Umezua tuhuma dhidi ya Nehemiah zisizo na miguu na mikono. Kimsingi umesukumwa na wivu , chuki na ukabila.Kumbuka huyu anatoka mkoa wa Njombe. Kwa upande wa serikali pia katibu mkuu kiongozi anatoka mkoa wa Njombe. Kwa ufupi ajira zote za serikali ziko mikononi mwa raia wa Njombe. YETU MACHO
Nehemiah kurudishwa na kupandishwa cheo anabebwa na rekodi ya kazi yake nzuri .
Sababu ya jiwe kumuondoa Nehemiah NHC ilikuwa ni mgongano wa maslahi. Jiwe alitaka tenda zote za kujenga nyumba za NHC apewe Mayanga Construction (kampuni ya jiwe). Nehemiah alikuwa anaigomea Mayanga ili taratibu za zabuni zifuatwe.
Unaposema katibu mkuu kiongozi ni wa Njombe na Nehemiah ni wa Njombe hapa ndipo nakuona huna hoja. Unasukimwa na chuki za ukabila. Upuuzi kabisa huuu