Rais Samia Unaibiwa Mama, Hamasa Haziwezi Kuibeba timu Mbovu

Rais Samia Unaibiwa Mama, Hamasa Haziwezi Kuibeba timu Mbovu

Kwahiyo kuongoza nchi ndo kufanya hamasa na kutegemea matokeo makubwa kwa litimu bovu kama taifa stars?
Angalau tunajifunza, shuleni unapewa mafunzo na mitihani kwenye maisha unapewa mtihani ndiyo unajifunza, we have unworking government machinery, hapo wanapata chakujifunza hata wachezaji wanajifunza Tena sana tu, mambo mengi kwa Tanzania ili ufanikiwe ni juhudi za mtu mmoja mmoja mifumo imelala mukiendelea kulalamika haisadii tafuteni suruhu kwa vitendo na siyo kulaumu ama kutukana
 
Back
Top Bottom