tuliputia kupata Elimu enzi za Nyerere? Hiyo afya enzi za Nyerere ilikuwa ni hospitali za kanisa tu vijijini kote. Rudi tena wakakuhadithie utawala wa Nyerere.Nyerere aliwatibu watu wote bure utawala wake wote na hakuua mtu
Nyerere alisomesha watu wote tangu darasa la awali hadi chuo kikuu bure na hakuua mtu
Nani kakudanganya hayo unayoyaandika?
Huko CDM lazima kuna mafunzo maalum ya matusi. Sio bahati mbaya kwamba wanaCHADEMA wengi wana matusiKum la mm yako.
Unamwita mpumbavu kwa sababu tu kaendq tofauti na utakavyoOna mpumbavu mwingine huyu hapa!
Unadhani kwa nini enzi za Nyerere kijiji kizima kilikuwa kinatoa mtoto mmoja tu kwenda sekondari tena baada ya miaka mitatu! Unajua enzi za Nyerere mtu kuwa na Diploma tu mji mzima unamjua! So turudi huko na watu wasome bure kwa kupewa kila kitu! Au mnahadithiwa habr za Nyerere!! Msitake kutujunbusha machungu tulopitia kutafuta Elimu enzi za NyerereMleta mada ama hajui chochote au uchawa umemwondolea akili. Wakati wa mwalimu Nyerere, chuo kikuu siyo tu kwamba wwatu walisoma bure tu, bali walilipwa:
1. High learning allowance iliyokuwa sawa na mshahara wa kima cha chini cha mfanyakazi.
2. Walilipwa special faculty requirements allowance.
3. Field allowance
4. Book allowance
5. Transport allowance
6. Food allowance
7. Travel allowance.
Elimu ya msingi mpaka sekondari watoto walisoma bure, walipewa vitabu bure, madaftari bure na kalamu bure.
Kama ulivyosema, mwalimu Nyerere hakuwahi kuua watu kama huyu shetani.
Huyu mama ni wajinga tu ndiyo wanampamba kwa sifa za kipumb.avu. Hakuna chochote cha pekee ambacho unaweza kusema kimefanyika wakati wake ambacho waliotangulia hawakufanya. Kitu pekee kabisa tofauti na watangulizi wake wote, huyu amekuwa muuaji na fisadi mkubwa wa kupora mali za Tanganyika na kuwagawia ndugu zake toka Urabuni. Hivi hata kama huna akili, unaweza kuamini waarabu kupewa mbuga zetu za wanyama na misitu asilia, ni uwekezaji? Wanawekeza nini? Wanaleta pundamilia toka Oman? Wamepanda mininga kwenye misitu yetu asilia?
Siku atakapotokea kiongozi mwenye akili na mzalendo wa kweli, sitashangaa kama huyu mwanamke atatangazwa kama mtu mbaya kabisa taifa liliwahi kumpata tangu Ulimwengu uumbwe.