Rais Samia umewafanyia Watanzania mambo mengi kuliko Rais yeyote lakini wanakulipa matusi kila kukicha

Na usipopita Madrasa lazima utaenzi tu yooote ya Nyerere iwe Mwenge, LiMuungano la ajabu duniani nk
Kwani wewe huko kwenye secondary moja na hospitali moja ya mkoa ilikuwa wapi?

Mkoa wetu ulikua na sekondari zaidi ya tano, hospitali nyingi tu serikali na private.

Halafu hayo madarasa gani unayosema? Mlikaa chini? Wakati wa Nyerere literacy rate ilikua 97%, hata Waze walisoma ngumbalu yaani elimu ya watu wazima.

Shule zilikua zinatafuta wanafunzi wa kusoma yaani primari, na kuna wale wazazi watukutu waliokua wanakataa watoto wao wasiende shule naona na wewe ulikua muathirika.

Form four walikua wanapata direct employment, wengine wanaenda form five wengine vyuoni. Yule jamaa Nyerere alisomesha watu akawapa na kazi - yaani aliweza kucreare employment. Na hakuua watu. Na kwa pesa hiyo hiyo akakomboa Zambia, Zimbabwe, Mozambique, Namibia, Angola hadi South Africa. Kama unakumbuka zile kambi za wakimbjzi. Wale wa waliokua wanaisha Mgulani Salvation Army, Morogoro, Iringa wote hao walitunzwa na Nyerere.

Hicho kibibi chenu ni product ya Nyerere. Kilisoma bure, baada ya kufeli form four kikapata direct employment. Kikaolewa miaka 17, kikaendelezwa bure. Leo kinaua watu na kuntukana Nyerere.

Mna laana nyie
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Umenikumbusha nililetewa zawadi ya penseli za Urembo kutoka Dar nikiwa Kijijini nasoma...cha ajabu wanafunzi walizishangaa zile pencil 🤣🤣🤣🤣 hadi wengine wakaanza kuzilia mingo ili waniibie
 
Oohoooo!
Hakuna kama Nyerere!
Ni zaidi ya Mtakatifu!
Anakaribia hata kuwa Mungu!
Hakuna kipindi watz walisoma kama enzi za Nyerere.
Kila aliyemaliza la Saba alipelekwa Sekondari bure na kupewa vifaa bure!
Kila Wilaya ilikuwa na Hospital na kila Mkoa ulikuwa na Hospital ya Rufaa.
Kila Wilaya ilikuwa na Sekondari za kumwaga.
Watu walivaa vizuri, hakukuwa na njaa.
Barabara za lami kwenda mikoa yote.
Maji safi Wilaya zote. Umeme Mikoa yote.
Nyerere alistahili Utakatifu mapema kabisa
 
Bila shaka huu upuuzi wote umelishwa na viongozi wako wa huko BAKWATA, maana katika maandishi naona chuki ya kidini kwa Nyerere ambayo unajaribu kuificha ndio maana neno kanisa umelitaja mara karibu mara ishirini.

Pamoja na chuki na kumbeza Baba wa taifa mlionayo wewe na nguchiro wenzio wa Bakwata, Nyerere halinganishwi na raisi yoyote katika taifa hili, angekuwa ndio hiki kibibi kichawi cha kizanzibari kinaitawala Tanganyika kipindi cha Nyerere sidhani kama leo hii tungekuwa na rasilimali yoyote iliyobaki, angekuwa ameshauza rasilimali zote tumebaki na magofu tu, na hata aridhi isingekuwa bado tuna aridhi kubwa hivi, ingekuwa imeshamegwa na majirani wenye akili tumebakiza kipande tu... yote hii kwa sababu hiki kibibi cha kizanzibar hakina maarifa yoyote yale ya uongozi wala uzalendo.
 
Nyerere hawezi kulinganishwa na yeyote kwa sababu yule ni Mtakatifu!
Hata Muungano alotuachia lazima tuuenzi kwani kuvunja jambo liloanzishwa na Mtakatifu ni laana
 
Je bado ipo haja ya kufanyia hayo mengi kampeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…